Udalali wa Zitto & Co kwa makampuni ya gesi na mafuta

Johnson Fundi

JF-Expert Member
Jan 11, 2011
1,043
2,000
Kua na mchanganyiko wa vyanzo vya umeme ama productions mix ni jambo jema sana na ni mpango wa serikali kua na mix ya hydro, gas, fuel, gei thermal nk, hilo halina shida.

Shida ni kina Zitto kulazimisha ionekane kwamba maji ama hydro ni mambo yaliyopitwa na wakati, hakuna kitu kama hicho.

Hao mabwana zao wenyewe bado wanajenga hydro, kwani wao hawajui kua hydro project zimepitwa na wakati?

Ges iwepo kama back up na pale kwenye shida ila maji bado ni gharama nafuu sana.
mpaka leo hii,hakuna mbadala wa umeme wa maji kwa bei rahisi,uhifadhi wa mazingira,renewable energy na tukijipanga vizuri maji ya kwenye bwawa yatakuwa na manufaa kwa jamii kwa maana ya kilimo cha umwagiliaji,uvuvi,n.k. politiki ni politiki
 
Hakimu Mfawidhi

JF-Expert Member
Oct 30, 2018
3,084
2,000
Mkuu Hakimu Mfawidhi , kwanza asante sana kwa facts ulizoweka humu, umetuelimisha sana.

Kwa vile heading ni udalali wa Zitto, na wewe ni mtu wa facts, nilitegemea una facts za jinsi Zitto anavyo dalalia hiyo gesi.

Hakuna mtu yoyote anayebisha kuwa umeme wa Hydro power ndio the cheapest but the most unreliable and not sustainable kutokana na kutegemea mvua, na kufuatia mabadiliko ya tabia nchi, umeme wa maji sio umeme wa uhakika.

Umeme nyingine zote ni more expensive but more reliable and sustainable.

Kwa vile Tanzania tuna gesi bwerere ya kutupatia umeme wa uhakika, sikuona ni kwanini twende kwenye unreliable source na huku we have reliable sources?.

P
Mkuu, kama ulivyosema mwenyewe gas ni more expensive, reliable ila sustainability yake iko quetionable kwa sababu hiyo gesi sio renewable energy, tukianza kuitumia extensively and exclusively miaka 10 tu inaisha, halafu tunaenda wapi?

Hiyo investment tunayokua tumeweka hapo ya trillions of money tunaipeleka wapi?. Gas inaweza kutupatia umeme wa uhakika kwa muda flani ila sio na sio kwa muda mrefu. Maji yanaweza kutupatia umeme kwa muda mrefu zaidi, hakuna siku maji yataisha Duniani ama mvua haitanyesha mwaka ama miama 2, haipo. Maji yanawwza kusababisha upungufu wa umeme miezi 2, 3, 4 ama 6 lakini sio muda wote

Halafu tunapozungumzia mabadiliko ya tabia ya nchi huku kwetu tunaelekea upande wa kukosa mvua tu, sio kweli. Mabadiliko yanaweza pia kupelekea mvua zisizo na kikomo hivyo kupelekea maji ya kutosha kwa muda mrefu lakini pia kwa hydro tunakua tumedhibiti mafuriko hayo maeneo ambayo tumejenga plants hizo.

Kumbuka Mtera ilijengwa kuzuia mafuriko na kisha ndio wakaweka plant ya umeme, mtera umewahi kusikia mafuriko tena?

Mkuu udalali wa zitto uko wazi, huhitaji jicho la tatu kuona udalali wa Zitto uko wapi. It is pretty obvious Zitto anapigia debe gesi kwa sababu zilizo wazi kwamba ana maslahi binafsi nayo.
 
JUAN MANUEL

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
4,029
2,000
Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.

Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.

Kwanza turudi kwenye facts, hizi ni world wide acceptable facts, sio assumptions wala projections, ni facts. Hizi ukienda Google utazikuta na ukienda kwenye field hata China utazikuta, hazibadiliki.

Kuzalisha unit moja ya umeme kwa gesi kwa pesa za kitanzania ni shilingi 147, maji ni 36, nuclear ni 65, jua ni 103.5, mafuta ni 446, upepo ni 103.5, joto ardhi ni 114.5 na makaa ya mawe ni 118 kwa uchache.

Tufanye hesabu za kawaida, kujenga mtambo mmoja wa gesi, mfano Kinyerezi 2 imegharimu zaidi ya bilioni 650 ama Dollar milioni 295 hii ni taarifa ya serikali, soma hapa chini tumeijadili hio humu. Huo mradi unazalisha megawati 240.

Kwa hiyo tukijenga kinyerezi 4 gharama yake ni 650x4=2.6T sawa na Megawati 960. Hivyo tutahitaji 6.5T kujenga kinyerezi 10 zenye kupata megawati 2,400.

Kwa hiyo tunakubaliana kwamba gharama za kuzalisha megawati 2400 za gesihazina tofauti na gharama za kuzalisha 2115 za maji za bwawa la Nyerere.

Hilo la kwanza, jambo la pili, changamoto ya mitambo ya gesi ni gharama za matengenezo, mitambo ya gasi ina gharama kubwa sana za matengenezo na hilo liko wazi. Gas turbines zina maintenance costs kubwa sana kuliko mitambo ya maji, maji ukiweka mtambo leo unaweza kuchukua miaka 15 ndio ukafanya overhaul maintance ila gesi ni kila mwaka ama baada ya mwaka mmoja.

Hivyo gesi ina gharama mara 3 ya gharama za maji lakini pia ina gharama kubwa sana za matengenezo.

Jambo lingine, ni.ewahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.

Ukisikia mtu anasema eti umeme wa maji umepitwa na wakati ujue huyo ni eidha dalali ama haelewi anachokisema, ni mjinga ila kwa watu kama Zitto wanajua wanachokisema, walishahongwa tayari.
Angalia nchi ambazo zinajenga hydro power hadi leo, hadi nchi za mabwana zao kama Canada wanajenga Hydro Power Plant.

Ama Canada hawajui kua maji yamepitwa na wakati?

Zitto na wenzako tunajua nyie ni madalali, mmeshalipwa mpige kelele, pigeni tu.
Nchi hii kila mtu aliyekwenye system,serikalini,mashirika ya umma,kwenye Siasa,wote ni wapigaji tu,ni Malaya wa kiuchumi,
We usione mtu anashupalia kitu bungeni ukafikili ni kwa ajili ya sie kina yakhe,hapo watu wameishakuwa lobbyed na watu wa nje,sasa ni kusimamia maslahi ya mabwana zao,
Kuanzia Ikulu,mpaka serikali ya Kijiji,kila kiongozi ni mpigaji tu,inategemea na urefu wa kamba.
What matters is ammassing welthy by any means possible,irlegal or legal
 
Ndebile

JF-Expert Member
Sep 14, 2011
6,732
2,000
nnsnsatfa.jpg
 
Ame

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
4,450
2,000
Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.

Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.

Kwanza turudi kwenye facts, hizi ni world wide acceptable facts, sio assumptions wala projections, ni facts. Hizi ukienda Google utazikuta na ukienda kwenye field hata China utazikuta, hazibadiliki.

Kuzalisha unit moja ya umeme kwa gesi kwa pesa za kitanzania ni shilingi 147, maji ni 36, nuclear ni 65, jua ni 103.5, mafuta ni 446, upepo ni 103.5, joto ardhi ni 114.5 na makaa ya mawe ni 118 kwa uchache.

Tufanye hesabu za kawaida, kujenga mtambo mmoja wa gesi, mfano Kinyerezi 2 imegharimu zaidi ya bilioni 650 ama Dollar milioni 295 hii ni taarifa ya serikali, soma hapa chini tumeijadili hio humu. Huo mradi unazalisha megawati 240.

Kwa hiyo tukijenga kinyerezi 4 gharama yake ni 650x4=2.6T sawa na Megawati 960. Hivyo tutahitaji 6.5T kujenga kinyerezi 10 zenye kupata megawati 2,400.

Kwa hiyo tunakubaliana kwamba gharama za kuzalisha megawati 2400 za gesihazina tofauti na gharama za kuzalisha 2115 za maji za bwawa la Nyerere.

Hilo la kwanza, jambo la pili, changamoto ya mitambo ya gesi ni gharama za matengenezo, mitambo ya gasi ina gharama kubwa sana za matengenezo na hilo liko wazi. Gas turbines zina maintenance costs kubwa sana kuliko mitambo ya maji, maji ukiweka mtambo leo unaweza kuchukua miaka 15 ndio ukafanya overhaul maintance ila gesi ni kila mwaka ama baada ya mwaka mmoja.

Hivyo gesi ina gharama mara 3 ya gharama za maji lakini pia ina gharama kubwa sana za matengenezo.

Jambo lingine, nimwahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.

