mtingi1
JF-Expert Member
- Mar 21, 2020
- 945
- 923
Awali ya yote, namshukuru Mungu kwa afya njema aliyonijalia, pili nashukuru kuwa mtanzania, pia natumaini Mungu atatuvusha katika janga la Corona.
I mean watanzania hatutakufa kwa Corona wala hatutafikia kiwango cha mitaa yetu kuwa lockdown maana maisha yetu wasaka tonge Mungu anajua.
Niende kwenye point,
Serikali yetu kuwa na lengo la kufikia uchumi wa kati, yaani UCHUMI WA VIWANDA ni jambo jema na la kupongezwa.
Katika hilo, nimeona maeneo mengi hasa katika mkoa wa Pwani VIWANDA vikijengwa kwa kasi kubwa, sisemi uongo, ukizunguka Bagamoyo, Kibaha, Mlandizi, Mkuranga utaelewa ninacho maanisha.
Kitu ambacho kinaniumiza ni kuona vijana wenzangu wa KITANZANIA wakifanya kazi hususani VIBARUA PASIPOKUWA NA KINGA yaani BIMA.
Ikiwa mtu atapata ULEMAVU KAZINI, ndio BASI TENA. Hakuna FUTURE.
JE? HAIWEZEKANI VIBARUA KUWEKEWA MAZINGIRA MAZURI YA KAZI KWA MUJIBU WA SHERIA? I mean mtu akipata kazi katika KAMPUNI ya UJENZI basi, apewe MKATABA WA MUDA MFUPI.
Kwa kuwa ujenzi wa mradi mkubwa Kama kiwanda HAIWEZEKANI kukamilika chini ya muda wa mwezi mmoja.
Mimi sio mtaalamu, ni mtanzania wa kawaida, naomba wajuvi wa mambo wanisaidie katika hili.
Ukifanya utafiti katika maeneo ya UJENZI utaona mengi, ila mimi naona ikiwa sheria ikiwekwa ya KUMLINDA mtanzania aina yetu VIBARUA, tupate MIKATABA, hata Kama ni kazi ya kuanzia mwezi mmoja+
Na wanaozisimamia SHERIA waweke mkazo katika kuwalinda ndugu zao wa hali ya chini.
HII itafanya waajiri watuheshimu.
TANZANIA YA VIWANDA INAWEZEKENA. KILA LA KHERI.
Sent using Jamii Forums mobile app