Uchunguzi wangu unaonesha kuna ongezeko la maambukizi ya Ukimwi Zanzibar, tatizo ni nini?

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
7,112
7,687
Utafiti usio rasmi Unaonyesha kuwa maambukizi ya virusi vya Ukimwi yanaongezeka kwa kasi sana katika visiwa vya znz, sababu haswa ninii?!

Ni vyema tahadhri ichukuliwe lkn pia Elimu inahitajika sana ili kuepusha au kupunguza mambukizi katika jmii, mbaya zaidi walioathirika na maambukizi ni vijaana na wasichana kati ya umri wa miaka 18 hadi 28.

Chukueni tahadhari, Ukimwi bado ni ugonjwa hatari duniani.
 
Kuna dada yangu alikua znz anaishi badae akasema amepata mchumba anataka kumuoa, tukamuozesha tukawauliza swala la kupima wakasema wenyewe wamepima baada ya miaka miwili tukagundua dada gwtu ni muatjirika na anamkanda wa jeshi mgongoni, kufatilia kumbe yule kaka aliemuoa dada angu alikuja na familia yake wanatoka maeneo ya singida wote wameathirika, inavyosemekana muathirika yoyote bara anatafutiwa kazi aje kuishi znz je lengo ni nini?
 
kuna dada yangu alikua znz anaishi badae akasema amepata mchumba anataka kumuoa, tukamuozesha tukawauliza swala la kupima wakasema wenyewe wamepima baada ya miaka miwili tukagundua dada gwtu ni muatjirika na anamkanda wa jeshi mgongoni, kufatilia kumbe yule kaka aliemuoa dada angu alikuja na familia yake wanatoka maeneo ya singida wote wameathirika, inavyosemekana muathirika yoyote bara anatafutiwa kazi aje kuishi znz je lengo ni nini?
HIZI NI SHUTUMA KUBWA SANA, TENA SANA. UNAUHAKIKA NAZO?!?
 
kwa asilimia mia na nina ushahidi wa kutosha kua ukimwi znz unaambukizwa kwa makusudi
KWAHIYO KUNA WATUMISHI WAATHIRIKA KUTOKA TANZANIA BARA, BAADA YA KUGUNDULIKA WAATHIRIKA WANAHAMISHIWA ZANZIBAR ILI KUSAMBAZA VIRUSI VINAVYOSABABISHA UKIMWI?!? INAMAANA SERIKALI YA JMT INACHUKI NA WAZANZIBARI KIASI HICHO?!? NDUGU UNAUHAKIKA?! SERIKALI IKO HUMU IMEIPATA HII SHUTUMA
 
najua serikali ipo hapa na wanalijua hilo kua wanafanya kwa makusudi
 
Utafiti usio rasmi unaonyesha kuwa maambukizi ya virusi vya Ukimwi unaongezeka kwa kasi sana katika visiwa vya znz, sababu haswa ninii?!

Ni vyema tahadhri ichukuliwe lkn pia Elimu unahitajika sana ili kuepusha au kupunguza mambukizi katika jmii, mbaya zaidi walioathirika na maambukizi ni vijaana na wasichana kati ya umri wa miaka 18 hadi 28.

Chukueni tahadhari, Ukimwi bado ni ugonjwa hatari duniani.
Mkuu data ziko wapi kuthibitisha madai yako?
 
sisi wazanzibari wenyewe ndio tunajua kua ukimwi zanzibar umeneea kwa wingi na umeenezwa kwa makusudi
Wewe mzanzibari una data? Kama huna sisi wabara tukuaminije? Vipi kama unazusha?

Lete data, watafute hata wataalam wa kada husika watusaidie kwa data mkuu.

Sio kusema unajua, vipi nikisema nami najua kuwa zanzibar hakuna ukimwi?

Data Data Data.
 
Maksud ili iweje wakati nyie ni kupe hamna msaada wowote, hamjawahi kuwa msaada, na hamtawahi na hatutaki muwe.

Hata huko kuambukizwa ukimwi maksud ni privilege you don't deserve even to have AIDS.
waulize JMT wanaong'ang'ania muungano wanafaidika na nn
 
Wewe mzanzibari una data? Kama huna sisi wabara tukuaminije? Vipi kama unazusha?

Lete data, watafute hata wataalam wa kada husika watusaidie kwa data mkuu.

Sio kusema unajua, vipi nikisema nami najua kuwa zanzibar hakuna ukimwi?

Data Data Data.
data ingia oline ya tahmini utaona
 
Back
Top Bottom