kareem kim
JF-Expert Member
- Sep 18, 2015
- 447
- 656
Nimekuwa nikitafakari juu ya mustakabali mzima wa siasa za nchini mwetu, kumekuwa na mapungufu kadhaa hususan kwa chama tawala ktk kuongoza dola, lakini upinzani umeshindwa kutuaminisha na kuonyesha utayari wa kuongoza nchi, kumekuwa na kasoro nyingi kwa vyama vya upinzani, ambavyo ukifikiri kwa umakini unakosa imani, upendeleo ktk teuzi zao mbali mbali za wagombea, ubadhirifu wa pesa za chama, kung'ang'ania madaraka, kutegemea siasa za matukio, kuakisi mambo madogo na kuacha mambo ya msingi yenye tija kwa Taifa, hayo ni baadhi tu,