Jenerali Ulimwengu alisema nchi imerudi nyuma miaka 50 kidemokrasia .............. isije kuwa na uchumi wetu unaelekea huko huko!!Wanabodi,
Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cibin crew 10!.
Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufuka kwa ATCL na ushindani toka Fast Jet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL, Fast Jet, na ATCL, zote hazijai, hivyo purchasing power ya Watanzania kusafiri kwa ndege, imepungua, soon mtashuhudia mashirika mengine yakipunguza frequency na mtashuhudia mabenki yakifungasha na kuondoka.
This is not good at all.
Paskali
Wewe ndio una kipara kwakua umeshindwa kabisa kuilewa tone ya ujumbe wangu. Pole.Akili ni nywele kila mtu anazake ...
Nahisi wewe unakipara ... unajua maana ya neno UCHUMI?
Wewe 'