natamani kusomea udaktari wa mifugo Veternary Medicine, najua chuo ni kimoja tu hapa kwetu nifahamisheni changamoto nyingine na matumaini kama yapo kuhusu kada hii;

We dogo pga hyo k2,i hv my brother aliisoma hyo pale sua,leo yeye ndo ananifanya mie niishi mjini..afu ni rahc kupata scolarshp ya kuruka nje 4 further studies bt msuli wake utataman ujifiche uvunguni.

usipopata taarifa zozote zakueleweka unaweza kusomea huu udaktari maana pia unalipa mjini hapa dogo

Dah mkuu tunatishana namna hiyo,maana na mimi nimechaguliwa kozi hiyo hiyo.

Hautishwi!ni maramianane udokta wa binaadam!wa wanyama kazi iko,we kakaze msuli maana wenzio hua wanaamua kuacha chuo kwa ugumu wa hlo dude,alaf kibaya zaidi hautokubaliwa kubadili hyo coz!!?braaah....

asante kwa kunipa moyo but ninahitaji kuongea nawe privately kama upo SUA,naomba unielekeze njia ya kupata contacts zako

Una uhakika na unachokinena?vipi kuhusu wale fisi,simba,mbweha,kalungulyeye,nyati pamoja na chui?unadhani ni rahisi,sisi ni wamoja mkuu,tushirikiane.

Rattus rattus pia!