Udhaifu gani wa mwenza wako umeamua kukubaliana nao na kuendelea na mahusiano?

He can't do sex kabisa amepata sukari tukiwa kwenye mahusiano but nimeamua kuwa nae Kama jinsi alivyo ,Ana vitu vingi Sana ninavopenda toka kwake zaidi ya sex
Mwambie awe anatafuna majani ya Mpera ma 3 au ma 4 kila siku kwa dk 15 au tafuta Kidaka cha ndizi, kikatekate umchemshie awe anakunywa yale maji utakuja kuwashuhudia humu wananzengo.
 
Back
Top Bottom