Udahili kwa vyuo ngazi ya cheti na diploma umeanza rasmi leo

Nimemaliza elimu ya secondary form 4 mwaka 2010, nilipata div3 ya point 22, nataka kujua. Je nikipitia ngazi za vyuo vya kati nitaanza na cert au dip. Natanguliza shukran zangu kwenu msaada
 
Walifungua ila wakatoa taarifa kua wamepata changamoto so watatngaza tena upya! Kwahiyo kama ni uhuni basi ni wao NACTE boss

sure walifungua mi ni mmoja wa waliofanya application tareh 15may saa sita usiku na nilifanikiwa. ..ila badae tareh 15may ikasemekana wamesitisha hadi wakitangaza tena. Ila system kuanzia saa saba night inakuwaga available, ila kwa day system inakwambia watafungua hiv karibun kuanzia sasa. ..huwa nabakiaga sielew kwamba wakifungua tena ambao tulisha apply before tutarudia application upya au tunasubiria majibu ya maombi yetu.
 
Mkuu usiku saa saba inakuwa inafunguka?
 
Me niliaply 16 asubui
 
kama unaomba chuo na mkopo mwaka huu pitia hizi link kwa kiwango kikubwa zitakusaidia

step zile ambazo ni general kuomba mkopo hizi hapa pia zilitumika mwaka jana

badhi ya vigezo vya kupata mkopo ambavyo heslb huviangalia sana

minimum requirement za kujiunga na vyuo vikuu katika programme mbalimbali

list ya website za vyuo kwa ajili ya kufanya application

jinsi ya kuverify vyet rita
 
Nimemaliza elimu ya secondary form 4 mwaka 2010, nilipata div3 ya point 22, nataka kujua. Je nikipitia ngazi za vyuo vya kati nitaanza na cert au dip. Natanguliza shukran zangu kwenu msaada
Dip but inategemeana na unataka ukasome nini na matokeo yako yapoje kulingana na unachoenda kusoma.
 
Camahanini jamaniii naomba kuuliza hivi ukisha omba chuo unajua vipi kama wamekukubalia au wamekataa naomba msaada wenu kwa anaejua zaidii anielekeze
 
Huwa wanatoa taarifa katika website zao au kama umeomba online basi katika profile yako pia utaona majibu.
 
Jamani naombeni msaada ata sielewi shida iko wapi,,,nimelipa hela lakini namba za risiti nilizotumiwa kila nikiweka wananiambia incorect nikaona isiwe tabu nikalipa tena sh elfu kumi ndio mazima hawajanitumia ata risiti mpaka sasa nikawapigia simu Vodacom wakasema hela imetumwa gepg nikawapigia hao gepg wakasema niwasailiane na nacte na hapo ndio shida nacte hawapogeagi ata uwe na shida kiasi gani,,naombeni msaada mwenye kufahamu hili
 
Hapa sijajua utasaidiwaje jaribu kuangalia kwa umakini tena hizo namba za risiti na uingize tena
 
Nenda kwenye ofisi za nacte. Au Andika shida yako kwenye kurasa zao za social network as a comment.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom