Udhaifu wa Noti mpya za fedha ya Tanzania.

Amani Elly

New Member
Apr 1, 2012
2
1
Mojawapo ya sababu inayofanya fedha kuwa bora ni pamoja na uthabiti wake (Durability).
Kati ya vitu vinavyonikera sana ni uthabiti wa noti mpya wa fedha yetu.
hata mtoto mdogo ukimuonyesha noti za zamani na hizi mpya atakuambia za zamani
ni bora zaidi.Kilichoniudhi zaidi ni jinsi naibu waziri na wadau wa wizara husika wanavyotetea uozo huo.
Hii haikubaliki, tunaanza kuhoji uwezo wa waliohusika ktk uchapaji wa hizi noti.The durability of our paper
money is pathetic!
 
ndo maana za zamani hazitaondoka na mpya hazitadumu, watu washavuta mkwanja, washalala mbele, ndio bongo hii, FULL UFISADI.
 
dah kweli noti zenu ni za ovyo sana, haswa hizi za sh 500 na 1000. cha ajabu serikali haioni hata aibu kuwa na noti kama hizi.
 
Back
Top Bottom