Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9 katika robo ya pili ya mwaka 2016

RUCCI

JF-Expert Member
Oct 6, 2011
1,701
1,714
Uchumi wa Tanzania umekuwa kwa asilimia 7.9 katika robo ya pili ya mwaka 2016, ukuani huo umechangiwa na sekta za madini, uzalishaji na nishati.

Takwimu hizi zimetolewa na Bodi ya Takwimu nchini.

Katika robo ya kwanza uchumi ulikuwa kwa asilimia 5.5

=====================================
Tanzania's economy grew 7.9 percent in the second quarter of 2016, compared to 5.8 percent during the same time last year, the state-run National Bureau of Statistics said on Thursday.

"The growth of GDP in the second quarter was driven by mining, manufacturing and energy sectors," Albina Chuwa, the director general of the bureau, told a news conference.

"The increased production of natural gas has significantly boosted electricity generation in the country."

Tanzania's growth in the first quarter was 5.5 percent.

Source: Reuters
 
Ni vizuri sana shangilia tumsifie ...........
 
Kukua haimaanishi kuwa maisha yameboreka.
Chukua mfano mdogo tu kwa ngazi ya familia unawezakuta familia ina rasimali nyingi tu lakini bado mkaishi maishaya kindezi. Kukuakwa uchumi nikuongezeka kwa rasilimali kama uwekezaji, miundombinu na agharabu kushuka kwa baadhi ya malighafi au gharama zauzalishaji kwa tarakimu lakini.
Ukija kwenye uhalisia ni chai mihogo ugali maharage chapati mchicha na maji ya bomba.
Don't trust the politician because the reality in which they can postulate are their names
 
uchumi unakua huku wananchi twazidi ishi kama mashetani(maisha magumu). Ingekua maafa/tetemeko ni secta lazima ungekua kwa asilimia 20 zaidi.
 
Kama namuona yule mwalimu wangu wa somo la GS na kozi ya DS walivyokuwa wanafundisha juu ya gdp kwa mwembembe. Na tulipomuuliza uhusiano wa gdp na maisha halisi hakutoa majibu zaidi ya kusema mtanielewa tu.
Nami najiuliza huu uchumi huwa unakua pale hazina tu au juna eneo jingine? Mbona huku kwangu na kwingineko hatuoni hata kivuli cha tawi la mti wa uchumi? Hebu mwenye uelewa juu ya kukua kwa uchumi ilihali maisha kitaa yamebana kuliko mtego wa ngiri atuelimishe juu ya uhusiano huo.
 
Sector zilizochangia ukuaji hazina uhusiano wa moja kwa moja na wananchi wengi.
Ila hoteli ndiyo zi a uhusiano wa moja kwa moja na mwananchi.
Umeme na manufacturing hizo zinawahusu kina nani?
 
Back
Top Bottom