Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

Hayo marekebisho yataisha lini? Halafu hii dhana ya kusema tulikuwa na uchumi wa wauza unga haiko sawa ni serikali kujaribu kukwepa majukumu
ML.gif
 
na
Sasa wewe umeshindwa mwenyewe kulipa deni la bank,halafu lawama unatupia watu wengine,au ulitaka serikali ndio ikulipie deni lako?
Nan kaomba kusaidiwa kulipa deni. Nyinyi ndo walewapumbavu tunaowazungumzia humu. Kinacholalamikiwa ni ukosefu wa mzunguko.
ok mimi najishughulisha na kusindika unga wa sembe, na kinachotunyanyua siku zote ni pale ambapo kunakuwa na uhaba wa mahindi. Na hapo ndo huwa mkulima anafaidi. Nyinyi mkastopisha uuzaaje mahindi nje, kutokana na kipato kupungua ule ulaji watu umepungua zaid ya hapo watu sasa hivi wamehamia kwenye kununua vindoo vidogo vya mahindi ili kwenda kusaga sabb ya pato kupungua.
Zaman nilikuwa na uwezo kuuza au kusaga mpaka tan 60 kwa wiki ambayo faida mara nyingi ilicheza kwenye laki nane kwa tan kumi. Kwa wiki walau 4mil nisingeweza shindwa rejesho la 2mil kwa mwezi. Sasa hivi ukifanikiwa uza tan tan kwa siku wewe mwanaume kweli.
Muwe mnajifunza hata elimu ya biashara ndo maana mnatukaanwa wavivu au degree zenu za vyupi. Bora hata zile za ifm zinaonekana
 
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha umasikini kinapungua Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi - JamiiForums lakini hali za maisha kwa walio wengi, zinazidi kuwa ngumu siku hadi siku, uchumi wa taifa unakuwa, huku uchumi wa watu individual na sekta binafsi ukizidi kuporomoka ambapo sekta binafsi ambayo ndio inategemewa kuwa the drivers we uchumi wa nchi ikiwemo Tanzania ya viwanda, ndio mhanga mkuu wa mdororo wa uchumi na ndiye anaye suffer the most.

Kwa upande wa maendeleo, ni kweli nchi yetu inapiga hatua kubwa za maendeleo, majengo, miundombinu, mabarabara, flyovers, viwanda, midege mikubwa, SGR, Stigler Gorge etc, lakini haya yote ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu.

Je, Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?-

Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?. - JamiiForums

Tena msije kusema kuwa tulinyamaza, Sisi jf tumesema sana, tumeuliza sana humu

Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT - JamiiForums

Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi? - JamiiForums

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums

Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!. - JamiiForums

Maendeleo ya kweli TZ Yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike! - JamiiForums

Kwa sasa naona kama sisi sekta binafsi tuna suffer. Ku suffer huko kulianzia kufungwa kwa maduka makubwa ya bidhaa na supermarkets. Zilianza super markets za Shoprite, zikaja Uchumi, piteni maeneo ya Shoppers Plaza mshuhudie frames tupu wenyewe wamefungasha. Hata mtaa wa Samora lile jengo jipya la NHC mtaa wa Samora, lilikuwa full, sasa kuna mapengo.
Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago! - JamiiForums

Yakafuata baadhi ya mashirika na makampuni kufilisika hivyo kupunguza wafanyakazi,Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Yakaja mabenki. na sasa ni maduka ya fedha.

Wakati yote haya yakitokea, sisi media hatukuyaangazia vya kutosha kwa kudhani hayatuhusu!.

Sasa kibano hicho cha hali ngumu ya uchumi, kimeigusa sekta ya Media ambapo media kubwa kabisa nchini zimeanza kutikisika.

Kwenye media ilianza Star TV, kati ya wafanyakazi 500, ililazimika kupunguza wafanyakazi 100, mwaka 2016 wakabaki 400, mwaka jana wakapunguza 200 wakabaki 200, sijui mwaka huu, lakini kipindi chake most popular cha Jicho letu ndani ya habari, kinachoendeshwa na Mkongwe Dotto Bulendu, hakipo hewani!
Star Tv na Redio Free kupunguza wafanyakazi - JamiiForums

Leo kumepatikana taarifa ya wafanyakazi wa gazeti kubwa la the Guardian, hawajalipwa mishahara kwa miezi 3, hivyo kitakachofuata ni kupunguza wafanyakazi.Mti wa Xmas wazua simanzi kwa wafanyakazi wa The Guardian Limited - JamiiForums

Japo familia ya the Citizen Mwananchi, bado hawajatangaza kulia njaa, lakini kama hii ndio hali halisi ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, then hata Citizens, litakuwa halina jinsi, lazima nalo soon litatangaza kupunguza wafanyakazi.

Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Wito kwa waandishi wenzangu, walioajiriwa kwenye media industry, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usitegemee ajira pekee na usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku na njiwa, na Kwa waandishi wa kike ni mambo ya ndoo na kidumu.

Kwa sisi wanaume, kuku ni kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kidumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, angalau unabaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki rais Magufuli aweze kukuza uchumi wa nchi yetu kwa Tanzania ya viwanda kifanikiwa, tuwe nchi ya uchumi wa kati, tukielekea kuwa nchi ya ahadi kwa mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali
Jumatano Njema.
Paskali
Pascal, haya mambo ni magumu. Ukiangalia kinachoitwa biashara za TZ utaona kichefuchefu! Biashara zilitegemea uhusiano na watu serikalini na siyo uhusiano na serikali. Mwenye mafanikio ni yule aliyetambulishwa kwa mkubwa fulani na fulani hadi chini, angalau kwa kumtakia Happy birthday mr fulani! Enzi hizi ambazo rais hataki mazoea ya aina hiyo, biashara inakufa. Yanasemwa mambo ya mazingira bila kutueleza ni mazingira gani hayo. Kodi hazijabadilika na hatuna sheria yoyote mpya juu ya kodi.

Tatizo kubwa ni wafanyabiashara kulazimisha biashara na serikali kupitia watumishi wake (misheni) badala ya hata ya kufanya biashara kati ya kampuni na kampuni. Uhusiano wa kampuni na kampuni kwa nchi hizi ni sabotage tu! Huyu aanguke nami niinuke.

Ukiwa mfanyabiashara, buni njia mpya badala ya kulazimisha uhusiano wa kidugu ktk biashara.
 
Mimi mwenyewe nilikua na maduka 2 Wafanyaka 2 yaani wauzaji now nimefunga 1 nimebaki na 1 na hata ivi kenyewe mda wowote linafungwa pia cjui nitafanya mishe gani watoto wangu watakula nn shule za kulipia nikisha watoa siku nyingi now wapo st. kayumba au ....nitatudia kazi yangu ya zamani. Hali ni mbaya jmn Mungu skia kilio chetu tundoolee hili tatizo jmn
Ulivyoandika ni kama vile na wewe umetokea st.Kayumba.Kazi yako ya zamani ni ipi ,ujambazi au uchangudoa?
 
na
Nan kaomba kusaidiwa kulipa deni. Nyinyi ndo walewapumbavu tunaowazungumzia humu. Kinacholalamikiwa ni ukosefu wa mzunguko.
ok mimi najishughulisha na kusindika unga wa sembe, na kinachotunyanyua siku zote ni pale ambapo kunakuwa na uhaba wa mahindi. Na hapo ndo huwa mkulima anafaidi. Nyinyi mkastopisha uuzaaje mahindi nje, kutokana na kipato kupungua ule ulaji watu umepungua zaid ya hapo watu sasa hivi wamehamia kwenye kununua vindoo vidogo vya mahindi ili kwenda kusaga sabb ya pato kupungua.
Zaman nilikuwa na uwezo kuuza au kusaga mpaka tan 60 kwa wiki ambayo faida mara nyingi ilicheza kwenye laki nane kwa tan kumi. Kwa wiki walau 4mil nisingeweza shindwa rejesho la 2mil kwa mwezi. Sasa hivi ukifanikiwa uza tan tan kwa siku wewe mwanaume kweli.
Muwe mnajifunza hata elimu ya biashara ndo maana mnatukaanwa wavivu au degree zenu za vyupi. Bora hata zile za ifm zinaonekana

Duuuh!!!kwa akili hiyo ya kutegemea mpaka kuwe na uhaba wa mahindi ili uweze kupiga faida ndefu,wewe ni haki yako kufilisika.
Umiza kichwa kijana,biashara siku zote ina changamoto zake,acha kulaumu wengine kwa makosa yako mwenyewe.
 
Kutatua matatizo ya kiuchumi kwa kutoa kipaumbele kwa mashirika ya umma hauwezi kufanikiwa. Fedha inayolipwa kwa sector binafsi inakuwa na mzunguko mpana zaidi na hivyo kuleta hali chanya ktk uchumi wa nchi. Tunaimba uchumi wa viwanda, lakini uwezo wa wanunuzi unazidi kudorora. Viwanda vingi vinavyojengwa ni kwa ajili ya soko la ndani ambalo kipato chake kinakua kwenye official statistics na siyo hali halisi on the ground.
 
Una
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha umasikini kinapungua Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi - JamiiForums lakini hali za maisha kwa walio wengi, zinazidi kuwa ngumu siku hadi siku, uchumi wa taifa unakuwa, huku uchumi wa watu individual na sekta binafsi ukizidi kuporomoka ambapo sekta binafsi ambayo ndio inategemewa kuwa the drivers we uchumi wa nchi ikiwemo Tanzania ya viwanda, ndio mhanga mkuu wa mdororo wa uchumi na ndiye anaye suffer the most.

Kwa upande wa maendeleo, ni kweli nchi yetu inapiga hatua kubwa za maendeleo, majengo, miundombinu, mabarabara, flyovers, viwanda, midege mikubwa, SGR, Stigler Gorge etc, lakini haya yote ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu.

Je, Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?-

Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?. - JamiiForums

Tena msije kusema kuwa tulinyamaza, Sisi jf tumesema sana, tumeuliza sana humu

Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT - JamiiForums

Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi? - JamiiForums

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums

Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!. - JamiiForums

Maendeleo ya kweli TZ Yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike! - JamiiForums

Kwa sasa naona kama sisi sekta binafsi tuna suffer. Ku suffer huko kulianzia kufungwa kwa maduka makubwa ya bidhaa na supermarkets. Zilianza super markets za Shoprite, zikaja Uchumi, piteni maeneo ya Shoppers Plaza mshuhudie frames tupu wenyewe wamefungasha. Hata mtaa wa Samora lile jengo jipya la NHC mtaa wa Samora, lilikuwa full, sasa kuna mapengo.
Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago! - JamiiForums

Yakafuata baadhi ya mashirika na makampuni kufilisika hivyo kupunguza wafanyakazi,Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Yakaja mabenki. na sasa ni maduka ya fedha.

Wakati yote haya yakitokea, sisi media hatukuyaangazia vya kutosha kwa kudhani hayatuhusu!.

Sasa kibano hicho cha hali ngumu ya uchumi, kimeigusa sekta ya Media ambapo media kubwa kabisa nchini zimeanza kutikisika.

Kwenye media ilianza Star TV, kati ya wafanyakazi 500, ililazimika kupunguza wafanyakazi 100, mwaka 2016 wakabaki 400, mwaka jana wakapunguza 200 wakabaki 200, sijui mwaka huu, lakini kipindi chake most popular cha Jicho letu ndani ya habari, kinachoendeshwa na Mkongwe Dotto Bulendu, hakipo hewani!
Star Tv na Redio Free kupunguza wafanyakazi - JamiiForums

Leo kumepatikana taarifa ya wafanyakazi wa gazeti kubwa la the Guardian, hawajalipwa mishahara kwa miezi 3, hivyo kitakachofuata ni kupunguza wafanyakazi.Mti wa Xmas wazua simanzi kwa wafanyakazi wa The Guardian Limited - JamiiForums

Japo familia ya the Citizen Mwananchi, bado hawajatangaza kulia njaa, lakini kama hii ndio hali halisi ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, then hata Citizens, litakuwa halina jinsi, lazima nalo soon litatangaza kupunguza wafanyakazi.

Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Wito kwa waandishi wenzangu, walioajiriwa kwenye media industry, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usitegemee ajira pekee na usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku na njiwa, na Kwa waandishi wa kike ni mambo ya ndoo na kidumu.

Kwa sisi wanaume, kuku ni kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kidumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, angalau unabaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki rais Magufuli aweze kukuza uchumi wa nchi yetu kwa Tanzania ya viwanda kifanikiwa, tuwe nchi ya uchumi wa kati, tukielekea kuwa nchi ya ahadi kwa mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali
Jumatano Njema.
Paskali
Unataka serikali igawe hela bure ama? Tubadilishe namna ya kufanya biashara. Mbinu zibadilike...Tusikalie kulialia mwaka wa tatu sasa....Tunawalemaza watu wetu kwa vijimaneno maneno hivi!!
 
Pascal, haya mambo ni magumu. Ukiangalia kinachoitwa biashara za TZ utaona kichefuchefu! Biashara zilitegemea uhusiano na watu serikalini na siyo uhusiano na serikali. Mwenye mafanikio ni yule aliyetambulishwa kwa mkubwa fulani na fulani hadi chini, angalau kwa kumtakia Happy birthday mr fulani! Enzi hizi ambazo rais hataki mazoea ya aina hiyo, biashara inakufa. Yanasemwa mambo ya mazingira bila kutueleza ni mazingira gani hayo. Kodi hazijabadilika na hatuna sheria yoyote mpya juu ya kodi.

Tatizo kubwa ni wafanyabiashara kulazimisha biashara na serikali kupitia watumishi wake (misheni) badala ya hata ya kufanya biashara kati ya kampuni na kampuni. Uhusiano wa kampuni na kampuni kwa nchi hizi ni sabotage tu! Huyu aanguke nami niinuke.

Ukiwa mfanyabiashara, buni njia mpya badala ya kulazimisha uhusiano wa kidugu ktk biashara.
Hii nayo ni point , ila kwa suala la kodi sidhani kama mambo ni shwari kama unavyodai kwa mfanyabiashara atalielewa hili , kuna udhurmati mkubwa sana unafanyika chini ya TRA
 
Sorry mkuu, wanatoza kodi zisizokuwepo? au wanatoza viwango visivyokuwepo. Ikitokea hiyo, hapo ndo nasema unastahili kusema No! Tatizo wafanyabiashara walizoea uhusiano mwema. Wanaogopa kukataa na hata kufikishana mahakamani kwa kuamini ni uhusiano mwema.
 
pesa imehama kutoka kwenye sekta "mtegesheo" imekuja sekta "rasmi"
nimetumia goole translator kutoka Kivietnam kuja kiswahili! ngoja nielezee hii mtegesheo ni nini....yaani mtu anawekeza kufuata upepo au anategeshea fursa ambayo ameambiwa kuwa 100% ipo mfano unaanzisha gazeti kwa ajili ya kumsifia mwanasiasa flani na kisha huyo mwanasiasa anagongwa na treni na kufa na hapo mradi wako "tegesheo" unakufa!
 
Sorry mkuu, wanatoza kodi zisizokuwepo? au wanatoza viwango visivyokuwepo. Ikitokea hiyo, hapo ndo nasema unastahili kusema No! Tatizo wafanyabiashara walizoea uhusiano mwema. Wanaogopa kukataa na hata kufikishana mahakamani kwa kuamini ni uhusiano mwema.
Kuna kodi zisizo na kichwa wala miguu za kitapeli zimekuwa imposed na TRA, nadhani hata hapa juzi amelizungumzia hilo Arusha , kama unafuatilia habari umelisikia
 
NINA MADUKA YA KUUZA TOOLS NA MASHINE HAPA MJINI NILIKUWA NALETA MALI BILA UJANJA WAKATI HUO NA AWAMU YA 5 NALETA MALI BILA UJANJA UKWELI SIJAONA MATATIZO YOYOTE AWAMU HII YA 5 KWANGU BIASHARA IPO KAMA KAWAIDA SIONI TABU NA NASAFIRI KULETA MALI KILA BAADA YA WIKI MBILI HAO WANAOFUNGA BIASHARA NAONA WALIISHI KIUJANJA UJANJA MAISHA YOTE NDIO MAANA WANASHINDWA
 
Mwanza kwa masaa manne unafikaje mkuu....
Labda utajibu SRG ikikamilika...
Basi twende na data,SRG inayojengwa Tanzania installed capacity yake in term of speed Ni 140KPH..
Urefu/umbali ya SRG hiyo kutoka dar hadi mwanza itakuwa Ni zaidi ya KM 1600...
Kwa hiyo treni inakayo kimbia kwa speed kubwa ya mwisho ya uwezo wa reli 140kpm(kitu ambacho Ni unlikely and dangerous) na bila kusimama kwenye kituo chochote njia nzima (non stop) itatumia masaa 11 kufika mwanza...
Sasa sijui wewe hayo masaa manne umeyapata vipi.....