Ukisikia mtu anasema eti umeme wa maji umepitwa na wakati ujue huyo ni eidha dalali ama haelewi anachokisema, ni mjinga ila kwa watu kama Zitto wanajua wanachokisema, walishahongwa tayari.
Angalia nchi ambazo zinajenga hydro power hadi leo, hadi nchi za mabwana zao kama Canada wanajenga Hydro Power Plant.

Ama Canada hawajui kua maji yamepitwa na wakati? Canada, Brazil, Paraguay, China, Ghana, Eithiopia, aindia na nchi kadha wa kadha wao hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable, mbona wao bado wanajenga hydro plants?

Zitto na wenzako tunajua nyie ni madalali, mmeshalipwa mpige kelele, pigeni tu.
La msingi sana gesi ni fossil fuel, chafuzi kwa mazingira, kusema umeme wa maji umepitwa na wakati ni kukosa weledi na umakini katika kutetea jambo na ni hatari kwa mtu anayezingatia maslahi ya taifa na watu wake
 
Freddie Matuja

JF-Expert Member
Jul 21, 2018
1,282
2,000
Asante kwa andiko lako zuri na analytical.

Umeme wa maji ndio best duniani kote na hauwezi kupitwa na wakati. Hao wananchi wanaoshadidia gesi ni mbumbumbu wanaoongozwa na chuki dhidi ya JPM na wakina Zitto ni makuwadi wa mafisadi. Kumtumia Zitto ni sehemu ya mkakati wa kulaghai watu kwa sababu wale wajinga watamwona Zitto kama mpinzani hivyo anachosema kina mantiki wakati siyo.

Fikiria katika mazingira haya ya kukosekana umeme bado waziri anaona kipaumbele ni kuwalipa wahindi US Dollar million 30 zaidi ya shilingi bilioni 70 kwa shughuli ya kitapeli.
Ukipitia taarifa mbalimbali, JNHPP ni ndogo sana ukilinganisha na za wenzetu huko Duniani wakiwemo China na Brazil ambao in the last four years wameanza kuzalisha umeme mwingi sana.

Nimeweka nukuu na chart ya Hydro power stations.

..This article provides a list of the largest hydroelectric power stations by generating capacity. Only plants with capacity larger than 2,000 MW are listed.

The Three Gorges Dam in Hubei, China, has the world's largest instantaneous generating capacity (22,500 MW), with the Itaipu Dam in Paraguay/Brazil in second place (14,000 MW)

Name
Country
River
Installed
capacity
(MW)
Annual
production
(TW-hour)
[note 1]
Area
flooded
(km²)
Years of completion
Three Gorges DamChinaYangtze22,500111.8 [6]1,0842008/2012
XiluoduChinaJinsha13,860[8]55.22014[9]
Belo MonteBrazilXingu11,233[10]39.54412016-2019
GuriVenezuelaCaroní10,23553.414,2501978, 1986
WudongdeChinaJinsha10,200392020-2021[11]
XiangjiabaChinaJinsha6,44830.795.62014[13]
KrasnoyarskRussiaYenisei6,000152,0001967/1972
NuozhaduChinaMekong5,85023.9[15]3202014[16]
Jinping-IIChinaYalong4,80024.232014
JirauBrazilMadeira3,75019.12582014/2016
Santo AntonioBrazilMadeira3,580[22]21.24902012/2016
Goupitan DamChinaWu3,000[25]9.67942009/2011
Guanyinyan DamChinaJinsha3,00013.622014/2016
LudilaChinaJinsha2,1609.962014[32]
AswanEgyptNile2,100115,2501967/1970
Baihetan DamChinaJinsha2,000[note 6]2021/?

Hapa chini kuna orodha ya miradi mingine mingi inayoendelea ikiwamo Angola na yote hii inazalisha zaidi ya 2000MW.

ZZK ni mtu mwongo kweli ili apate anachokitaka. Ni aibu sana kumwamini mtu mwongo na mwenye hila.
 
  • Thanks
Reactions: RMC

pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
13,375
2,000
Jambo lingine, nimwahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.
Hapa yule 'mtu wetu wa Msoga' hakwepi kabisa haya maafa aliyotuachia Tz. Ametuachia vilio vikubwa sana Tz na bila huruma na bado anajitahidi tena kulinda huu uhuni aliufanya kwa kupenyeza mtu wake ktk hii wizara nyeti.
 
koyola

JF-Expert Member
May 20, 2015
2,608
2,000
Huyu Zito akija kuwa raisi wa nchi mjue ndo atakuja kuwa raisi tajiri kuliko wote ktk Africa...anajua mipango...na kuhadaa watu
 
RMC

JF-Expert Member
Nov 16, 2013
786
1,000
Hapa yule 'mtu wetu wa Msoga' hakwepi kabisa haya maafa aliyotuachia Tz. Ametuachia vilio vikubwa sana Tz na bila huruma na bado anajitahidi tena kulinda huu uhuni aliufanya kwa kupenyeza mtu wake ktk hii wizara nyeti.
Usisahau pia ndiye muasisi wa ufisadi katika umeme; enzi za awamu ya pili akiwa waziri wa nishati ndiye aliyepitisha IPTL kwa mkataba wa miaka ishirini, alipokalia kiti akaleta Richmond kwa kushirikiana na swahiba wake kisha fedha za escrow zikapigwa huku tukizugwa kuwa siyo za umma, na sasa anaturudisha kule kule kwa IPTL . Unaona mpira unavyochezwa!

Haya yanayofanyika sasa ni well calculated move.
 
DidYouKnow

JF-Expert Member
Jul 28, 2019
984
1,000
Kwa mtu ambae haelewi ama hajui anaweza kusoma hoja za Ziito na wenzake kina Heche, Lema nk kwamba wana hojaya maana sana kumbe hakuna kitu. Tunaojua tunajua hao ni madalali kama madalali wengine wale aliosema Lukuvi walipe kodi.

Bora hao madalali wa vyumba na nyumba na viwanja, hawa kina Zitto ni madalali wa rasilimali za nchi.

Kwanza turudi kwenye facts, hizi ni world wide acceptable facts, sio assumptions wala projections, ni facts. Hizi ukienda Google utazikuta na ukienda kwenye field hata China utazikuta, hazibadiliki.

Kuzalisha unit moja ya umeme kwa gesi kwa pesa za kitanzania ni shilingi 147, maji ni 36, nuclear ni 65, jua ni 103.5, mafuta ni 446, upepo ni 103.5, joto ardhi ni 114.5 na makaa ya mawe ni 118 kwa uchache.

Tufanye hesabu za kawaida, kujenga mtambo mmoja wa gesi, mfano Kinyerezi 2 imegharimu zaidi ya bilioni 650 ama Dollar milioni 295 hii ni taarifa ya serikali, soma hapa chini tumeijadili hio humu. Huo mradi unazalisha megawati 240.

Kwa hiyo tukijenga kinyerezi 4 gharama yake ni 650x4=2.6T sawa na Megawati 960. Hivyo tutahitaji 6.5T kujenga kinyerezi 10 zenye kupata megawati 2,400.

Kwa hiyo tunakubaliana kwamba gharama za kuzalisha megawati 2400 za gesihazina tofauti na gharama za kuzalisha 2115 za maji za bwawa la Nyerere.

Hilo la kwanza, jambo la pili, changamoto ya mitambo ya gesi ni gharama za matengenezo, mitambo ya gasi ina gharama kubwa sana za matengenezo na hilo liko wazi. Gas turbines zina maintenance costs kubwa sana kuliko mitambo ya maji, maji ukiweka mtambo leo unaweza kuchukua miaka 15 ndio ukafanya overhaul maintance ila gesi ni kila mwaka ama baada ya mwaka mmoja.

Hivyo gesi ina gharama mara 3 ya gharama za maji lakini pia ina gharama kubwa sana za matengenezo.

Jambo lingine, nimwahi kumsikiliza mkuu wa TPDC akisema gesi ya kuzalisha umeme inauzwa bei ghali Tanzania kwa sababu visima vyote vya gesi ni vya wageni, sio vya Watanzania, tpdc wakasema wamepewa hela na serikali wachimbe visima vyao 2 ili wauzie TANESCO ili kushusha bei ya umeme. Kwa hiyo gesi inayochimbwa sio yetu, ilishauzwa na watanzania wenzetu tuliowapa dhamana, hivyo tutalazimika kuinunua kwa bei ghali, hilo liko wazi kabisa.

Ukisikia mtu anasema eti umeme wa maji umepitwa na wakati ujue huyo ni eidha dalali ama haelewi anachokisema, ni mjinga ila kwa watu kama Zitto wanajua wanachokisema, walishahongwa tayari.
Angalia nchi ambazo zinajenga hydro power hadi leo, hadi nchi za mabwana zao kama Canada wanajenga Hydro Power Plant.

Ama Canada hawajui kua maji yamepitwa na wakati? Canada, Brazil, Paraguay, China, Ghana, Eithiopia, aindia na nchi kadha wa kadha wao hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable, mbona wao bado wanajenga hydro plants?

