UDASA, KIGODA CHA MWALIMU NYERERE na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Mko Wapi??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

UDASA, KIGODA CHA MWALIMU NYERERE na Wanafunzi wa Vyuo Vikuu Mko Wapi???

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amanikwenu, Jan 8, 2011.

 1. A

  Amanikwenu Senior Member

  #1
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Pamoja na umuhimu wake na nafasi zao katika jamii nasikitika kuona kuwa mpaka sasa Si UDASA au KIGODA CHA MWALIMU NYERERE wala Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hawajatoa tamko lolote lile kulaani mauaji yaliyofanywa na Serikali huko Arusha. Inasikitisha kwa kweli.
   
 2. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #2
  Jan 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  bado wanatafakari mkuu, vuta subira watakuja bila shaka. na nijuavyo mie baadhi ya matamko huhitaji itifaki fulani, kwa hiyo kama hiyo itifaki haikuzingatiwa yatacheleweshwa hadi kila kitu kiwekwe sawa
   
 3. MwanaCBE

  MwanaCBE JF-Expert Member

  #3
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 23, 2009
  Messages: 1,773
  Likes Received: 544
  Trophy Points: 280
  Matamko yanakuja soon. Uvumilivu kidogo tu naomba.
   
 4. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #4
  Jan 8, 2011
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  vumilia kidogo wiki ya nane hii test kibao shule imebana ila hilo suala bado linatafutiwa reasonable action
   
 5. A

  Amanikwenu Senior Member

  #5
  Jan 10, 2011
  Joined: Dec 1, 2009
  Messages: 187
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Acheni uwoga vijana. come out.
   
Loading...