Udhaifu wa Kikwete Kiuongozi Umeanzia katika Familia yake!

Status
Not open for further replies.
View attachment 42047Miaka fulani kabla hajawa Rais aliwahi kumfukuza mwanae Miraji toka home, Kwa Wataalamu wa Malezi ya watoto mfumo huo huitwa Autocratic , yaani anachofikiria Mzazi ndicho anachoamua pasipo kujali interest za Mtoto. Hali hii inajionesha katika Maamuzi mengi anayoyafanya sasa ambayo hayajali Interests za Watanzania yeye kama baba wa familia inayoitwa Tanzania. Kuna madhaifu yake mengi sana katika maamuzi yake katika familia yake ambayo kimsingi, kwa kuwa uongozi bora huanzia kwenye familia, na ameshindwa, thats why anaonesha udhaifu katika kufanya maamuzi yenye kujali Maslahi ya Watanzania..
Huu ni muono wangu wa Kitaalamu

Kwa maana hiyo wataka kusema WS yeye kuacha mkewe na kwenda kupora mke wa mtu hatufai kwa vile familia yake na yeye pia imemshinda na ataiharibu Tanzania yetu.

 
Familia ya rais na namna raisi anavoiongoza ni reflection ya uongozi wake kwa taifa hivo inatuhusu sana!!!
Ok na aliyeacha mke na watoto si pia ina maana familia ilimshinda pia why tumempa dhima ya kutaka kutuongoza!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom