Udalali wa Zitto & Co kwa makampuni ya gesi na mafuta

Kama miaka yote tumeendelea kutegemea bwawa la Mtera kama chanzo kikuu cha HEP nchini, na bwawa la Mtera chanzo chake cha maji sio kikubwa kama mto Rufiji, tunapata wapi uhalala wa kusema umeme wa HEP kwa Tanzania sio reliable?
Unaakili sana miaka nenda rudi ipo kidatu na mtera bado umeme upo ,na .maji yao sio mengi kama rufiji
 
Hapo si kweli cost effective .mpaka tukawa tunajenga hilo bwawa ku visibility study za kutosha na hatuna dam la maana Kama hilo la mwalim nyerere kamwe huwezi kulinganisha na akina kidatu ambalo ni man made
Cost effective means gharama yake inaakisi ufanisi nimetoa mfano wa SGR ina gharama lakini inaongeza ufanisi so tusiangalie gharama tu kupima faida za mradi.

Mfano kma tu ukame umekuja mgao umeanza je vipi kama 100% ya umeme wa TZ ungetegemea mabwawa hali ingekuwaje?? Je opportunity cost ya hasara inayopatikana wakati huu wa mgao ume factor in kwenye gharama ya kutumia hydro over umeme wa Gesi?

So gharama sio kila kitu tuangalie ufanisi na risk ambazo zimeepukwa.
 
Ndio maana tumeenda kwenye bwawa kubwa zaidi kwenye mto mkubwa zaidi.
 
Watu wanashadadia gesi. Gas can be depleted. Gesi huisha. Maji hupungua na hatimaye kurudi.
 
Unajua gharama za kudrill na kuigeuza kutoka kimiminika hadi kuwa gesi? tena ile ya Mnazi Bay ndio chini ya bahari kabisa hiyo pesa na vifaa hatuna so anachimba mwingine kma tu dhahabu na sie tunapewa stahiki zetu ikiwemo kodi, mrabaha n.k kama zilivyo concession agreenents zingine otherwise hizo trillion 30+ hatuwezi zimudu wenyewe.

Unajua cost-effectiveness maana yake? Kwamba gharama inaweza kubwa ila ina ufanisi zaidi, mfano umeme wa hydro tunaona risk zake imagine bila gesi hali ingekuwaje wakati huu wa ukame?? But gesi tuna trillion of cubic litres so supply ni reliable hivyo gharama zinapunguza risk.
Hata SGR ina gharama kuliko reli ya kawaida kma Tazara ila je tuache kujenga reli yenye ufanisi zaidi kisa gharama?? Tusiangalie gharama ya direct tu but angalia hta ufanisi, risk, na supply reliability.
Basi wasichimbe tutachimba wenyewe tukishakuwa na pesa
 
Huja yako ni ya kijinga sana muhalifu anaangalia volunarable source za kuweza kuhujum sio rahisi aifikie mitambo ya gesi
Maji ndio vulnerable? wakati impact yake itakua ndogo mradi wa kinyerezi utakapofika full capacity?

Hujuma huwa inapiga pale ambapo advantage ilipo, sasa mtu akushambulie kwenye 40% akuache kwenye 60% sasa hyo ni hujuma au utani?
 
Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.

Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.

Kwanza turudi kwenye facts, hizi ni world wide acceptable facts, sio assumptions wala projections, ni facts. Hizi ukienda Google utazikuta na ukienda kwenye field hata China utazikuta, hazibadiliki.

Kuzalisha unit moja ya umeme kwa gesi kwa pesa za kitanzania ni shilingi 147, maji ni 36, nuclear ni 65, jua ni 103.5, mafuta ni 446, upepo ni 103.5, joto ardhi ni 114.5 na makaa ya mawe ni 118 kwa uchache.

Tufanye hesabu za kawaida, kujenga mtambo mmoja wa gesi, mfano Kinyerezi 2 imegharimu zaidi ya bilioni 650 ama Dollar milioni 295 hii ni taarifa ya serikali, soma hapa chini tumeijadili hio humu. Huo mradi unazalisha megawati 240.

Kwa hiyo tukijenga kinyerezi 4 gharama yake ni 650x4=2.6T sawa na Megawati 960. Hivyo tutahitaji 6.5T kujenga kinyerezi 10 zenye kupata megawati 2,400.

Kwa hiyo tunakubaliana kwamba gharama za kuzalisha megawati 2400 za gesihazina tofauti na gharama za kuzalisha 2115 za maji za bwawa la Nyerere.

Hilo la kwanza, jambo la pili, changamoto ya mitambo ya gesi ni gharama za matengenezo, mitambo ya gasi ina gharama kubwa sana za matengenezo na hilo liko wazi. Gas turbines zina maintenance costs kubwa sana kuliko mitambo ya maji, maji ukiweka mtambo leo unaweza kuchukua miaka 15 ndio ukafanya overhaul maintance ila gesi ni kila mwaka ama baada ya mwaka mmoja.

Hivyo gesi ina gharama mara 3 ya gharama za maji lakini pia ina gharama kubwa sana za matengenezo.

Jambo lingine, ni.ewahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.

Ukisikia mtu anasema eti umeme wa maji umepitwa na wakati ujue huyo ni eidha dalali ama haelewi anachokisema, ni mjinga ila kwa watu kama Zitto wanajua wanachokisema, walishahongwa tayari.
Angalia nchi ambazo zinajenga hydro power hadi leo, hadi nchi za mabwana zao kama Canada wanajenga Hydro Power Plant.

Ama Canada hawajui kua maji yamepitwa na wakati?

Zitto na wenzako tunajua nyie ni madalali, mmeshalipwa mpige kelele, pigeni tu.

Watu wanataka kupiga hela . Mtashangaa huko tunakokwenda maana watu walikabwa kabali sasa wameachiwa wanapumua kwenye hewa safi. Wanataka kuanza yale ya zamani ya kupiga hela
 
Zitto mwenye ekari zaidi ya kumi ufukweni, pale msimbati aliekua ameplan kujenga hotel na apartments anaachaje kupigania gesi ile ili viwanja vyake visife bure
 
nionavyo mimi hapa ni lazima yuwe na energy backup, inaweza kuwa ni gharama kubwa kweli kwa hiyo mitambo mingine, lakini kutegemea hydropwer kwa asilimia tuseme 70 bila backup kutoka kwenye vyanzo vingine ni hatari kubwa maana maji yetu haya tunamtegemea MUNGU 100% na kwa sababu sisi binadamu ni vichwa ngumu katuacha tuhangaike na mabadiliko ya tabia ya nchi!!!. Gharama ya kukosa umeme ni kubwa sana kama tutakwenda na mtazamo wa kujenga mitambo ya kuzalisha umeme ya bei rahisi tu. Mi nashauri Serikali ifanye yote kwa ufanisi na si kwa ufisadi. Kuhusu gas kuuzwa najiuliza ni nani alibeba cost za kufanya utafiti wa hiyo gas, ni sisi na TPDC yetu?!? au ni wakubwa na mipesa yao?!? na kwa makubalino yapi?!?
Kua na mchanganyiko wa vyanzo vya umeme ama productions mix ni jambo jema sana na ni mpango wa serikali kua na mix ya hydro, gas, fuel, gei thermal nk, hilo halina shida.

Shida ni kina Zitto kulazimisha ionekane kwamba maji ama hydro ni mambo yaliyopitwa na wakati, hakuna kitu kama hicho.

Hao mabwana zao wenyewe bado wanajenga hydro, kwani wao hawajui kua hydro project zimepitwa na wakati?

Ges iwepo kama back up na pale kwenye shida ila maji bado ni gharama nafuu sana.
 
Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.

Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.
Zitto na wenzako tunajua nyie ni madalali, mmeshalipwa mpige kelele, pigeni tu.
Mkuu Hakimu Mfawidhi , kwanza asante sana kwa facts ulizoweka humu, umetuelimisha sana.

Kwa vile heading ni udalali wa Zitto, na wewe ni mtu wa facts, nilitegemea una facts za jinsi Zitto anavyo dalalia hiyo gesi.

Hakuna mtu yoyote anayebisha kuwa umeme wa Hydro power ndio the cheapest but the most unreliable and not sustainable kutokana na kutegemea mvua, na kufuatia mabadiliko ya tabia nchi, umeme wa maji sio umeme wa uhakika.

Umeme nyingine zote ni more expensive but more reliable and sustainable.

Kwa vile Tanzania tuna gesi bwerere ya kutupatia umeme wa uhakika, sikuona ni kwanini twende kwenye unreliable source na huku we have reliable sources?.

P
 
Jambo lingine, ni.ewahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.
Mkuu Hakimu Mfawidhi , kuna kitu hapa umekisema ni kitu kikubwa sana na mimi niliwahi kukiulizia.
P
 
Unajua gharama za kudrill na kuigeuza kutoka kimiminika hadi kuwa gesi? tena ile ya Mnazi Bay ndio chini ya bahari kabisa hiyo pesa na vifaa hatuna so anachimba mwingine kma tu dhahabu na sie tunapewa stahiki zetu ikiwemo kodi, mrabaha n.k kama zilivyo concession agreenents zingine otherwise hizo trillion 30+ hatuwezi zimudu wenyewe.

