UDAHILI 2019/2020

freyma

Member
Jun 12, 2019
7
0
Habari zenu,naomba kujuzwa kwa yeyote anae jua kuhusu udahili wa ualimu kwa ngazi ya cheti kwa mwaka wa masomo 2019/2020,coz naona kimya na cjaona taarifa yoyote ihusuyo na udahili ualimu kwa mwaka huu.
 
Tomentosa### asante kwa kunijulisha ila naomba kujua chanzo gani naweza pata Maelezo ya udahili
 
Coz nacte hata wizara ya ualimu sijabahatika kuona udahili wa ualimu certificate utafanyika tarehe gani so naomba unifahamishe ##Tomentosa
 
Inawezekana tu unatumia panel ya chuo husika chamsingi endapo tangazo la kozi unayotaka kuomba imefunguliwa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom