Uchunguzi Wa Polisi na Taratibu Za Mahakama Zinapoingiliwa, Je TUNA Serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchunguzi Wa Polisi na Taratibu Za Mahakama Zinapoingiliwa, Je TUNA Serikali?

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Muke Ya Muzungu, Apr 17, 2012.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Apr 17, 2012
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Hebu tuwekeni siasa ya vyama kando tuilijadili hili swala kwa undani. Huyu mwanamke Mange Kimambi amekuwa akikurupuka na shutuma lukuki. Amesema mengi sana kuhusiana na kifo cha kanumba. Kawashambulia viongozi wa CHADEMA, Kasema hajawahi kumuona kanumba wala kuangalia movies zake. Yaani amesema mengi sana ya kichochezi

  Mange Kimambi lazima ashirikiane na serikali kuhusiana na kifo cha Kanumba. Hii ni kwa sababu, siku Kanumba alipofariki, usiku huo huo aliandika kwenye blog yake kwamba, Mpenzi wa Kanumba “Lulu” ndiye aliyempa Kanumba sumu. Jana karudi na tafsiri nyingine akidai kwamba, Lulu hakuuwa kwa kusudia bali alitumiwa na Ray kutokana na upelelezi wake akishirikiana na Hoysterbay Police. Tunaiomba serikali hasa polisi na mahakam zishirikiane naye huyu mwanamke, kwa maana ameshaingilia uchunguzi wao.

  Ameingilia hadi mahakama kwa kutoa hukumu kwamba kuna watu,mtu (Ray) waliomtumia Lulu kumuua Kanumba kabla hata mahakama haijaanza kesi. Ina maana kwamba, anawafahamu au anafahamu mengi ambayo sisi hatuyajui na hata vyombo vya dola haviyajui. Kwa hiyo kama serikali ipo kweli, huyu mwanammke asiachwe huru hadi uchunguzi ukamilike. Ni maoni yangu
   
 2. s

  susu Member

  #2
  Apr 18, 2012
  Joined: Apr 27, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  mange siku zote anatafuta umaarufu kwa nguvu,kama unasoma blog yake imejaa ***** mtupu sidhani kama ana jua alisemalo.police sio wajinga kiasi hicho wakaongee nae kuhusu kesi ya lulu ambayo kila mtu anaangalia nini hatima yake .Mange siku zote anaishi kwenye fantansy full with day dream and she is very ignorant.Don't care much about what she wrote since is rubbish anway.Question her isn't going to help rather than give her attention she is seeking.
   
 3. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #3
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Freedom of speech.
  What makes you guys to conclude that her information aren't real?? Tatizo tushazoea hadi iitishwe press?
  That's how waandishi wa kujitegemea wanavyotakiwa kufanya. Hapo kosa ni la polisi, na kwa polisi wa Tz hii jinsi walivyo, hakyanani naamini huyu dada kapewa kweli hizo info. Wait and see.
  :pizza:Freedom of speech:car:
   
 4. cacico

  cacico JF-Expert Member

  #4
  Apr 18, 2012
  Joined: Mar 27, 2012
  Messages: 8,392
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  kwanza karibu jf, pili inaonekana una hasira sana na mange, posti ya kwanza tu umeona iwe ni ya kumkandamiza kama sio kumuondoa mange kabisa, mpaka ukaona useme awekwe hadi uchunguzi ukamilike! nadhani hizi personal issues ungeziweka kando, ukaangalia kwanza upepo unavyovuma. coz kama amekosea kuna watu wazima viongozi huko juu ambao wa[po responsible na hii issue nzima wala haina haja ya wewe kuleta hiyo sredi hapa. pili kama wewe sio mwenye udakuzi basi ni fan wa udakuzi, ulipoona kule hakufai baada ya kumfungulia mange blog, ukaona ufungue account jf! sikiliza mdau, hii sio sehemu ya majungu, mayb hukohuko udaku kwenu au kwenye blog ya huyo mange! acha kuleta personal isues huku hazijengi!
   
 5. Mbimbinho

  Mbimbinho JF-Expert Member

  #5
  Apr 18, 2012
  Joined: Aug 1, 2009
  Messages: 6,027
  Likes Received: 2,866
  Trophy Points: 280
  Afadhali kumbe wengi tumeliona hili, nilijua nipo peke yangu. Apeleke udaku wake huko aliko utoa:disapointed:
   
 6. m

  moshingi JF-Expert Member

  #6
  Apr 18, 2012
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 278
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Can freedom of speech override the right of innocence of "Lulu" pending the Court's ruling?? Lulu does not deserve fair
  hearing after fair investigation?? For the Great Thinker like you, not expected from you, the miscalculated reasoning like this one of "freedom of speech". Being "net zens" in this Cyber world does not warrant us to infringe rights of other "net zens" as well as of the citizens. The woman should be held accountable for the mischief.
   
Loading...