Udahili wa NACTE Septemba intake 2021/2022

Jasama

Member
Aug 22, 2021
19
6
Habari zenu wadau!

Jamani hivi meseji zinazotumwa na NACTE kwa waombaji wote ambao majina yao yalipelekwa na vyuo NACTE kwa ajili ya uhakiki wa sifa za kujiunga na vyuo, mbona mimi sijapata siku ya pili sasa toka wametoa taarifa ya matokeo ya uhakiki au inakuwaje wadau?
 
Wasiliana na Chuo husika.
Unaweza pata mawasiliano yao kwa kufunga website ya chuo husika utapata namba ya simu wapigie kwa msaada zaidi
 
Hivi kama umetumiwa iyo kodi ukaingia ukaona kozi moja wapo kati ya ulizochagua inamaana ndio umesha chaguliwa??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom