Uchumi wa Z'bar hautokuwa kama TRA haijaondosha mrija wake Zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchumi wa Z'bar hautokuwa kama TRA haijaondosha mrija wake Zanzibar

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by abdulahsaf, Jun 14, 2011.

 1. a

  abdulahsaf JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2011
  Joined: Aug 31, 2010
  Messages: 859
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  [h=1] Written by makame silima // 14/06/2011 // Habari // 5 Comments

  [​IMG]Ikiwa uchumi wa Z'bar na Pesa za Kigeni zinasimamiwa na TRA jee mafuta yatasimamiwa na nani?

  [caption id="attachment_31033" align="aligncenter" width="478" caption="Tusahau maendeleo Wz'bar kama kipatikanacho chote huishia TRA."][​IMG][/caption]Mfumo wa Muungano tulionao ni mkubwa kumla mdogo kiuchumi na kimaendeleo, ikiwa Wazanzibar hatuto kataa uchumi wa Zanzibar kusimamiwa na TRA basi Wzanzibar wa lio wengi tutazidi kuzofika Zanzibar na wananchi kuwa na maicha magumu yasio kwicha.
  Hivi sasa uchumi wa forodha wote unasimamiwa na TRA na Wzanzibar huambukia %5.4 ktk bageti ya Muungano ambayo inakuchanya mapoto yake wanayo gaiwa kutoka Bara jee ikiwa tutasimamia wenyewe tutapata % ngapi?Ukilinganicha michahara mikubwa wanayolipwa watumishi Bara na ukiangalia taxi tunayo lipa Wzanzibar haingii akilini kuwa TRA isimamie uchumi wa Zanzibar hii ni uonevu na ukoloni mambo leo.
  Hivi sasa Bandari na Air-port ya Zanzibar inaingiza pato kubwa lakini lote huishia ktk mikono ya TRA na kuwanufaisha Watanganyika na sio Wazanzibar.
  [/h]Written by makame silima // 14/06/2011 // Habari // 5 Comments

 2. A

  ALI KIBERENGO Member

  #2
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 20, 2009
  Messages: 72
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Muungano Tuuvunje hiyo ndio dawa pekee ya Kuinusuru zanzibar na Walafi Wakitanganyika
   
 3. e

  eedoh05 JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 633
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 45
  Labda ccm ife au itoke madarakani ndo mtaweza kutoka humo. Kumbuka mko mfukoni mwa ccm SIO watanganyika. Watanganyika wenyewe muungano wa aina hii hawautaki. Muungano huu na ufifishaji uchumi wa tanganyika na ule wazanzibar hufanywa na ccm. Ukibisha mwuulize Abeid Jumbe na Maalimu Seif watakujulisha!

  Zanzibar hata mfurukute vipi, mwisho wenu Dodomaaaa! Mkifika makao makuu ya CCM pale Dodoma, mnachezewa mchezo wa karata tatu"kekundu, kekundu!".
   
 4. K

  Kamundu JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 22, 2006
  Messages: 2,109
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Ina maana Zanzibar kiopato chake ni zaidi ya 5% ya kipato cha Tanzania? hii si kweli kabisa Zanzibar wanakipato chini ya 5%. TRA inafanya kazi kunawakati wa Zanzibar waliachiwa na wakaanza kupitisha vitu bure na kutoroshea Bara. Zanzibar kwasaba hakuna kitu. Sababu kubwa ya kutokuwa na Hotel nyingi za kitalii ni Mila za huko haziruhusu watu kuvaa vichupi hivyo inakuwa vigumu ku Invest na wazuri hawapendi kuambiwa cha kufanya hasa kama wametoa pesa yao
   
 5. Majoja

  Majoja JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 610
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Zenj haitoendelea kama nyie wapemba/wazenji hamjarudi kwenu.
   
 6. K

  Kudi Shauri Senior Member

  #6
  Jun 14, 2011
  Joined: Nov 1, 2007
  Messages: 154
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Hawa wanaofikiri kuwa Zanzibar inaweza kuwa better off outside the Union and TRA should stop day dreaming. The moment Zanzibar is outside the Union then it will stop getting any special treatment from the Mainland. All their goods will be regarded as Foreign and taxed accordingly. They must be quite naive to think that the Mainland will allow a freeport which openly subverts the TRA. If anything the Mainland will set up a freeport under its EPZ which will be even cheaper than the Zanzibatr one. People should stop day dreaming in Zanzibar - this is not Africa of the 18th Century -We are in the 21st century!
   
Loading...