Udhaifu wa Kikwete Kiuongozi Umeanzia katika Familia yake!

Status
Not open for further replies.

IsangulaKG

JF-Expert Member
Oct 14, 2010
706
386
1x1t.gif Miaka fulani kabla hajawa Rais aliwahi kumfukuza mwanae Miraji toka home, Kwa Wataalamu wa Malezi ya watoto mfumo huo huitwa Autocratic , yaani anachofikiria Mzazi ndicho anachoamua pasipo kujali interest za Mtoto. Hali hii inajionesha katika Maamuzi mengi anayoyafanya sasa ambayo hayajali Interests za Watanzania yeye kama baba wa familia inayoitwa Tanzania. Kuna madhaifu yake mengi sana katika maamuzi yake katika familia yake ambayo kimsingi, kwa kuwa uongozi bora huanzia kwenye familia, na ameshindwa, thats why anaonesha udhaifu katika kufanya maamuzi yenye kujali Maslahi ya Watanzania..
Huu ni muono wangu wa Kitaalamu
 
Ndio maana hivi karibuni mtoto wake huyo Miraji alitoa comment ambayo ilionyesha kuunga mkono fikra za vyama upinzania na kuwa na mwono tofauti na kaka yake Ridhwani.
 
View attachment 42047Miaka fulani kabla hajawa Rais aliwahi kumfukuza mwanae Miraji toka home, Kwa Wataalamu wa Malezi ya watoto mfumo huo huitwa Autocratic , yaani anachofikiria Mzazi ndicho anachoamua pasipo kujali interest za Mtoto. Hali hii inajionesha katika Maamuzi mengi anayoyafanya sasa ambayo hayajali Interests za Watanzania yeye kama baba wa familia inayoitwa Tanzania. Kuna madhaifu yake mengi sana katika maamuzi yake katika familia yake ambayo kimsingi, kwa kuwa uongozi bora huanzia kwenye familia, na ameshindwa, thats why anaonesha udhaifu katika kufanya maamuzi yenye kujali Maslahi ya Watanzania..
Huu ni muono wangu wa Kitaalamu

Tunatanguliza shukrani kwa kutufafanulia zaidi kisa hiki cha Kikwete kumtimua mwanae (biological son) kwani nchi za wenzetu kashfa kama hizo ni kigezo cha mtu kutoweza mudu madaraka makubwa kwa sababu ya kutoweza muda masuala ya kifamilia.
 
View attachment 42047Miaka fulani kabla hajawa Rais aliwahi kumfukuza mwanae Miraji toka home, Kwa Wataalamu wa Malezi ya watoto mfumo huo huitwa Autocratic , yaani anachofikiria Mzazi ndicho anachoamua pasipo kujali interest za Mtoto. Hali hii inajionesha katika Maamuzi mengi anayoyafanya sasa ambayo hayajali Interests za Watanzania yeye kama baba wa familia inayoitwa Tanzania. Kuna madhaifu yake mengi sana katika maamuzi yake katika familia yake ambayo kimsingi, kwa kuwa uongozi bora huanzia kwenye familia, na ameshindwa, thats why anaonesha udhaifu katika kufanya maamuzi yenye kujali Maslahi ya Watanzania..
Huu ni muono wangu wa Kitaalamu

Wala ctashangaa cku nikikuta post isemayo " wakati fulani JK alikuwa anakula wali kwa samaki, lakini kv huyu bwana hayupo makini akashindwa kabisa kuiona miba ya samaki na hivyo ikamkwama kwenye koo!! co siri, miiba ilimkwama kisawasawa hadi akaanza kutokwa na machozi!!!"

SHALOW MINDS ALWAYS DISCUSS SHALOW ISSUES!!
 
You can't separate family issues and Politics, especially for Political Giant like Kikwete unless you're living in your own world..I bet you do!
 
Kwa kweli upo sahihi sana,uongozi huanza nyumbani huwezi ukajua kujumlisha laki jumlisha laki kama hujui moja jumlisha moja,na kama madogo yanakushinda kwa nini tuamini makubwa utaweza
 
Mambo binafsi mie nadhani sio muhimu kuyajadili, hakuna asie na mapungufu sio JK wala Dr Slaa, mambo yao ya familia waachieni wenyewe
 
You can't separate family issues and Politics, especially for Political Giant like Kikwete unless you're living in your own world..I bet you do!

usiwajibu,wanatumia uhuru wao wa kuchangia,pengine hawajapata muda wa kulifikiria sana au pia ndio mwisho wao wa kufikiri,hivi kama huwezi kulisha familia yako ya wa2 wanne,tutaaminije sherehe ya watu mia utaweza?
 
Wala ctashangaa cku nikikuta post isemayo " wakati fulani JK alikuwa anakula wali kwa samaki, lakini kv huyu bwana hayupo makini akashindwa kabisa kuiona miba ya samaki na hivyo ikamkwama kwenye koo!! co siri, miiba ilimkwama kisawasawa hadi akaanza kutokwa na machozi!!!"

SHALOW MINDS ALWAYS DISCUSS SHALOW ISSUES!!

Na wewe mbona umechangia sasa? Si unge view tu na kusepa?? Hii inaonyesha kuwa wewe ndio zuzu kabisa!!
 
View attachment 42047Miaka fulani kabla hajawa Rais aliwahi kumfukuza mwanae Miraji toka home, Kwa Wataalamu wa Malezi ya watoto mfumo huo huitwa Autocratic , yaani anachofikiria Mzazi ndicho anachoamua pasipo kujali interest za Mtoto. Hali hii inajionesha katika Maamuzi mengi anayoyafanya sasa ambayo hayajali Interests za Watanzania yeye kama baba wa familia inayoitwa Tanzania. Kuna madhaifu yake mengi sana katika maamuzi yake katika familia yake ambayo kimsingi, kwa kuwa uongozi bora huanzia kwenye familia, na ameshindwa, thats why anaonesha udhaifu katika kufanya maamuzi yenye kujali Maslahi ya Watanzania..
Huu ni muono wangu wa Kitaalamu

Na Nyerere wakati hakutujali katupa shida mpaka katuwacha maskini hohehahe, tumuiteje? "Baba Wa Taifa"? kuna usahihi hapo?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom