Jogookoko
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 533
- 418
Hata bob Marley alikufa kwa kansa,ni majuzi tu ndio imegundulika aliuwawa.It doesnt matter, hata kama yeye sio mtumzi, lakini imagine watu asilimia kubwa duniani wanamuona yeye ndo hero in black face. So now yeye ndo angekua na power na sio mtunzi. Afu pia hawataki any black person awe na kitu kinaitwa super ndo maana wamemudankisha afu wamesingizia kansa ili dunia ione mtu mweusi mdhaifu tu kumbe anaweza kufa kwa kansa. .
Mkuu kuna vitu undercover vya hatari. And they make sense