Logically na Mathematically SRG hii itakuwa treni inatumia 20 hours from dar to mwanza.....
SRG ndio nini?
Shusha verified tecnical data kutoka TRC ku substaintiate masaa yako 20
 
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha umasikini kinapungua Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi - JamiiForums lakini hali za maisha kwa walio wengi, zinazidi kuwa ngumu siku hadi siku, uchumi wa taifa unakuwa, huku uchumi wa watu individual na sekta binafsi ukizidi kuporomoka ambapo sekta binafsi ambayo ndio inategemewa kuwa the drivers we uchumi wa nchi ikiwemo Tanzania ya viwanda, ndio mhanga mkuu wa mdororo wa uchumi na ndiye anaye suffer the most.

Kwa upande wa maendeleo, ni kweli nchi yetu inapiga hatua kubwa za maendeleo, majengo, miundombinu, mabarabara, flyovers, viwanda, midege mikubwa, SGR, Stigler Gorge etc, lakini haya yote ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu.

Je, Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?-

Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?. - JamiiForums

Tena msije kusema kuwa tulinyamaza, Sisi jf tumesema sana, tumeuliza sana humu

Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT - JamiiForums

Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi? - JamiiForums

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums

Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!. - JamiiForums

Maendeleo ya kweli TZ Yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike! - JamiiForums

Kwa sasa naona kama sisi sekta binafsi tuna suffer. Ku suffer huko kulianzia kufungwa kwa maduka makubwa ya bidhaa na supermarkets. Zilianza super markets za Shoprite, zikaja Uchumi, piteni maeneo ya Shoppers Plaza mshuhudie frames tupu wenyewe wamefungasha. Hata mtaa wa Samora lile jengo jipya la NHC mtaa wa Samora, lilikuwa full, sasa kuna mapengo.
Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago! - JamiiForums

Yakafuata baadhi ya mashirika na makampuni kufilisika hivyo kupunguza wafanyakazi,Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Yakaja mabenki. na sasa ni maduka ya fedha.

Wakati yote haya yakitokea, sisi media hatukuyaangazia vya kutosha kwa kudhani hayatuhusu!.

Sasa kibano hicho cha hali ngumu ya uchumi, kimeigusa sekta ya Media ambapo media kubwa kabisa nchini zimeanza kutikisika.

Kwenye media ilianza Star TV, kati ya wafanyakazi 500, ililazimika kupunguza wafanyakazi 100, mwaka 2016 wakabaki 400, mwaka jana wakapunguza 200 wakabaki 200, sijui mwaka huu, lakini kipindi chake most popular cha Jicho letu ndani ya habari, kinachoendeshwa na Mkongwe Dotto Bulendu, hakipo hewani!
Star Tv na Redio Free kupunguza wafanyakazi - JamiiForums

Leo kumepatikana taarifa ya wafanyakazi wa gazeti kubwa la the Guardian, hawajalipwa mishahara kwa miezi 3, hivyo kitakachofuata ni kupunguza wafanyakazi.Mti wa Xmas wazua simanzi kwa wafanyakazi wa The Guardian Limited - JamiiForums

Japo familia ya the Citizen Mwananchi, bado hawajatangaza kulia njaa, lakini kama hii ndio hali halisi ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, then hata Citizens, litakuwa halina jinsi, lazima nalo soon litatangaza kupunguza wafanyakazi.

Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Wito kwa waandishi wenzangu, walioajiriwa kwenye media industry, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usitegemee ajira pekee na usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku na njiwa, na Kwa waandishi wa kike ni mambo ya ndoo na kidumu.

Kwa sisi wanaume, kuku ni kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kidumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, angalau unabaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki rais Magufuli aweze kukuza uchumi wa nchi yetu kwa Tanzania ya viwanda kifanikiwa, tuwe nchi ya uchumi wa kati, tukielekea kuwa nchi ya ahadi kwa mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali
Jumatano Njema.
Paskali
Asanta saana kwa mada nzuri...ila sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku ni sawa ushauri wako mzuri lakini tutamuuzia nani hao kuku?kama uwezo wa kununua vitu umepungua mfukoni mwa watz..watu wameshaamia kwenye mboga ya maharage siku hizi na ndio maana kama umesikia jana kwenye vyombo vya habari kuna mama mmoja kamchoma moto vidole vyoote vya mikono mwanae baada ya kudokoa mboga ya maharage wakati ingekuwa enzi za Jk au enzi za Mzee ruksa huyo mtoto badala ya kuchomwa moto angeambiwa adhabu yako kula maharage yote umalize mwenyewe na hakuna wa kukusaidia...Hapa kazi tu hakuna bata....ahaa!!
 
Back
Top Bottom