Uchumi wetu na mali zetu nani awajibike kwa hali duni???


F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,632
Likes
699
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,632 699 280
Je ni CHADEMA, CUF, TLP , NCCR-Mageuzi, UDP au CCM wanaowajibika na hali duni za maisha kwa watanzania wengi huku utajiri wa nchi ukiwaeneemesha wakubwa tu na wageni???

Nani alipaswa kuweka na kusimamia nanmna uchumi unavyowafikia WaTZ?? je ni upinzani au CCM??? au pia ni uzembe wa CHADEMA au CUF???

Yuko wapi Mrema, Yuko wapi Cheyo, yuko wapi Marsha, Yuko wapi Jaffu?? Yuko wapi Hamadi au Lipumba???

Uchumi wa nyanya matumzi ya makubwa kila asubihi sisi ni maskini kuklioan jioni italkuwa baada ya miaka 50 tangu sasa

Tunaposikia mtu anasialiti jitihada za kujikomboa kkiuchumi,inauma sana

Nawasilisha
 
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2012
Messages
6,632
Likes
699
Points
280
F

fikirikwanza

JF-Expert Member
Joined Jan 25, 2012
6,632 699 280
uchumi sasa umesimama, uchumi mdogo hauwezi kukaa bila kazi kwa siku zote hizi mfululizo bila kutikisika
 

Forum statistics

Threads 1,252,147
Members 482,015
Posts 29,798,169