Walifungua ila wakatoa taarifa kua wamepata changamoto so watatngaza tena upya! Kwahiyo kama ni uhuni basi ni wao NACTE bossAcha uhuni blaza admission bado hawajafunguaa...sema unaforce traffic bro.
Walifungua ila wakatoa taarifa kua wamepata changamoto so watatngaza tena upya! Kwahiyo kama ni uhuni basi ni wao NACTE boss
sure walifungua mi ni mmoja wa waliofanya application tareh 15may saa sita usiku na nilifanikiwa. ..ila badae tareh 15may ikasemekana wamesitisha hadi wakitangaza tena. Ila system kuanzia saa saba night inakuwaga available, ila kwa day system inakwambia watafungua hiv karibun kuanzia sasa. ..huwa nabakiaga sielew kwamba wakifungua tena ambao tulisha apply before tutarudia application upya au tunasubiria majibu ya maombi yetu.Walifungua ila wakatoa taarifa kua wamepata changamoto so watatngaza tena upya! Kwahiyo kama ni uhuni basi ni wao NACTE boss
Mkuu usiku saa saba inakuwa inafunguka?sure walifungua mi ni mmoja wa waliofanya application tareh 15may saa sita usiku na nilifanikiwa. ..ila badae tareh 15may ikasemekana wamesitisha hadi wakitangaza tena. Ila system kuanzia saa saba night inakuwaga available, ila kwa day system inakwambia watafungua hiv karibun kuanzia sasa. ..huwa nabakiaga sielew kwamba wakifungua tena ambao tulisha apply before tutarudia application upya au tunasubiria majibu ya maombi yetu.
Me niliaply 16 asubuisure walifungua mi ni mmoja wa waliofanya application tareh 15may saa sita usiku na nilifanikiwa. ..ila badae tareh 15may ikasemekana wamesitisha hadi wakitangaza tena. Ila system kuanzia saa saba night inakuwaga available, ila kwa day system inakwambia watafungua hiv karibun kuanzia sasa. ..huwa nabakiaga sielew kwamba wakifungua tena ambao tulisha apply before tutarudia application upya au tunasubiria majibu ya maombi yetu.
Wakuu mbona nalogin nacte wanaleta mapichapicha
Hawa nacte ni mak......uma kwelisio peke ako mkuu... Kuna jamaa yangu apa nae analalamika kama wewe
Dip but inategemeana na unataka ukasome nini na matokeo yako yapoje kulingana na unachoenda kusoma.Nimemaliza elimu ya secondary form 4 mwaka 2010, nilipata div3 ya point 22, nataka kujua. Je nikipitia ngazi za vyuo vya kati nitaanza na cert au dip. Natanguliza shukran zangu kwenu msaada
Huwa wanatoa taarifa katika website zao au kama umeomba online basi katika profile yako pia utaona majibu.Camahanini jamaniii naomba kuuliza hivi ukisha omba chuo unajua vipi kama wamekukubalia au wamekataa naomba msaada wenu kwa anaejua zaidii anielekeze
Hongera umechaguliwamajib yanakuaj
Kwenye profile yakoKo yanakuja kwenye email au
Hapa sijajua utasaidiwaje jaribu kuangalia kwa umakini tena hizo namba za risiti na uingize tenaJamani naombeni msaada ata sielewi shida iko wapi,,,nimelipa hela lakini namba za risiti nilizotumiwa kila nikiweka wananiambia incorect nikaona isiwe tabu nikalipa tena sh elfu kumi ndio mazima hawajanitumia ata risiti mpaka sasa nikawapigia simu Vodacom wakasema hela imetumwa gepg nikawapigia hao gepg wakasema niwasailiane na nacte na hapo ndio shida nacte hawapogeagi ata uwe na shida kiasi gani,,naombeni msaada mwenye kufahamu hili
Sawa mkuuNenda kwenye ofisi za nacte. Au Andika shida yako kwenye kurasa zao za social network as a comment.