Angalia hapa, China anajenga Baihetan Hydro Power project yenye megawati 16,000 ambayo itakua ndio plant ya pili kwa ukubwa China, bado haijakamilika, je China hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable source of electricity wajikite kwenye gesi?

Bado china ana mpango wa kujenga hydro project kubwa kuliko zote Duniani ya kutoka Megawati laki 6

Hii Red Rock Hydro Power inayojengwa Iowa Marekani, Je marekani hawajui kua maji ni unreliable and unsustainable source of electricity?

Zitto na wenzako tunajua nyie ni madalali, mmeshalipwa mpige kelele, pigeni tu.
Ndugu kabla hatujaangalia option zilizopo, ungezumzia upatikanaji wa hizo resources. Sasa hayo maji yenyewe yako wapi? Mbona rahisi sana kusema? Tutumie maji ya Bahari ya Hindi au Ziwa Victoria?
 
jamvimoto

JF-Expert Member
Jul 28, 2015
1,024

Nashukuru kwa shule hii hili la kusema gas imeuzwa nili sikia 2014 kwa raia wa kigeni
Ilileta mtafaruku wa kideplomasia na Norway,
Hata hivyo ili mradi tumeshajenga bwana la nyerere tumalizie tu hizi Uturn hazina afya
 
Nazgur

JF-Expert Member
Apr 19, 2020
3,578

Kuna watanzania wanajifanya wajanja na waelewa na kuwazidi hao walioanzisha mambo hayo,
Leo zito na wenzake waseme maji yamepitwa na wakati wakati huko yalipoanzishwa hayo ma bwawa hayajavunjwa na yanafanya kazi.

Ni wajinga peke yao watakao waamini hao zito na wenzake.
 
Tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
44,409
2,000
Zitto Kabwe project Work!

Endeleeni kudanganya wajinga.ila
Tunaomba kamati ya bunge ya nishati na viwanda vyanzo vya maji na mabwawa yote yenye mitambo ya kuzalisha umeme wa hydroelectric ili kutuwakilisha wananchi tujiridhishe kama kweli mabwawa yamekauka.

Sababu kila kiongozi mwandamizi amekuja na kauli tofauti kuhusiana na sakata hili la mgao wa umeme na hivyo kupelekea sisi wananchi kushindwa kujua nani ndio msemakweli.

Kamati ipi ya bunge, hao majizi ya kura? Kuna jambo lolote linatakiwa na serikali hilo bunge likajirishisha? Hilo bunge wabunge wa CCM si ndio hao walipitisha mradi wa gas kwa hati ya dharura kipindi cha JK? Alipokuja Magufuli wakapitisha tena mradi wa SG? Hao bendera fuata upepo watajiridhisha na kipi against serikali? Hebu tulia we mtoto.
 
emmanuel mruma

JF-Expert Member
Feb 14, 2017
1,704
2,000
Amna alie uza gas... Ni kama tu ambavo tumeingia mikataba na makampuni kama Accasia na mengne kibao ya wazungu yanayochimba dhahabu na madini mengine.. Yeye anaweka capital, wewe unachukua chako naye anafanya biashara...
 
Stroke

JF-Expert Member
Feb 17, 2012
25,301
2,000
Gesi tumeshapigwa hilo halina ubishi.

Bora tuendelee na miradi ya Hydropower tu.

Hao madalali kina zito ndio waliokuwa wakipigia kampeni serikali inunue mitambo mtumba ya kufua umeme ile ya pale Ubungo .
 
Midimay

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
1,222
2,000
Lingine la muhimu ni kwamba HEap tunaifahamu kwa hiyo ni rahisi kuiendesha na kuimiliki kuliko gesi ambayo mchimbaji anakuwa beberu, mitambo ya beberu, chetu ni umeme tu. Sio kitu cha kutegemea kwa usalama wa nchi.
 
Mulokozijr12

JF-Expert Member
Oct 27, 2014
2,773
2,000
Zitto Kabwe project Work!

Endeleeni kudanganya wajinga.ila
Tunaomba kamati ya bunge ya nishati na viwanda vyanzo vya maji na mabwawa yote yenye mitambo ya kuzalisha umeme wa hydroelectric ili kutuwakilisha wananchi tujiridhishe kama kweli mabwawa yamekauka.

Sababu kila kiongozi mwandamizi amekuja na kauli tofauti kuhusiana na sakata hili la mgao wa umeme na hivyo kupelekea sisi wananchi kushindwa kujua nani ndio msemakweli.
Mkuu huko kwenu hakuna jua kali kama ninalokutana nalo huku nilipo?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom