Uchumi wa Taifa

Msittu

Member
Apr 6, 2012
7
36
Bila shaka neno uchumi limebeba maana nzito yenye tafsiri rahisi katika maisha ya watu. Porojo za takwimu za mtakwimu Mkuu huwenda ni sehemu ya maana lakini tafsiri itabaki kwa Umma.

Tumeanza na kubomoa uchumi, sasa tunaunda takwimu kujenga uchumi.
 
Back
Top Bottom