Udhaifu wa kikwete na kura za maoni urais

SILENT ACtOR

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
627
181
Udhaifu wa rais Kikwete umesababisha CCM kuamua kutumia kura ya maoni kupitisha jina la mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho. Uamuzi ambao umetangazwa na Wilson Mkama (Katibu Mkuu). Je hatua sahihi kuvua gamba kwa nini isianze na kuwatimua mafisadi ambao tayari wametajwa kabla ya kurukia urais wa 2015? Je hiki nacho ni kiinimacho kingine kama kawa?


:der:Mwekezaji akija mnakamilisha taratibu haraka haraka, anawekeza; mnaendelea.
(Kikwete na mipango ya maendeleo; no wonder hajui why TZ ni maskini!)

 
Back
Top Bottom