Uchumi wa Mkapa,Obama uliimarika kwa kasi bila kujibana: Siri,waliruhusu Mijadala mipana ya Kiuchumi.

Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
2,276
Likes
1,521
Points
280
Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
2,276 1,521 280
Siyo siri, Maraisi hawa walipokabidhiwa nchi zao zikiwa hoi kiuchumi. Lakini kwa kuruhusu mijadala ya wazi nini kifanyike,walishinda majaribu. Hatimaye,uchumi wa nchi na watu wao ukaimarika bila kubanana au kulalamikia watangulizi wao. Mikakati yao ilishirikisha hata watangulizi wao wanaosadikika kuharibu uchumi. Tulishudia Obama na Bush wakija Tanzania katika ndege moja kusaka miradi ya kiuchumi. Tumeshuhudia "Sulivan Summit" wakiwepo kina Comrade Andrew Young wakija Arusha kujadili nasi,namna ya kujiwezesha uchumi wetu sisi weusi ukue. Tumeshuhudia wanaharakati wengi wa masuala ya kijamii na kisiasa katika enzi za maraisi hao zikiwa active kujadili,kushauri na kupingana kwa hoja,hadi muafaka kupatikana katika hali ya amani. Mfano,ni ule mpango kabambe wa kupunguza gharama za afya (Obamacare) kwa watu wa kipato cha chini na kati ambao hata Raisi Trump imebidi aridhie japo hakutaka.
Kwa maoni yangu, na kwa mtizamo wa dunia ya sasa, mijadala,makongamano,ushirikishwaji wa taasisi na wachumi mbalimbali ni jambo zuri katika kuweka mustakabali imara wa ukuzaji uchumi.
 
Bhikalamba

Bhikalamba

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2015
Messages
496
Likes
464
Points
80
Bhikalamba

Bhikalamba

JF-Expert Member
Joined Dec 6, 2015
496 464 80
Yule mwingine uliye mtaja napata kigugumizi, si ndie aliyekuwa akishauriwa kuhusu mikataba ya ovyo katika madini, anatubeza na kutuita tuna wivu na ni wavivu wa kufikiri!! Au siyo yeye?!!
 
Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
2,276
Likes
1,521
Points
280
Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
2,276 1,521 280
Yule mwingine uliye mtaja napata kigugumizi, si ndie aliyekuwa akishauriwa kuhusu mikataba ya ovyo katika madini, anatubeza na kutuita tuna wivu na ni wavivu wa kufikiri!! Au siyo yeye?!!
Inawezekana kwa vile tunakubali kugeuzika kwa kila kitu,hatuna msimamo kama wenzetu. Mfano,unaambiwa usiongee,nisikilize mimi tu,matatizo yako nayajua yote,nitayamaliza. Nawe unakaa kimya,sasa uitweje kwa vile tayari hufikiri tena ?na kuna mtu anafikiria kila kitu kwa niaba yako?
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
19,268
Likes
11,574
Points
280
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
19,268 11,574 280
Bavicha ni wepesi sana kusahau,enzi za mkapa na yule mtu wake wa kula nyasi nani aliruhusiwa kujadili uchumi?umesahau mpaka Lipumba akaitwa professor uchwara?
Subirini 2020 mkichaguliwa mtafanya mabadiliko mnayoyataka
 
erique

erique

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2010
Messages
485
Likes
354
Points
80
erique

