Uchumi wa nchi safi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchumi wa nchi safi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by GeniusBrain, Jan 24, 2011.

 1. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Taasisi iliyobobea kwenye utafiti wa kiuchumi na kijamii (ESRF) imesema kuwa kwa kipindi cha miaka 10 iliyopita, serikali imejitatahidi kutekeleza malengo ya dira ya taifa ya 2025 na changamoto iliyopo sasa ni kuweka ubora katika mipango iliyotekelezwa.

  Source : Mwananchi 24.01.2011
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Hawa si wamepewa kazi ya kufanya tathmini ya utekelezaji wa programu za kukuza uchumi... sasa wanatoa matokeo kabla hawajaanza utafiti wenyewe, kulikoni?
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jukumu walilopewa ni la kupima na kukusanya mawazo ya wadau kuhusu hatua iliyofikiwa kwenye utekelezaji wa dira ya Taifa ya 2025. Ila statistics zingine mbona zipo wazi tu km GDP, GNP, PE etc ambazo zaonyesha kweli uchumi wa nchi umekuwa
   
 4. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 897
  Trophy Points: 280
  hopeless.
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sio ww ambae hujui lolote unaambiwa na then unabisha ?
   
 6. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,481
  Likes Received: 5,862
  Trophy Points: 280
  [SIZE=-1]Measuring National Output and National... [/SIZE]

  Limitations of the GDP Concept : GDP and Social Welfare [SIZE=-1]

  There are a number of aspects of economic activity that are not included in the measures of nominal and real GDP. In order to be counted, goods and services must be sold in a market. This excludes much activity for many economies. GDP and Social Welfare

  If crime levels went down, society would be better off, but a decrease in crime is not an increase in output and is not reflected in GDP. Neither is an increase in leisure time. Most nonmarket and domestic activities are not counted in GDP, even though they represent real production. Household production, for example, is not counted. Although the value of a loaf of bread that is bought in a store is counted, the value of a similar loaf baked at home is not. In this instance, only the value of the flour, yeast, and other ingredients bought in the store will be counted. Similarly, if you spend the day cleaning your house or apartment, only the cleaning products you used will be counted in GDP. However, if you hire a cleaning service to do the job, the price you pay will be counted. One result of this is that the GDPs of less developed countries, in which household production plays an important role, can be biased downward in comparison to those of GDPs of more industrialized countries.

  Other aspects that affect the standard of living for the participants in an economy are not included in GDP. Some destructive events can actually add to GDP. For example, if a hurricane rips through an area and billions of dollars are spent rebuilding homes, businesses, and other structures, those expenditures will add to GDP. In addition, some destructive aspects of economic activity are not subtracted from GDP. For example, although the value of electricity sold is counted, the negative effects of the air pollution that is created during the generation process are not deducted.

  [/SIZE]
   
 7. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Toa basi za kwako, kwani dunia nzima ndizo measures wanazo tumia kupima
   
 8. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Haa haa ha haha, uchumi safi na takwimu njema kwi kwi kwi!! Hongereni sana wanauchumi wetu wataalam wa ESRF!!!! Maisha bora mbo shwaaari tu.
   
 9. Mpenda Kwao

  Mpenda Kwao Senior Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Apr 29, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Huhitaji kuambiwa chochote kuhusu uchumi kwani kuna basic facts ambazo kila mtu anazifahamu.
  Kwamfano unaweza kujua hilo kwa kuangalia consumables za basic needs kama unga, maharage, sukari, mafuta ya taa, mchele, mkate, petroli n.k. Awamu ya nne iliachiwa foreign reserve lakini sasa hivi imeshaliwa yote.
  Tusikubali kudanganywa na uchumi wa kitabuni kwani haumsaidii chochote mwananchi wa kawaida.   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hizi takwimu zimebase kwenye kitu gani ambacho wao wanaona kuwa Serikali imeweza kutekeleza mipango ya dira kwa taifa
   
 11. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Je wamechukulia basic needs za mtu wa kawaida kama vile umeme, mafuta ya taa, sukari, mchele, unga, what about ilie foreign reserve kuna kiasi gani au hizo takwimu ni za makisio ili kufurahisha watu wachache
   
 12. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Vipi mzee wewe ni agent wa ESRF nini mbona watu wakibisha unakasirika
   
 13. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #13
  Jan 24, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,767
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  sasa inamaana mnabisha!???
   
