Uchumi wa Magufuli: Sekta Binafsi Ina Suffer, Yalianza Maduka, Yakafuata Mashirika, Sasa ni Zamu ya Media Inasuffer!.

Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,289
Likes
30,416
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,289 30,416 280
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha umasikini kinapungua Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi - JamiiForums lakini hali za maisha kwa walio wengi, zinazidi kuwa ngumu siku hadi siku, uchumi wa taifa unakuwa, huku uchumi wa watu individual na sekta binafsi ukizidi kuporomoka ambapo sekta binafsi ambayo ndio inategemewa kuwa the drivers we uchumi wa nchi ikiwemo Tanzania ya viwanda, ndio mhanga mkuu wa mdororo wa uchumi na ndiye anaye suffer the most.

Kwa upande wa maendeleo, ni kweli nchi yetu inapiga hatua kubwa za maendeleo, majengo, miundombinu, mabarabara, flyovers, viwanda, midege mikubwa, SGR, Stigler Gorge etc, lakini haya yote ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu.

Je, Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?-

Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?. - JamiiForums

Tena msije kusema kuwa tulinyamaza, Sisi jf tumesema sana, tumeuliza sana humu

Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT - JamiiForums

Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi? - JamiiForums

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums

Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!. - JamiiForums

Maendeleo ya kweli TZ Yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike! - JamiiForums

Kwa sasa naona kama sisi sekta binafsi tuna suffer. Ku suffer huko kulianzia kufungwa kwa maduka makubwa ya bidhaa na supermarkets. Zilianza super markets za Shoprite, zikaja Uchumi, piteni maeneo ya Shoppers Plaza mshuhudie frames tupu wenyewe wamefungasha. Hata mtaa wa Samora lile jengo jipya la NHC mtaa wa Samora, lilikuwa full, sasa kuna mapengo.
Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago! - JamiiForums

Yakafuata baadhi ya mashirika na makampuni kufilisika hivyo kupunguza wafanyakazi,Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Yakaja mabenki, kabla ya Magufuli, ukiingia benki kubwa zote, NMB, CRDB na NBC, unakutana foleni ndefu za wateja. Sasa kuna branches unaingia unakwenda straight to counter, anangoja wateja, IMF: Nearly half of Tanzania's banks vulnerable to financial shocks - JamiiForums

na sasa ni maduka ya fedha.

Wakati yote haya yakitokea, sisi media hatukuyaangazia vya kutosha kwa kudhani hayatuhusu!.

Sasa kibano hicho cha hali ngumu ya uchumi, kimeigusa sekta ya Media ambapo media kubwa kabisa nchini zimeanza kutikisika.

Kwenye media ilianza Star TV, kati ya wafanyakazi 500, ililazimika kupunguza wafanyakazi 100, mwaka 2016 wakabaki 400, mwaka jana wakapunguza 200 wakabaki 200, sijui mwaka huu, lakini kipindi chake most popular cha Jicho letu ndani ya habari, kinachoendeshwa na Mkongwe Dotto Bulendu, hakipo hewani!
Star Tv na Redio Free kupunguza wafanyakazi - JamiiForums

Leo kumepatikana taarifa ya wafanyakazi wa gazeti kubwa la the Guardian, hawajalipwa mishahara kwa miezi 3, hivyo kitakachofuata ni kupunguza wafanyakazi.Mti wa Xmas wazua simanzi kwa wafanyakazi wa The Guardian Limited - JamiiForums

Japo familia ya the Citizen Mwananchi, bado hawajatangaza kulia njaa, lakini kama hii ndio hali halisi ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, then hata Citizens, litakuwa halina jinsi, lazima nalo soon litatangaza kupunguza wafanyakazi.

Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Wito kwa waandishi wenzangu, walioajiriwa kwenye media industry, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usitegemee ajira pekee na usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku na njiwa, na Kwa waandishi wa kike ni mambo ya ndoo na kidumu.

Kwa sisi wanaume, kuku ni kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kidumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, angalau unabaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki rais Magufuli aweze kukuza uchumi wa nchi yetu kwa Tanzania ya viwanda kifanikiwa, tuwe nchi ya uchumi wa kati, tukielekea kuwa nchi ya ahadi kwa mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali
Jumatano Njema.
Paskali
 
Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2011
Messages
3,955
Likes
2,423
Points
280
Ndebile

Ndebile

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2011
3,955 2,423 280
pesa imehama kutoka kwenye sekta "mtegesheo" imekuja sekta "rasmi"
nimetumia goole translator kutoka Kivietnam kuja kiswahili! ngoja nielezee hii mtegesheo ni nini....yaani mtu anawekeza kufuata upepo au anategeshea fursa ambayo ameambiwa kuwa 100% ipo mfano unaanzisha gazeti kwa ajili ya kumsifia mwanasiasa flani na kisha huyo mwanasiasa anagongwa na treni na kufa na hapo mradi wako "tegesheo" unakufa!
 
C

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Messages
898
Likes
580
Points
180
C

concordile 101

JF-Expert Member
Joined Oct 13, 2013
898 580 180
Duuuh!!!kwa akili hiyo ya kutegemea mpaka kuwe na uhaba wa mahindi ili uweze kupiga faida ndefu,wewe ni haki yako kufilisika.
Umiza kichwa kijana,biashara siku zote ina changamoto zake,acha kulaumu wengine kwa makosa yako mwenyewe.
huwez elewa maana hata kujitambua hujitambui. Kasome kwanza uchumi ukimaliza njoo tuyaongee hiyo n field yang
 
Prince Dos Santos

Prince Dos Santos

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2016
Messages
1,092
Likes
935
Points
280
Age
25
Prince Dos Santos

Prince Dos Santos

JF-Expert Member
Joined Nov 23, 2016
1,092 935 280
Sorry mkuu, wanatoza kodi zisizokuwepo? au wanatoza viwango visivyokuwepo. Ikitokea hiyo, hapo ndo nasema unastahili kusema No! Tatizo wafanyabiashara walizoea uhusiano mwema. Wanaogopa kukataa na hata kufikishana mahakamani kwa kuamini ni uhusiano mwema.
Kuna kodi zisizo na kichwa wala miguu za kitapeli zimekuwa imposed na TRA, nadhani hata hapa juzi amelizungumzia hilo Arusha , kama unafuatilia habari umelisikia
 
D

drilling

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Messages
585
Likes
390
Points
80
Age
51
D

drilling

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2016
585 390 80
NINA MADUKA YA KUUZA TOOLS NA MASHINE HAPA MJINI NILIKUWA NALETA MALI BILA UJANJA WAKATI HUO NA AWAMU YA 5 NALETA MALI BILA UJANJA UKWELI SIJAONA MATATIZO YOYOTE AWAMU HII YA 5 KWANGU BIASHARA IPO KAMA KAWAIDA SIONI TABU NA NASAFIRI KULETA MALI KILA BAADA YA WIKI MBILI HAO WANAOFUNGA BIASHARA NAONA WALIISHI KIUJANJA UJANJA MAISHA YOTE NDIO MAANA WANASHINDWA
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
19,343
Likes
11,642
Points
280
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
19,343 11,642 280
Mwanza kwa masaa manne unafikaje mkuu....
Labda utajibu SRG ikikamilika...
Basi twende na data,SRG inayojengwa Tanzania installed capacity yake in term of speed Ni 140KPH..
Urefu/umbali ya SRG hiyo kutoka dar hadi mwanza itakuwa Ni zaidi ya KM 1600...
Kwa hiyo treni inakayo kimbia kwa speed kubwa ya mwisho ya uwezo wa reli 140kpm(kitu ambacho Ni unlikely and dangerous) na bila kusimama kwenye kituo chochote njia nzima (non stop) itatumia masaa 11 kufika mwanza...
Sasa sijui wewe hayo masaa manne umeyapata vipi.....

Logically na Mathematically SRG hii itakuwa treni inatumia 20 hours from dar to mwanza.....
SRG ndio nini?
Shusha verified tecnical data kutoka TRC ku substaintiate masaa yako 20
 
K

kasenene

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2008
Messages
868
Likes
677
Points
180
K

kasenene

JF-Expert Member
Joined Jun 6, 2008
868 677 180
Wanabodi
Kasi ya kukua kwa uchumi wa Tanzania ya Magufuli, ambayo umekuwa ukikua kwa asilimia zaidi ya asilimia 7% kwa mwaka, ukuaji huu is not reflected kwa Watanzania wa hali ya chini ambao ndio walio wengi, tunaelezwa uchumi unakuwa, na ripoti ya juzi juzi ya UNDP inaeleza kiwango cha umasikini kinapungua Ripoti: Kiwango cha umasikini kinapungua kwa kasi - JamiiForums lakini hali za maisha kwa walio wengi, zinazidi kuwa ngumu siku hadi siku, uchumi wa taifa unakuwa, huku uchumi wa watu individual na sekta binafsi ukizidi kuporomoka ambapo sekta binafsi ambayo ndio inategemewa kuwa the drivers we uchumi wa nchi ikiwemo Tanzania ya viwanda, ndio mhanga mkuu wa mdororo wa uchumi na ndiye anaye suffer the most.

Kwa upande wa maendeleo, ni kweli nchi yetu inapiga hatua kubwa za maendeleo, majengo, miundombinu, mabarabara, flyovers, viwanda, midege mikubwa, SGR, Stigler Gorge etc, lakini haya yote ni maendeleo ya vitu na sio maendeleo ya watu.

Je, Maendeleo ya Kweli ni Maendeleo ya Watu au Vitu?-

Wachumi Tusaidieni, Magufuli Analisaidia Taifa au Ataliangamiza?. - JamiiForums

Tena msije kusema kuwa tulinyamaza, Sisi jf tumesema sana, tumeuliza sana humu

Tuache Siasa ktk Uchumi: Wachumi tuelimisheni Dhambi ya Fixed Deposit na Faida ya Fedha Kukaa tu BoT - JamiiForums

Mnatambua kuwa baadhi ya Maamuzi ya Magufuli yanaligharimu Taifa kiuchumi? - JamiiForums

Jarida la The Economist ladai uchumi wa Tanzania unaporomoka, lahamasisha Rais Magufuli adhibitiwe kwa vikwazo kiuchumi - JamiiForums

Kupata Maendeleo ya Kweli, Tanzania Inahitaji Systems Not Dramas, Ze Comedy na One Man Shows!. - JamiiForums

Maendeleo ya kweli TZ Yataletwa na Elimu na Ukweli. Tusidanganye, Tusidanganywe, Tusidanganyike! - JamiiForums

Kwa sasa naona kama sisi sekta binafsi tuna suffer. Ku suffer huko kulianzia kufungwa kwa maduka makubwa ya bidhaa na supermarkets. Zilianza super markets za Shoprite, zikaja Uchumi, piteni maeneo ya Shoppers Plaza mshuhudie frames tupu wenyewe wamefungasha. Hata mtaa wa Samora lile jengo jipya la NHC mtaa wa Samora, lilikuwa full, sasa kuna mapengo.
Kuzorota uchumi: Stone Block wafungasha virago! - JamiiForums

Yakafuata baadhi ya mashirika na makampuni kufilisika hivyo kupunguza wafanyakazi,Uchumi wa Magufuli: Precision Air Yapumulia Machine. Yapunguza Wafanyakazi 136! - JamiiForums

Yakaja mabenki. na sasa ni maduka ya fedha.

Wakati yote haya yakitokea, sisi media hatukuyaangazia vya kutosha kwa kudhani hayatuhusu!.

Sasa kibano hicho cha hali ngumu ya uchumi, kimeigusa sekta ya Media ambapo media kubwa kabisa nchini zimeanza kutikisika.

Kwenye media ilianza Star TV, kati ya wafanyakazi 500, ililazimika kupunguza wafanyakazi 100, mwaka 2016 wakabaki 400, mwaka jana wakapunguza 200 wakabaki 200, sijui mwaka huu, lakini kipindi chake most popular cha Jicho letu ndani ya habari, kinachoendeshwa na Mkongwe Dotto Bulendu, hakipo hewani!
Star Tv na Redio Free kupunguza wafanyakazi - JamiiForums

Leo kumepatikana taarifa ya wafanyakazi wa gazeti kubwa la the Guardian, hawajalipwa mishahara kwa miezi 3, hivyo kitakachofuata ni kupunguza wafanyakazi.Mti wa Xmas wazua simanzi kwa wafanyakazi wa The Guardian Limited - JamiiForums

Japo familia ya the Citizen Mwananchi, bado hawajatangaza kulia njaa, lakini kama hii ndio hali halisi ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, then hata Citizens, litakuwa halina jinsi, lazima nalo soon litatangaza kupunguza wafanyakazi.

Mimi mwenyewe na kale kajikampuni kangu ka PPR, ambapo tulibamba sana tenda za serikali, mwanzo tulikuwa na wafanyakazi 20, tukipangisha jengo la NHC pale Mtaa wa Mkwepu kwa kodi ya pango kwa mwezi, ya zaidi ya mshahara wa DC, sasa hakuna tena tenders za serikali, serikali inatangaza moja kwa moja na TBC, mwaka huu pia tenda zangu za kutangaza Maonyesho ya Saba Saba na Nane Nane zimefutwa, hivyo tumepunguza wafanyakazi 15!, tumebaki 5!. Na Mtaa wa Mkwepu hapakaliki hivyo tumehama, tumehamia jengo la Posta House kwenye kajichumba.

Wito kwa waandishi wenzangu, walioajiriwa kwenye media industry, kwa hali hii ya uchumi wa Tanzania ya Magufuli, usitegemee ajira pekee na usisubiri kupunguzwa kazi, bali sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku na njiwa, na Kwa waandishi wa kike ni mambo ya ndoo na kidumu.

Kwa sisi wanaume, kuku ni kazi ya kujiajiri) na njiwa (kazi ya kuajiriwa), ili njiwa akiruka, ubaki na kuku.

Kwa waandishi wa kike, kwenye kazi ya kuteka maji, teka maji kwenye ndoo (kazi ya kudumu) na kidumu (kujiajiri), ili maji ya kwenye ndoo yakimwagika, angalau unabaki na kidumu.

Kiukweli kabisa Media tuna hali ngumu!.
Mungu saidia.
Mungu Ibariki Tanzania,
Mungu Mbariki rais Magufuli aweze kukuza uchumi wa nchi yetu kwa Tanzania ya viwanda kifanikiwa, tuwe nchi ya uchumi wa kati, tukielekea kuwa nchi ya ahadi kwa mabomba nchi mzima yatatoa maziwa na asali
Jumatano Njema.
Paskali
Asanta saana kwa mada nzuri...ila sasa kwa sisi wanaume tufuge kuku ni sawa ushauri wako mzuri lakini tutamuuzia nani hao kuku?kama uwezo wa kununua vitu umepungua mfukoni mwa watz..watu wameshaamia kwenye mboga ya maharage siku hizi na ndio maana kama umesikia jana kwenye vyombo vya habari kuna mama mmoja kamchoma moto vidole vyoote vya mikono mwanae baada ya kudokoa mboga ya maharage wakati ingekuwa enzi za Jk au enzi za Mzee ruksa huyo mtoto badala ya kuchomwa moto angeambiwa adhabu yako kula maharage yote umalize mwenyewe na hakuna wa kukusaidia...Hapa kazi tu hakuna bata....ahaa!!
 
T

Tata

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2009
Messages
5,293
Likes
1,091
Points
280
T

Tata

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2009
5,293 1,091 280
Wataalamu walisema mkuu aliingia na "shock therapy" kunyoosha nchi na waliokuwa wakilia kuumizwa kiuchumi ni wapiga dili. Sasa inawezekana kwenye media kuna wapiga dili wengi na sasa ni zamu yao nao kunyooshwa. Hivyo ndugu Pascali tuendelee kumuombea mkuu akamilishe zoezi la kuinyoosha nchi kwani yajayo yanafurahisha.
 
N

niah

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
4,564
Likes
5,137
Points
280
N

niah

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
4,564 5,137 280
Poleni sana wadau wa media. Lakini Pasco si unajua kuwa hata kama si rasmi, ninyi (media) ni mhimili wenye nguvu kubwa sana na ndo mnaendelea kumwimbia mkuu wa magogoni nyimbo za sifa kila uchao!!!

Ifike mahali mbadilike muache kusifu sifu tu kila wakati. Siku hizi hakuna TV au radio inayoweza kukosoa uongozi wa awamu hii hata kwa mafumbo sababu serikali inaongozwa na malaika ambao kwa asili hawana mawaa, yani ni watakatifu (infallible).

Mtalalamika sana mpaka mtakapochoka kuvumilia na kuishinda dhambi ya woga.

Nyie endeleeni tu kumuombea wa magogoni; ila mimi nawaombea ninyi mbadilike!

MUNGU ibariki Tanzania na wadau wote wa media!
Na bado kucha kuchwa kwa Musiba, Bashite mara waziri nani. Ina maana msipoenda hamli? Waachieni TBC, musiba tv, na ndugu zao wote nyie fanya yenu.
 
COSMOLOGIST

COSMOLOGIST

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2015
Messages
607
Likes
671
Points
180
COSMOLOGIST

COSMOLOGIST

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2015
607 671 180
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Messages
5,208
Likes
2,461
Points
280
M

Mazindu Msambule

JF-Expert Member
Joined Feb 22, 2012
5,208 2,461 280
Nadharia yako haiendani na hili swali. Hapa kuna corruption na kule kuna specialization. Vitu viwili tofauti. NB: Ufahamu: mimi sipingi kampuni binafsi kufanya kazi na serikali. Napinga kampuni zilizoundwa kijanja janja ili ku-tape fedha za serikali kwa kazi ambazo hazina umuhimu
Ili tusibishane hebu fafanua, kampuni kama ya Mayalla ilikua ina corrupt nini and how? Kampuni kama Benchmark production na yenyewe ilikua ina corrupt nini and how!? Sioni tofauti ya hiki wanacho lalamikia kina Mayalla na suala la ununuzi wa Korosho kule kusini, lengo linaweza kua zuri na matokeo ya sasa au mwaka hu yakawa mazuri but matokeo ya mbeleni yakawa mabaya, ukitazama mfumo tunao kwenda nao sasa hivi ni kama tunafata mfumo wa UJAMAA na kujitegemea, mfumo ambao ulishindwa vibaya Enzi za Nyerere na of course umeshindwa everywhere in the world. Time is the best teacher, let us wait brother.
Hizo kampuni unazo ziita kua ni zakitapeli ndio zilikua walau zina AJIRI baadhi ya wahitimu, by now serikali haiajiri na bado imezuia channels za pesa halali kwenye sekta binafsi (jambo ambalo linaweza kua zuri kwa upande mmoja) na sekta binafsi is either zinapunguza wafanyakazi au kufungwa kabisa, matokeo yake tunaongeza WAZURULAJI mitani and hence possibility ya kuongezeka VIBAKA mtaani ni kubwa!
 
Forum statistics

Threads 1,238,887
Members 476,223
Posts 29,335,613