erique

JF-Expert Member
Joined Apr 23, 2010
485 354 80
Siyo siri, Maraisi hawa walipokabidhiwa nchi zao zikiwa hoi kiuchumi. Lakini kwa kuruhusu mijadala ya wazi nini kifanyike,walishinda majaribu. Hatimaye,uchumi wa nchi na watu wao ukaimarika bila kubanana au kulalamikia watangulizi wao. Mikakati yao ilishirikisha hata watangulizi wao wanaosadikika kuharibu uchumi. Tulishudia Obama na Bush wakija Tanzania katika ndege moja kusaka miradi ya kiuchumi. Tumeshuhudia "Sulivan Summit" wakiwepo kina Comrade Andrew Young wakija Arusha kujadili nasi,namna ya kujiwezesha uchumi wetu sisi weusi ukue. Tumeshuhudia wanaharakati wengi wa masuala ya kijamii na kisiasa katika enzi za maraisi hao zikiwa active kujadili,kushauri na kupingana kwa hoja,hadi muafaka kupatikana katika hali ya amani. Mfano,ni ule mpango kabambe wa kupunguza gharama za afya (Obamacare) kwa watu wa kipato cha chini na kati ambao hata Raisi Trump imebidi aridhie japo hakutaka.
Kwa maoni yangu, na kwa mtizamo wa dunia ya sasa, mijadala,makongamano,ushirikishwaji wa taasisi na wachumi mbalimbali ni jambo zuri katika kuweka mustakabali imara wa ukuzaji uchumi.
inaelekea huna kumbukumbu sahhivi neno UKAPA chanzo chake kilikua nini??
 
Cannabis

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Messages
998
Likes
2,053
Points
280
Cannabis

Cannabis

JF-Expert Member
Joined Jan 20, 2014
998 2,053 280
Hivi Mkapa si ndio alikuwa na sera ya ubinafsishaji wa kila mali ya serikali? Angetokea mwingine mwenye kasi kama yake bila shaka Mito, mabonde na milima ingekuwa mali ya mwekezaji kutoka nje.

Kwa kifupi tumekuwa tukiongozwa na chama kimoja toka tupate Uhuru , hao tuliowapa dhamana ya uongozi wamefanya maamuzi mbali mbali mabovu na wamekuwa wakilindwa na wanachama wenzao wanaowaachia kijiti cha kuongoza taifa hili.

Nchi yetu haijawahi kuwa na uwajibikaji halisi kwa upande wa Rais, ndio maana Rais anaweza fanya madudu kwa miaka yake kumi na kupumzika bila ya bugudha yoyote pale kipindi chake kinapoisha.
 
Khalidoun

Khalidoun

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Messages
2,506
Likes
3,668
Points
280
Khalidoun

Khalidoun

JF-Expert Member
Joined Feb 12, 2013
2,506 3,668 280
Obama na Bush walikuja kipindi cha Mkapa? Ile Sullivan Summit nayo kipindi cha Mkapa?
 
Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
2,276
Likes
1,521
Points
280
Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
2,276 1,521 280
Hivi Mkapa si ndio alikuwa na sera ya ubinafsishaji wa kila mali ya serikali? Angetokea mwingine mwenye kasi kama yake bila shaka Mito, mabonde na milima ingekuwa mali ya mwekezaji kutoka nje.

Kwa kifupi tumekuwa tukiongozwa na chama kimoja toka tupate Uhuru , hao tuliowapa dhamana ya uongozi wamefanya maamuzi mbali mbali mabovu na wamekuwa wakilindwa na wanachama wenzao wanaowaachia kijiti cha kuongoza taifa hili.

Nchi yetu haijawahi kuwa na uwajibikaji halisi kwa upande wa Rais, ndio maana Rais anaweza fanya madudu kwa miaka yake kumi na kupumzika bila ya bugudha yoyote pale kipindi chake kinapoisha.
Inawezekana tulikuwa tunamshangaa tu bila kushiriki uchumi wa soko huria tukawaachia wengine. Tuna tabia ya kuamini mtu atufanyie sisi tubaki kumshangilia bila kujiongeza. Hata china iliingiza ubinafsishaji na wachina wenyewe wakajitambua haraka na kushiriki bila malalamiko.
 
Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Messages
2,276
Likes
1,521
Points
280
Kididimo

Kididimo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2016
2,276 1,521 280
Obama na Bush walikuja kipindi cha Mkapa? Ile Sullivan Summit nayo kipindi cha Mkapa?
Sijasema kipindi cha Mkapa,ila aliyepokea kijiti aliendeleza sera alizozikuta.
 
Forum statistics

Threads 1,236,462
Members 475,125
Posts 29,258,766