Udereva wa serikali na ukonda wa chama

mzamifu

JF-Expert Member
Mar 10, 2010
6,379
3,826
Ukichunguza sana utagundua kuwa serikali ya JK inafanya kazi kama dereva na CCM kama konda, wakati fulani dereva anafuata taratibu za udereva lakini konda anataka kumpeleka puta dereva. kwa wale wa mjini maneno kama "kula boda"; "usiache kichwa"; "Vichwa hivyo"; "acha hizo kokoto/chenga"; " kamuaaaaaaaaa!" na misemo mingine mingi mara nyingi humchanganya dereva na mara nyingi nia ni kumpotisha asifuate sheria za barabarani.
utasikia waziri huyu hafai, fulani aachie ngazi ziko kauli nyingi za hao wakuu kama ... na wenzake, Je si kweli kuwa kauli za nmana hii hazimchaganyi dereva wetu? angalia mchakato wa katiba kisha uwachunguze hao makonda na halfu uone msimamo wa dereva! Konda anasahau kuwa yeye na dereva kwa pamoja watawafikisha abiria salama waendapo kwa kuwaza mshiko zaidi!
 
Kweli kabisa ila kelele za sasa za Nape,Kinana ni za kampeni ya Asha Rose Migiro urais 2015.EL yapaswa ajiandae kwa hilo
 
Back
Top Bottom