MTAZAMO
JF-Expert Member
- Feb 8, 2011
- 19,643
- 33,427
Uko sahihi. Naona hata bungeni leo wabunge walioghusia hili suala kwenye bajeti ya wizara husika wamelenga zaidi kwenye ufisadi uliofanyika: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...a-wizara-ya-uchukuzi-yagaragazwa-bungeni.html.
Kuna umuhimu wa kufikiria kwa mapana zaidi.
Jana Mwakyembe amekana kuona jalada la hii issue....anasema wizara yake haihusiki........