Uchunguzi BOT: Tunatwanga Maji Kwenye Kinu

Hebu tujipe muda.Pamoja na kwamba
tahadhari ya mleta uzi si ya kupuuza hata kidogo
ila nataka niseme kitu kimoja.
Kampuni yoyote inayooperate kwa
viwango vya kimataifa,inakuwa certified
na institutions za kimataifa na hivyo kuaminika
kwa kazi wanayoifanya.Na iwepo litatokea tatizo
unakuta mara nyingi si la kizembe na wanakuwa
na bima ambazo hufidia hasara itakayoikumba kampuni hiyo
na watu hao wa bima huwakagua wateja wao mara kwa mara.

Hii inanifanya niamini kuwa,kampuni kama hii
si rahisi kukubali kupoteza heshima yake kidunia
kwa jambo kama hili kizembe kwamba mtu anataka
kuwanusuru maswaiba zake na kuikosesha kampuni
wateja na hata kuadhibiwa kwa kosa hilo hasa kwa
makampuni yaliyosajiliwa UK.

Tahadhari siyo woga(Wahenga walisema),mamlaka husika
zizingatie ushauri au wasiwasi wa mtoa uzi
ili kuhakikisha taifa kama taifa halipati hasara.
 
Back
Top Bottom