UCHUNGUZI WA IGP JUU YA TUHUMA ZA MAAFISA WAKE KUMBAMBIKIA UNGA MENGI Jr. ULIFIKIA WAPI?

Whisper

JF-Expert Member
Jun 2, 2009
502
207
Wana JF, itakumbukwa ya kuwa miezi kadhaa nyuma baada ya Mengi kuwatuhumu maofisa wa Polisi kutaka kumbambikizia mtoto wake madawa ya kulevya na kuwataja kwa majina na kiasi cha mgawo kilichopita kama advance, IGP aliahidi kuanzisha uchunguzi na kutoa majibu mapema iwezekanavyo. Inawezekana mimi majibu haya yalinipita maana mpaka leo sijui kinachoendelea. Je kuna mtu anaweza kunujuza mwisho ulikuwaje? Je RM alionekana muongo au uchunguzi bado unaendelea?
 
  • Thanks
Reactions: Edo
Imeisha kimya kimya make simkumbuki km mzee Mengi alieleza hatima yake...but may be uchunguzi unaendelea indefinitely
 
Imeisha kimya kimya make simkumbuki km mzee Mengi alieleza hatima yake...but may be uchunguzi unaendelea indefinitely
 
Kawaida ya Chunguzi zetu - ni kichaka cha kupooza mambo ili tuonekane kufuatilia pale tunapobanwa lakini dhamira hua haipo
 
Mzee Mengi naye atapoteza heshima very soon,kama anatoa tuhuma nzito kama izo kwenye vyombo vya habari na nchi nzima ikamuona,halafu hatuelezi kilichotokea itatufanya next time akitoa tuhuma zozte tumpuuzie kwani tutaona ni kawaida yake ku-cry wolf.
 
polisi wana kesi nyingi sana nzito za kufatilia moja wapo ni iliyotolewa na mwakyembe kutaka kuuli na al shabaab ambao aliwasilisha mpaka ushahidi wa mpango huo mpaka magari yaliyo wabeba wauwaji hao, kuna issue ya kubenea nae alitoa info ambayo ingeweza kuwasaidia polisi kuwakamata wahusika lakini mpaka leo kimya..sijui kama polisi wanafanya kazi zao pasavyo au wanafanya kwa manufaa ya ccm..kama ndege ya kijshi la nchi nyingine inatua na kuondoka na wanasema hawajui hapo utasema unajeshi
 
Unapopeleka kesi ya Mbuzi kwa fisi unategemea nini? Huu ni udhaifu mkubwa sana wa katiba yetu. Ina mashimo mengi ya kufichia maovu kama hayo. Kumbuka katiba inapokuwa dhaifu, sheria nazo zinakuwa dhaifu. No accountability at all.
 
Mwema kapoteza/kavizwa uweledi wake wa kufanya kazi kwa uwazi(transparency) cause ya kukubali kutumiwa/kulinda maslahi ya ccm. so mkuu hapo hakuna kitu tena. Inshu ile Nzowa alirudi kuendelea kuongoza kitengo(ADU), Mkumbo Charles yupo makao makuu anaendelea kama kawaida na hutakaa usikie taaarifa kwa umma ya uchunguzi ule, kumbuka hata inshu ya pingu za Jerry Muro,,taarifa ilitolewa?
 
Wana JF, itakumbukwa ya kuwa miezi kadhaa nyuma baada ya Mengi kuwatuhumu maofisa wa Polisi kutaka kumbambikizia mtoto wake madawa ya kulevya na kuwataja kwa majina na kiasi cha mgawo kilichopita kama advance, IGP aliahidi kuanzisha uchunguzi na kutoa majibu mapema iwezekanavyo. Inawezekana mimi majibu haya yalinipita maana mpaka leo sijui kinachoendelea. Je kuna mtu anaweza kunujuza mwisho ulikuwaje? Je RM alionekana muongo au uchunguzi bado unaendelea?

Ndugu yangu hili limekwisha na kuzimika kifo cha kimya kimya kama ile kesi ya Dr. Mwakyembe! Hapo ndipo ninapojiuliza kama kweli Jeshi letu hili na la ulinzi wa raia na mali zao.
 
Wana JF, itakumbukwa ya kuwa miezi kadhaa nyuma baada ya Mengi kuwatuhumu maofisa wa Polisi kutaka kumbambikizia mtoto wake madawa ya kulevya na kuwataja kwa majina na kiasi cha mgawo kilichopita kama advance, IGP aliahidi kuanzisha uchunguzi na kutoa majibu mapema iwezekanavyo. Inawezekana mimi majibu haya yalinipita maana mpaka leo sijui kinachoendelea. Je kuna mtu anaweza kunujuza mwisho ulikuwaje? Je RM alionekana muongo au uchunguzi bado unaendelea?

bado wanaendeleza uchunguzi kama kawaida dpp
 
HII NCHI NAONA MABALAA MENGI SANA TUNAJITAKIA TU WENYEWE, WATU WANAFANYA MAMBO YA AJABU AJABU KABISAA MCHANA KWEUPEEEEE NA HAKUNA ANAYE WAJIBISHWA.

Its a CRIME na watoto wetu ndio wanachojifunza, hii nchi tunaipeleka wapi sasa???? we really need to change our ways of running this country.
 
HII NCHI NAONA MABALAA MENGI SANA TUNAJITAKIA TU WENYEWE, WATU WANAFANYA MAMBO YA AJABU AJABU KABISAA MCHANA KWEUPEEEEE NA HAKUNA ANAYE WAJIBISHWA.<br><br>Its a CRIME na watoto wetu ndio wanachojifunza, hii nchi tunaipeleka wapi sasa???? we really need to change our ways of running this country.
 
Back
Top Bottom