Nungunungu
JF-Expert Member
- Feb 13, 2007
- 311
- 13
Si useme tu aliyekataa ni Dr Kitila Mkumbo mshauri wa Chadema na makamu mwenyekiti wa UDASA!
Katika kuadhimisha miaka 50 Ya Uhuru wa Tanganyika , utawala na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam umepanga kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, mzaliwa wa Msoga Mkoa wa Pwani Shahada ya Uzamivu/PHD ya Heshima.
Sasa katika hali isiyotabilrika wasomi wa chuo hicho kupitia UDASA wamekua wakigomea kutunukiwa kwa huyu bwana kwa madai kuwa hastahili kupewa Heshima hiyo kwakua hakuna la maana alilolifanya kustahili Tuzo na hakika wametoa wito kwa Utawala wa chuo kujitenga na propaganda za ajabu ili tu kuupumbaza Umma kuwa anakubalika na kuheshimika sana miongoni mwa wasomi katika Tanzania hii.
(.Note..................................habari hii nimeipata pale ofisi za UDASA kwa Mkufunzi aliegoma kunitajia jina.)
we vipi?uwii mambo mengine yanatia hasira, uwiii, hii thread inanikwaza naogopa ban mie, uwiiii jamani hebu nisiendelee kuandika uwiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Wakati TZ wanafyatua PHD holders, wengine wanawaandaaa
kazi zao zinaonekana na zimethibitishwa
inawezekana JK anapewa ya kusafiri nje ya nchi maana anaonekana amevunja rekodi
Katika kuadhimisha miaka 50 Ya Uhuru wa Tanganyika , utawala na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam umepanga kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, mzaliwa wa Msoga Mkoa wa Pwani Shahada ya Uzamivu/PHD ya Heshima.
Sasa katika hali isiyotabilrika wasomi wa chuo hicho kupitia UDASA wamekua wakigomea kutunukiwa kwa huyu bwana kwa madai kuwa hastahili kupewa Heshima hiyo kwakua hakuna la maana alilolifanya kustahili Tuzo na hakika wametoa wito kwa Utawala wa chuo kujitenga na propaganda za ajabu ili tu kuupumbaza Umma kuwa anakubalika na kuheshimika sana miongoni mwa wasomi katika Tanzania hii.
(.Note..................................habari hii nimeipata pale ofisi za UDASA kwa Mkufunzi aliegoma kunitajia jina.)
Amekufa nazo nyingi tu toka vyuo mbalimbali sikumbuki kama UDSM walimpa.Hivi marehemu baba wa Taifa JK Nyerere alishawahi kupewa Ph.D ya heshima? mi naona watu vilaza vilaza ndiyo huwa wanang'ang'ania hii kitu!
Mara mia.Kama ni kugawa Ph.D kwa mchango wa mtu kwa taifa si mara mia apewe Bakhressa kuliko huyo.
Kwa taarifa yenu PhD hizi za heshima zinaandaliwa kwa viongozi wakuu wote wa kisiasa waliosoma pale UDSM akina muuaji Museveni, JS Warioba, Jakaya Kikwete,......Hawa wanaonekana ni sehemu ya mafanikio ya chuo hiki kwa miaka 50 iliyopita!Kazi moja tu, wanafunzi vyuo vikuu vyote hapa nchini washirikiane na wenzao katika kupinga TUNUKU hiyo, ikiwezekana waitishe maandamano nchi nzima. Ikiwa wakufunzi watang'ang'ania na azima yao hiyo Watanzania wote tunasusia sherehe hizo.
S/N | NAME | DEGREE | DATE/YEAR |
Degrees of the University E. A (Dar es salaam) | |||
1 | Prof. Karl Worth Bigelow | Doctor of Literature(honoris causa) | 1970 |
2 | Hon. Solomon Nkya Eliufoo | Doctor of Laws(honoris causa) | 1970 |
3 | Edward Walter Russell | Doctor of Science(honoris causa) | 1970 |
Degrees Awarded by UDSM | |||
4 | Hon. Justine Philip Telford | Doctor of Laws(LL.D) | 1973 |
5 | Hon. Abdulkarim Yusufali Alibair Karimjee | Doctor of Laws(LL.D) | 1973 |
6 | Hon. Aboud Jumbe Mwinyi | Doctor of Laws(LL.D) | 1976 |
7 | Hon. Adam Sapi Mkwawa | Doctor of Laws(LL.D) | 1980 |
8 | Hon. Amir H Jamal | Doctor of Literature(D. Litt) | 1980 |
9 | Dr. W K Chagula | Doctor of Science(honoris causa) | 1981 |
10 | Dr. Basil Risbridger Davidson | Doctor of Literature(D. Litt) | 1985 |
11 | Mwalimu Julius Kambarage Nyerere | Doctor of Literature(D. Litt) | 1986 |
12 | Dr. G .L Monekosso | Honorary Doctor Of Science(honoris causa) | 1989 |
13 | Prof. Tormod Forland | Honorary Doctor Of Science(honoris causa) | 1990 |
14 | Ambassador Amon James Nsekela | Doctor of Literature(D. Litt) | 1990 |
15 | Professor Dr. Ir.Godfried D.Vogels | Honorary Doctor Of Science(honoris causa) | 1998 |
16 | Ambassador J.V Mwapachu | Doctor of Literature(honoris causa) | 2005 |
17 | Hon B.W Mkapa | Doctor of Literature(honoris causa) | 2006 |
18 | Prof. Sven Erick Jorgensen | Doctor of Science(honoris causa) | 2007 |
Invisible alinishauri nisitukane jukwaani, kwa hili Jk kutunukiwa PHD naomba nisichangie maana nimechoka na BANKatika kuadhimisha miaka 50 Ya Uhuru wa Tanganyika , utawala na uongozi wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam umepanga kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Jakaya Mrisho Kikwete, mzaliwa wa Msoga Mkoa wa Pwani Shahada ya Uzamivu/PHD ya Heshima.
Sasa katika hali isiyotabilrika wasomi wa chuo hicho kupitia UDASA wamekua wakigomea kutunukiwa kwa huyu bwana kwa madai kuwa hastahili kupewa Heshima hiyo kwakua hakuna la maana alilolifanya kustahili Tuzo na hakika wametoa wito kwa Utawala wa chuo kujitenga na propaganda za ajabu ili tu kuupumbaza Umma kuwa anakubalika na kuheshimika sana miongoni mwa wasomi katika Tanzania hii.
(.Note..................................habari hii nimeipata pale ofisi za UDASA kwa Mkufunzi aliegoma kunitajia jina.)
..you can see Mtangulizi wa Kikwete, Rais Mstaafu Mkapa nae yupo.
Invisible alinishauri nisitukane jukwaani, kwa hili Jk kutunukiwa PHD naomba nisichangie maana nimechoka na BAN