UDASA Kujadili Rasilimali za Taifa Live, ITV & Radio 1: Dr Mengi , Prof Muhongo, Mnyika Ndani

matasha

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
378
400
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

[FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]Academic Staff Assembly

[/FONT]
[/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]Mwaliko kwenye Kongamano la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 8/12/2013

[/FONT][/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]Kwa niaba ya Uongozi wa Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, napenda kuwakaribisha watanzania wote wenye mapenzi mema kwenye kongamano la kujadili mchango wa rasilimali zetu kwa maendeleo ya taifa letu. Kongamano hilo litafanyika tarehe 8 Desemba 2013 ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia saa 7.30 mchana hadi saa 12 jioni. Kongamano hilo litarushwa moja kwa moja na ITV na Radio one.
Mada kuu ya kongamano hilo ni,
[/FONT]
[/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]"Mchango wa Rasilimali zetu katika maendeleo ya Taifa na Nafasi ya Mtanzania Kumiliki Rasilimali hizo"[/FONT][/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman].
Tunapenda kuchukua fursa hii kwa heshima kubwa kuwaomba wote wenye uchungu na rasilimali zetu na wadau wote wenye uelewa mpana kuhusiana na masuala ya usimamizi wa rasilimali kufika ukumbini ili wawe miongoni mwa watanzania wenye nafasi kubwa ya kutoa mchango wao mkubwa katika kutoa elimu kwa watanzania juu ya nafasi yao kama watanzania katika kumiliki rasilimali zetu na mchango wake katika maendeleo ya taifa letu.
Tutanguliza shukrani zetu za dhati kwa ushiriki wenu kwenye kongamano hili.
Ndimi

Wazungumzaji Wakuu Watakuwa:

1. Prof Mng'ong'o wa IRA-UDSM
2. Prof Kauzeni wa IRA -UDSM

Wazungumzaji Waalikwa:
1. Dr Reginald Mengi - Mwenyekiti TPSF
2. John Mnyika- Waziri Kivuli wa Nishati na Madini
3. Prof Muhongo Waziri wa Nishati na Madini atakuwa mgeni rasmi

Mr. Faraja Kristomus
[/FONT]
[/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman](Katibu – UDASA)
[/FONT][/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]0787525396 / 0717086135
[/FONT]
[/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman](2/12/2013)
[/FONT][/FONT]
 
Ili kudhoofisha jitihada hizi na kuzuia ujumbe huu usiwafikie wananchi walio wengi, TANESCO wataagizwa na serikali kukata umeme kwa makusudi.

JINSI YA KUEPUKA HII HUJUMA: Jiandae kununua betri mpya au ichaji betri ya redio yako siku 2 kabla ya kongamano. People'ssss......
 
UNIVERSITY OF DAR ES SALAAM

[FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]Academic Staff Assembly

[/FONT]
[/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]Mwaliko kwenye Kongamano la Chuo Kikuu cha Dar es Salaam 8/12/2013

[/FONT][/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]Kwa niaba ya Uongozi wa Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, napenda kuwakaribisha watanzania wote wenye mapenzi mema kwenye kongamano la kujadili mchango wa rasilimali zetu kwa maendeleo ya taifa letu. Kongamano hilo litafanyika tarehe 8 Desemba 2013 ndani ya ukumbi wa Nkrumah wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kuanzia saa 7.30 mchana hadi saa 12 jioni. Kongamano hilo litarushwa moja kwa moja na ITV na Radio one.
Mada kuu ya kongamano hilo ni,
[/FONT]
[/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]"Mchango wa Rasilimali zetu katika maendeleo ya Taifa na Nafasi ya Mtanzania Kumiliki Rasilimali hizo"[/FONT][/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman].
Tunapenda kuchukua fursa hii kwa heshima kubwa kuwaomba wote wenye uchungu na rasilimali zetu na wadau wote wenye uelewa mpana kuhusiana na masuala ya usimamizi wa rasilimali kufika ukumbini ili wawe miongoni mwa watanzania wenye nafasi kubwa ya kutoa mchango wao mkubwa katika kutoa elimu kwa watanzania juu ya nafasi yao kama watanzania katika kumiliki rasilimali zetu na mchango wake katika maendeleo ya taifa letu.
Tutanguliza shukrani zetu za dhati kwa ushiriki wenu kwenye kongamano hili.
Ndimi

Wazungumzaji Wakuu Watakuwa:

1. Prof Mng'ong'o wa IRA-UDSM
2. Prof Kauzeni wa IRA -UDSM

Wazungumzaji Waalikwa:
1. Dr Reginald Mengi - Mwenyekiti TPSF
2. John Mnyika- Waziri Kivuli wa Nishati na Madini
3. Prof Muhongo Waziri wa Nishati na Madini atakuwa mgeni rasmi

Mr. Faraja Kristomus
[/FONT]
[/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman](Katibu – UDASA)
[/FONT][/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman]0787525396 / 0717086135
[/FONT]
[/FONT][FONT=Times New Roman,Times New Roman][FONT=Times New Roman,Times New Roman](2/12/2013)
[/FONT][/FONT]
Kama lini viongozi wa ccm waweze kutoa mada zenye mshiko mbele ya majembe kama Mnyika? Muhongo ataingia mitini
 
Back
Top Bottom