Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi ina-Suffer. Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Ina-suffer

Umeongea ukweli "msomi". Kuna hii habari imenisikitsha, japokua sijui sababu iliopelekea hizi kampuni mbili za QUALITY EXTENDED ENT LTD na QUALITY GROUP kuchukua maamuzi haya ya ku "WIND UP (Kuyumba, Kufilisika, na Kufikiria kuzifunga) their companies in accordance with the Companies Act and other Laws".

Ila kilichonisikitisha ni kwamba watanzania wenzetu (wenye familia na wasiokua na familia) kupoteza ajira zao. Sambamba na TRA kukosa walipa kodi (hayo makampuni yanao wind up ni lazima ya declare LOSS hivo hawatalipa kodi kwasababu hawapati faida).

Ingewasaidia kama ungewapa mapema, huo ushauri wako wa "USISUBIRI KUPUNGUZWA KAZINI". Hatari sana
tapatalk_1544022490996.jpeg
 
Unajua msiongee kama kasuku.unaweza kutuelezea hapa mfano wa hela chafu zilizokuwepo wakati huo ambazo zimechangia kuvuruga uchumi wa nchi hii kwa sasa!?
Business restructuring, kulikuwa na hela chafu zisizokuwa na tija mtaani- hizi zimepotea na madhara yake pengine ndiyo haya. Kufungwa kwa biashara zipo sababu nyingi maana hata kipindi kile unachodhani hali ilikuwa salama pia biashara zilikuwa zinafungwa na biashara mpya zinafunguliwa.
 
Mtaendelea kujifariji kwa vijineno hivi kwa muda mfupi tu,punde hicho kiajira chako kitakapoguswa ndipo utaelewa lugha wanayoitumia wenzako! Maana hata shetani nae alikuwa malaika once upon a time!
 
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, sasa kasi hiyo imeanza kuporomoka ambapo sekta binafsi ndio mhanga mkuu kwa Ku suffer.

Ku suffer huko kulianzia kufungwa kwa maduka makubwa ya bidhaa na supermarkets.

Yakafuata baadhi ya mashirika na makampuni kufilisika hivyo kupunguza wafanyakazi, sasa kibano hicho kimeigusa sekta ya Media ambapo media kubwa kabisa nchini zimeanza kutikisika.

Kwenye media ilianza Star TV, kati ya wafanyakazi 400, ililazimika kupunguza wafanyakazi 200!.

Leo kumepatikana taarifa ya wafanyakazi wa gazeti kubwa la the Guardian, hawajalipwa mishahara kwa miezi 3, hivyo kitakachofuata ni kupunguza wafanyakazi.

Japo familia ya the Citizen Mwananchi, hawajaniingizia kibano, lakini kama hii ndio hali halisi ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, then hata Citizens, litakuwa halina jinsi, lazima nalo soon litatangaza kupunguza wafanyakazi.

Mimi mwenyewe, Kampuni yangu ya PPR, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu Kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu tumehama, tumehamia jengo la Posta House!.

Wito kwa waandishi wenzangu, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku (kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kudumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, ubaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Magufuli aweze.
Jumatano Njema.
Paskali
Tulishakuambia sasa bora ujionee mwenyewe.
Tuna bahati mbaya sana ya kuwa na marais wasio jua uchumi kwa wale wa malaysia korea kusini india taiwan singapore indonesia kenya
 
Watu wa media tukiacha unafiki wa mapambio kwa jiwe tunaweza kuokoa taifa kwa sera mbovu za kiimla zilizosheheni uhumanless kwa ulaghai wa kutumia neno ambalo nalichukia km shetani eti "Wanaolalamika walikua wapiga dili "huku wafuasi wake wakipanua midomo yenye shibe kuimba pambio la hili la kikatili.
 
Niliambiwa biashara zinazokufa ni za ujanja ujanja.
Uko karibu na ukweli japo wengi hawataki. Media anayozungumzia Pascal Mayalla ni kweli iko kwenye hali mbaya lakini hapa mimi sioni ni kwa nini tulaumu utawala.
1. Official Media iko kwenye hali mbaya kutokana na kuzuka kwa media nyingi ''mbadala'' zenye kutoa habari moto moto, za kutoka jikoni na kwa wakati mwafaka. Kwa mfano ajali inapotokea leo, zamani tulikuwa tunasubiri gazeti la kesho ili kupata habari zaidi. Lakini siku hizi kuna kila utitiri wa ma-blog na social media ambazo hutoa habari hapo kwa hapo hivyo wasomaji wengi wamepungua
2. Media nyingi zilianzishwa huku zikitegemea kufanya kazi za kijanja janja. Fedha zilizokuwa zinapatika kutoka kwa wanasiasa tangu ilipoingia awamu ya nne mpaka inapotoka zilitoka kwa wanasiasa na makundi yao ya kutafuta urais. Timu Membe vs Lowassa ilikuwa inalisha waandishi wa habari wengi sana. Wengine mpaka walijenga. Kwa upande mwingi waandishi wajanja walianzisha vigazeti vyao ambavyo vingi vilikuwa vinategemea fedha za serikali hasa kwa njia ya matangazo ambayo wala hayakuwa na umuhimu.
3. Baadhi ya media zilikuwa zinafaidika sana wakati wa safari zisizoisha za viongozi wa awamu ya nne. Walisafiri na waandishi wa habari bila pasipokuwa na sababu za msingi. Wengine kama kina Nyalandu walifikia kupeleka machangu mpaka USA eti kwenda kutangaza utalii.
Kwa ujumla hakuna mchawi ila mchawi ni waandishi wenyewe wamezoea vya kunyonga.
 
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, sasa kasi hiyo imeanza kuporomoka ambapo sekta binafsi ndio mhanga mkuu kwa Ku suffer.

Ku suffer huko kulianzia kufungwa kwa maduka makubwa ya bidhaa na supermarkets.

Yakafuata baadhi ya mashirika na makampuni kufilisika hivyo kupunguza wafanyakazi, sasa kibano hicho kimeigusa sekta ya Media ambapo media kubwa kabisa nchini zimeanza kutikisika.

Kwenye media ilianza Star TV, kati ya wafanyakazi 400, ililazimika kupunguza wafanyakazi 200!.

Leo kumepatikana taarifa ya wafanyakazi wa gazeti kubwa la the Guardian, hawajalipwa mishahara kwa miezi 3, hivyo kitakachofuata ni kupunguza wafanyakazi.

Japo familia ya the Citizen Mwananchi, hawajaniingizia kibano, lakini kama hii ndio hali halisi ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, then hata Citizens, litakuwa halina jinsi, lazima nalo soon litatangaza kupunguza wafanyakazi.

Mimi mwenyewe, Kampuni yangu ya PPR, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu Kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu tumehama, tumehamia jengo la Posta House!.

Wito kwa waandishi wenzangu, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku (kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kudumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, ubaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Magufuli aweze.
Jumatano Njema.
Paskali
Naunga mkono hoja!
 
Aisee kila mtu analalamika,

Lakini kanuni ya kijeshi inasema kuruta wakifarakana mafunzoni,jua kozi imekolea,ni ishara kwamba watu wameiva.

jiandaeni kuepuliwa sasa,2019 hiyo yaja,kila mtu ajipange maana malaika mkuu atapita kukagua maandishi ya damu ya mwanakondoo,juu ya kizimba cha mlango wa nyumba yake.
 
Ni kweli Pascal Mayalla, Monetary policy inafanya kazi yake. Kwa msiofahamu google Monetary Policy ujue maana yake, then linganisha JK Vs JPM
Mtaokoteza vimaneno vya kujifariji huku na kule lakini ukweli munauona na unawagusa hata nyie,mulichobaki nacho ni mahaba tu ila mifukoni hamna kitu! Kama Manji anatoka mbio je wewe ni nani hadi ujifanye huioni hatari inayotukabili?
 
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, sasa kasi hiyo imeanza kuporomoka ambapo sekta binafsi ndio mhanga mkuu kwa Ku suffer.

Ku suffer huko kulianzia kufungwa kwa maduka makubwa ya bidhaa na supermarkets.

Yakafuata baadhi ya mashirika na makampuni kufilisika hivyo kupunguza wafanyakazi, sasa kibano hicho kimeigusa sekta ya Media ambapo media kubwa kabisa nchini zimeanza kutikisika.

Kwenye media ilianza Star TV, kati ya wafanyakazi 400, ililazimika kupunguza wafanyakazi 200!.

Leo kumepatikana taarifa ya wafanyakazi wa gazeti kubwa la the Guardian, hawajalipwa mishahara kwa miezi 3, hivyo kitakachofuata ni kupunguza wafanyakazi.

Japo familia ya the Citizen Mwananchi, hawajaniingizia kibano, lakini kama hii ndio hali halisi ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, then hata Citizens, litakuwa halina jinsi, lazima nalo soon litatangaza kupunguza wafanyakazi.

Mimi mwenyewe, Kampuni yangu ya PPR, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu Kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu tumehama, tumehamia jengo la Posta House!.

Wito kwa waandishi wenzangu, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku (kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kudumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, ubaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki Magufuli aweze.
Jumatano Njema.
Paskali
bingo!!
watu sasa tushaanza kuongea lugha moja.

walete walete!
 
Back
Top Bottom