Uchumi wa viwanda bila umeme wa uhakika ni ndoto tena ya mchana kweupe

Abu_yazid

JF-Expert Member
Mar 28, 2014
3,436
4,241
548bbe20629a68b0397c9bcd8926d156.jpg
 
Akili kubwa tu ndio zinaweza jua Kanjanjatime inayochezwa na Sizonje. Kwanza saizi keshachoka pumzi imekata. Kabaki makelele tu na kuzindua kila kitu nchini. Ukisikia tamasha la wauza wali Mwanjwela mbeya. Mgeni Rasmi - Sizonje

Tamasha la Kuzindua kisima cha kata kiabakari Musoma, mgeni rasmi - Sizonje. Ndio kazi aliobakiwa nayo.

Kashindwa kuishi na akili kubwa akina Muongo, kawaondoa sasa Tanzagiza imerudi. Ila sishangai kwakuwa Vi-wonder ni vyerehani hata bila umeme tutafika tu maana vyerehani vyenyewe kazi kupinda vitenge na kanga np need of electric power
 
acha upuuzi na kuonge mambo usioyajua umeme wa kutosha upo bali serikali inafany marekebisho kwenye miondombinu ya umeme ili kukidji sera ya uchumi wa viwanda kufikia 15 dec swala la umeme kukatika litakuwa historia
 
Nimeshakusikia... Asante kwa taarifa
 
acha upuuzi na kuonge mambo usioyajua umeme wa kutosha upo bali serikali inafany marekebisho kwenye miondombinu ya umeme ili kukidji sera ya uchumi wa viwanda kufikia 15 dec swala la umeme kukatika litakuwa historia

Wewe ndiye mpuuzi wa kiwango cha PhD kushabikia kila kitu.
 
El Salvador ni nchi ya viwanda. CIP index yake ni 0.034 (UNIDO Statistics, 2017). El Salvador inazalisha umeme wa MW 1350 na Tanzania inazalisha umeme wa MW 1750 na ina CIP index 0.009.

Manufacturing Value Added ya El Salvador ni 5.1 Bil. $ (World Bank, 2016) na Manufacturing Value Added ya Tanzania ni 2.6Bil $.

Population ya El Salvador ni 6.35mil (world Bank, 2015) na population ya Tanzania ni 55million.

Sababu ni sisi wenyewe siyo wazalishaji na hatujiamini. Punguzeni porojo, hazitatusaidia na kama mnaongea muwe basi mnaongea vitu vya maana.
 
El Salvador ni nchi ya viwanda. CIP index yake ni 0.034 (UNIDO Statistics, 2017). El Salvador inazalisha umeme wa MW 1350 na Tanzania inazalisha umeme wa MW 1750 na ina CIP index 0.009.

Manufacturing Value Added ya El Salvador ni 5.1 Bil. $ (World Bank, 2016) na Manufacturing Value Added ya Tanzania ni 2.6Bil $.

Population ya El Salvador ni 6.35mil (world Bank, 2015) na population ya Tanzania ni 55million.
Sababu ni sisi wenyewe siyo wazalishaji na hatujiamini.
Ile ya south america au ingine? Kama ni ile basi kutakuwa na walakini.
 
Back
Top Bottom