Unajua cost-effectiveness maana yake? Kwamba gharama inaweza kubwa ila ina ufanisi zaidi, mfano umeme wa hydro tunaona risk zake imagine bila gesi hali ingekuwaje wakati huu wa ukame?? But gesi tuna trillion of cubic litres so supply ni reliable hivyo gharama zinapunguza risk.
Hata SGR ina gharama kuliko reli ya kawaida kma Tazara ila je tuache kujenga reli yenye ufanisi zaidi kisa gharama?? Tusiangalie gharama ya direct tu but angalia hta ufanisi, risk, na supply reliability.

haujamwelewa mjenga hoja wewe zitto bandia

hizo gharama za kudrilll wala hajasema, umebadili swali bazazi weee

hoja ni umeme wa maji ni nafuu, na ulichoandika wewe ni kuthibitisha umeme wa gas ni gharama!!! sawa na mtoa hoja
 
Ndugu hakimu
Tunaomba utueleweshe vya kutosha kutokana na hii hoja yako hapa kwamba hawa watu ni madalali na wewe uko sahihi kwa hichi unachoongea hapa

Mfano umesema unit moja inayozalishwa kwa maji ni sh 36 yani iko tayari kwenda kwa mlaji
Lakini leo hii mlaji anaipata unit moja kwa zaidi ya shilingi350

Kwa elfu1000 tuseme mteja anapata unit 3
Ambazo zinazalishwa kwa shilingi 100 umeona
Kwaiyo umeme unaozalishwa kwa bilion moja aunauzwa kwa bilion 10

Kwanini tushindwe kutumia makaa kuzalisha umeme ikiwa itatucost 118 na tutauza kwa zaidi ya shilingi 300 kwa unit

Ikiwa hili liko nje ya uwezo wa shirika la umeme serikali ina nia gani na wananchi
Sekta binafsi zipo achaneni nalo mbona mnang'anga'nia

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
layman thinking!!!
 
Naomba kujazia kwenye makaa. Ruvuma daily wanaanzisha machimbo mapya. Daily morethan 300 semitreller zinasafirisha kuwaletea huko wakubwa mzalishie viwandani. Waliahidi kuzalisha megawatt 400+. Baadae wakasema gharama ni kubwa kuliko kuwaletea umeme wa grid ya Taifa. So grid imefika hd Ngaka huko kwenye machimbo ya awali. Hayo makaa wanasema miaka 400 ijayo yataendelea kuwepo yaani hatuweziyamaliza. Why wasitie msukumo huko?
Mimi binafsi siamini sana ktk uhakika wa umeme wa maji kutokana na mabdiliko ya tabia nchi.
 
nionavyo mimi hapa ni lazima yuwe na energy backup, inaweza kuwa ni gharama kubwa kweli kwa hiyo mitambo mingine, lakini kutegemea hydropwer kwa asilimia tuseme 70 bila backup kutoka kwenye vyanzo vingine ni hatari kubwa maana maji yetu haya tunamtegemea MUNGU 100% na kwa sababu sisi binadamu ni vichwa ngumu katuacha tuhangaike na mabadiliko ya tabia ya nchi!!!. Gharama ya kukosa umeme ni kubwa sana kama tutakwenda na mtazamo wa kujenga mitambo ya kuzalisha umeme ya bei rahisi tu. Mi nashauri Serikali ifanye yote kwa ufanisi na si kwa ufisadi. Kuhusu gas kuuzwa najiuliza ni nani alibeba cost za kufanya utafiti wa hiyo gas, ni sisi na TPDC yetu?!? au ni wakubwa na mipesa yao?!? na kwa makubalino yapi?!?
Kwa kuwa serikali ni ileile, tuamini ilibeba yenyewe chini ya chama chetu pendwa - ccm. So hapa zito anapigwa tu lkn tunajua hiyo mikataba na mengineyo nani walifanya
 
haujamwelewa mjenga hoja wewe zitto bandia

hizo gharama za kudrilll wala hajasema, umebadili swali bazazi weee

hoja ni umeme wa maji ni nafuu, na ulichoandika wewe ni kuthibitisha umeme wa gas ni gharama!!! sawa na mtoa hoja
Nimemuelewa sana na ndio kosa mnafanya mnaangalia gharama tu kuliko ufanisi!! Mfano SGR tusijenge kisa ni gharama kuliko hzi conventional rail lines??

Tukisema tuangalie kipengele cha gharama pekee then kuna miradi kibao ingeshakwama coz ni costly kuliko iliyopo!! Ila mie nasema tuangalie ufanisi na reliability among other factors tusikariri gharama.
 
Kua na mchanganyiko wa vyanzo vya umeme ama productions mix ni jambo jema sana na ni mpango wa serikali kua na mix ya hydro, gas, fuel, gei thermal nk, hilo halina shida.

Shida ni kina Zitto kulazimisha ionekane kwamba maji ama hydro ni mambo yaliyopitwa na wakati, hakuna kitu kama hicho.

Hao mabwana zao wenyewe bado wanajenga hydro, kwani wao hawajui kua hydro project zimepitwa na wakati?

Ges iwepo kama back up na pale kwenye shida ila maji bado ni gharama nafuu sana.
mpaka leo hii,hakuna mbadala wa umeme wa maji kwa bei rahisi,uhifadhi wa mazingira,renewable energy na tukijipanga vizuri maji ya kwenye bwawa yatakuwa na manufaa kwa jamii kwa maana ya kilimo cha umwagiliaji,uvuvi,n.k. politiki ni politiki
 
Back
Top Bottom