Udakitari wa Kupewa Kwa Viongozi wa Nchi Masikini Dunia. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Udakitari wa Kupewa Kwa Viongozi wa Nchi Masikini Dunia.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nyelesa, Jul 23, 2011.

 1. n

  nyelesa Member

  #1
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 18, 2010
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukifuatlia kwa umakini sana utaona kuwa viongozi wa Nchi Masikini sana duniani kama vile Tanzania (Ikumbukwe kuwa Tanzania si masikini isipokuwa ni ubinafsi wa viongozi wetu ndiyo maana tunaitwa masikini),wanapewa udakitari wa heshima.Na ukichunguza zaidi huoni ni kipi alichofanya hadi kupewa huo udakitari.Zipo nchi kama vile Kenya,Uganda,South Africa,Marekani,Venezuela,Ufaransa nk.Viongozi wa nchi hizo zikiwemo tajiri sana duniani (Marekani,Ufaransa) viongozi wake mfano Bill Clinton na watangulizi wake hawakupewa udakitari wa bure.Tanzania Ben Mkapa alifanya vizuri zaidi kukuza uchumi na heshima ya Mtanzania,lakini hakupewa Udakitari.Mtangulizi wake naye hakupewa.Hayati Mwl Nyerere ambaye aliweka misingi ya Tanzania alipewa,lakini hakupenda kuitwa kwa Udakitari huo.Kenya chini ya Mzee Arap Moi,naye hakupewa,Kibaki hajapewa,Museni naye hana.Ni vigezo gani vipi vinatumika jamani?Nawasilisha kwa maoni yenu
   
 2. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hayo maswali ungewasiliana na vyuo vikuu husika nadhani ungepata majibu ya maswali yako yote.
   
Loading...