 14. deny_all

  deny_all JF-Expert Member

  #14
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 428
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ni kweli kabisa unaloongea ....kwa uchumi wa vitabuni nchi inaweza kuonekana imepiga hatua.....Lakini sisi wananchi tunaona jana ni nafuu kuliko leo kwa hiyo unaponiambia uchumi umekuwa siwezi kuamini. Kwa Tanzania ninachoona ni kuwa kuna wachache sana (wafanyabiashara) ambao wao kipato chao kinaongezeka kwa kasi lakini wengi wetu(wafanyakazi etc) kinabaki vile vile, ambayo inafanya wastani wa pato uonekane unakua lakini sio ndio hali halisi.
   
 15. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #15
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Labda uchumi wa Dowans,CCM na wafisidi nchi ndio umekuwa. Lakini kwa upande wa mtaani kwetu hali ni tete sana. Hatuna hata kumi mfukoni!
   
 16. B

  Byendangwero JF-Expert Member

  #16
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Tathmini hizi huwa zina kasoro kubwa mbili; kwa upande mmoja haziangalii mgawanyo wa mafanikio miongoni mwa tabaka mbali mbali katika jamii. Suala hili ni muimu sana; kwa mfano, katika miaka hiyo kumi iliyopita uwiano wa mgawanyo wa keki ya taifa umevurungwa sana ili kuwapendelea wanasiasa na watendaji wa ngazi za juu kwenye utumishi wa umma. Matokeo yake kumeibuka ghafla mabilionea ambao wanapenda kutumia vitu vya anasa kutoka nje. Hali hiyo inaathili uchumi wetu
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Unataka kila kitu tukubali tu wee vipi, kama unakubali ni wewe mwenyewe kimpango wako
   
 18. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #18
  Jan 24, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hapo usiongelee habari ya umeme, kule kuna gesi, ukirudi huku petroli nayo yaani ni vururuvururu
   
 19. B

  B4U Member

  #19
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nimesikitishwa sana na huyu mtu aliye jibu haya mawazo tena Mr Safari, inaonyesha huyu Genius hana uelewa wowote juu ya uchumi, tena kuna maelezo yake mahali fulani akasema Duniani kote wanatumi vielelezo hivi hivi ktk kupima uchumi....! huyu jamaa Elimu ya uchumi iko mbali mile 10000 away from where he is...! tena pampja na kumpa walau mchanganuo kidogo wa kitaalamu still alibisha aka conclude kwa kusema leta wako!!! this is crazy!!


  Kwakumsaidia yeye na wana JF wasio jua, hapa TZ stastics za uchumi ni kiini macho tena ni swala la kuweka number na nukta tu, DUNIANI KOTE WAKIZUNGUMZA KUHUSU UCHUMI KUPANDA BASI PANAKUWA NA UNAFUU WA MAISHA WALAU KIDO LKN SIO TZ.

  Data za kupimia uchumi hapa kwetu ni dhahifu sana, kwanza interval kati ya walio nacho na wasio nacho ni kubwa na ku determine percapita income ambayo yenyewe aingalii tofauti ya kipato kwa ni...! GDP inagawanwa na Population regardless their differences in individual income, Kama vigezo walivyo tumia ni kuangalia wingi wa magari barabartani kama alivyosema raisi wenu Kikwete basi ni sawa kwa 12% tofauti na hapo ni UKICHAA MKUBWA. MIAKA KUMI NA ZAIDI HAKUNA BIDHAA ILIYO WAHI KUSHUKA BEI, KILA BAJETI INAPANDISHA KODI YA BIDHAA FULANI KA KUPUNGUZA KODI BIDHAA ZINGINE INGAWA NAZO HAZISHUKI BEI, HAKUNA NJIA MBADALA WA MAKUSANYO YA FEDHA KUKABILI BAJETI ISIPOKUWA KUONGEZA KODI, HUU NI UKICHAA NA WATAALAMU WAKE NAO VICHAA TENA..................NA
   
 20. B

  B4U Member

  #20
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 24
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uchumi, uchumi, uchumi, uchumi, sipati picha ikiwa hata neno lenyewe kwa watu mi ninaodhania kuwa ni wasomi walau kidogo humu kwenye jf wapo ambao hawajui uchumi maana yake nini sasa vijijini au wasio soma? Hakuna cha uchumi hakuna cha ungwini ni mazingaombwe tu, bora litumike neno jingine ktk ku address uchumi uone kama watu hawaja andamana, mfano waseme uchumi maana yake uwezo wa tanzania na watu wake kwa sasa umekua, oooooh! Watu watafumbuka macho alaaaah! Kumbe huwa wakisema uchumi wana maanisha uwezo sasa wata anza kuhoji hapo lazima watu wapige mayowe
  embu wathubutu waone......!!! We!!!!
   
Loading...