Udhaifu wa Kikwete katika uteuzi wa viongozi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udhaifu wa Kikwete katika uteuzi wa viongozi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Makyomwango, Aug 13, 2012.

 1. M

  Makyomwango JF-Expert Member

  #1
  Aug 13, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 323
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wana jamii Rais kikwete amekuwa mgumu sana kuteua viongozi kwa wakaiti na hivyo kusababisha baadhi ya idara za serikali na taasisi nyeti kukaimiwa na watendaji wakuu. Mfano mzuri ni wa Jeshi la magereza ambalo linaongozwa na kamishna mkuu akisaidiwa na makamishna watatu. Kamishna mmoja alifaliki na kamishna mkuu na kamishna wa uzalishaji walistaafu mwezi juni mwaka huu na hivyo jeshi limekiwa na kamishna mmoja.

  Katika historia ya jeshi hilo haijawaihi kutokea kutokuwa na watendaji wakuu kwa zaidi ya siku 5. Kimsing JK amevunja record ya kuliacha jeshi hilo kutokuwa na watendaji wakuu kwa mda mrefu. Kweli J.k ni dhaifu
   
 2. kanga

  kanga JF-Expert Member

  #2
  Aug 13, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,011
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  anapikiwa maswahiba wake,tatizo lake ni kwamba anaweza kupelekewa majina ya watu wenye uwezo kiakili na kimaadili akakataa kuwateua na kuagiza kutafutwa wengine anaowapenda yeye nidlo Gonjwa lake. ngonja tusubiri.
   
 3. Zogwale

  Zogwale JF-Expert Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 11,613
  Likes Received: 825
  Trophy Points: 280
  Siyo kwenu tu mkuu. Taasisi nyingine hata Bodi zimemaliza muda kwa kipindi kirefu so hakuna uteuzi. Ninaomba serikali iwe na ratiba ya tarehe za kustaafu wakuu wa taasisi na idara mbalimbali mbali hata na Bodi kwa zile zinazoongozwa na bodi ili ikifika mtu anastaafu basi immediate anawekwa mwingine. Mbona wenye uwezo na akili za kiutendaji wamejaa tele? Na hii inasababisha uwajibikaji kuwa chini so poor performance ya serikali kwa ujumla. Let us do justice na tuondokane na kupigwa madongo kuwa serikali ni dhaifu, legelege na haifanyi kazi. Tupunguze lawana, use your client service charter to put things right!!! and implement!!!
   
 4. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  nafasi nyeti huwezi chagua hovyo hovyo! Tunamaliza mfungo kwanza, tutatoka humo humo!.
   
Loading...