kikiboxer
JF-Expert Member
- Dec 22, 2017
- 3,058
- 8,113
Mnakula sana nchi wakuu. Hayo marupurupu tu ni mshahara wa mwalimu wa msingi.2-5 per month
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnakula sana nchi wakuu. Hayo marupurupu tu ni mshahara wa mwalimu wa msingi.2-5 per month
Hapo anafaidi Per diem tu.. Mafuta yenyewe siku hizi wanenda GPSA...wanapaita kisimani..Ukiwa dereva wa bosi anayesafiri mara kwa mara unakula per diem za kutosha, hapo bado bakishishi ya mafuta na marekebisho ya hapa na pale (sio ya TEMESA)
Hapo anafaidi Per diem tu.. Mafuta yenyewe siku hizi wanenda GPSA...wanapaita kisimani..
Mkuu zile pesa za mafuta ya njiani, kwa mfan umeenda Mwanza Kukagua miradi GPSA haihusikiHapo anafaidi Per diem tu.. Mafuta yenyewe siku hizi wanenda GPSA...wanapaita kisimani..
Inahusika Boss.. Serikali siku hizi mambo yao wanaendesha wanavyojua wao..Mkuu zile pesa za mafuta ya njiani, kwa mfan umeenda Mwanza Kukagua miradi GPSA haihusiki
Unaendesha gari yenye AC then unaishi nyumba yenye feni.Mnakula sana nchi wakuu. Hayo marupurupu tu ni mshahara wa mwalimu wa msingi.
Sent using Jamii Forums mobile app