Wameenda Zambia, Zambia kama yao wamechukua hadi uwanja wa ndegeKariakoo wachina walikuja juu sna,tena hawahawa wachina walikuwa na mfumo wao,wanaweza wakachukua frem hata 10 jengo moja,lakni hata wachina hawaonekani mjini wamekimbia frem wamebaki na moja tu