Ud, bibo,uztawi,cbe,ifm,tumaini tunaomba mr ii uje na kitu hiki, utatubamba ile mbaya

Someni nyie watoto..Sugu hana msaada wowote kwenu. By then, yeye ni form four leaver tu, hayupo kwenye ulimwengu mnaouendea wa wasomi!

Hah hah hah ama kweli we ni kilaza, kwa hyo ruge atawasaidia vp wanafunzi kwa akiki yko? Fiesta ina miaka zaidi ya 10 je pesa anazozikusanya amewahi kutoa ht tsh 100 kwa watoto yatima? Au amewahi kuutangazia uma msimu mmoja wa fiesta wanapata pesa kiasi gani na zinasaidia vp wanajamii wenye matatizo?
Sugu ni mbuge anaweza kuwasaidia wanafunzi kwa kutetea haki zao bungeni, anaweeza kukutana nao na kuckiliza kilio chao wakati wowote, ndio maana wanafunzi pia wanamuunga mkono katika harakati zake, haiwezekani toka mwaka 1995 mpaka leo msanii anapata tshs 200 kwa tape, wakati tape zilianza kuuza tshs 500 mpaka leo 1500 msanii bado analipwa 200....
Sugu hajawahi fanya biashara na wafu fm lakini ndio mtu mwenye mfanikio kuliko wasanii wote, wa kwanza kupiga show mbele, recording n mastering, kuishi mbele na kurudi, kuuza tape zake bila wadosi,
Hao wana managed na wafu fm wamefanikiwa kp ambacho wanaweza kusema ni faida ya music?

Pia kumbuka elimu sio kigezo cha kuwin maisha, sugu form 4 bt kichwa hao wasomi mbona kawaafunika kwenye ubunge mbeya?
Km elimu maji marefu darasa la saba lakini wananchi wa korogwe wamempa ubunge na kuwatosa wenye elimu?

Sarungi profesa amekosa ubunge rorya kwa kushindwa na lameck airo darasa la saba, so usidhani elimu ni kila kitu, wangapi wasomi na bado vilaza?

Sugu anayajua maisha ya wasanii wa kibongo ndio maana anawatetea!
 
Waeleze kaka. Ni wasanii wangapi wamefanikiwa na kusimama independent wakiwa na Wafu FM?

Wafu FM imeua na inazidi kuua wasanii...mpaka pale wasanii watakapojitambua ndo wataweza kufurahia matunda ya jasho lao...yani hata DJ Feki naye eti anaujua muziki! Wafu FM!

Sugu kula nao uwaoneshe wewe ni mwanaharakati wa ukweli!
 
Back
Top Bottom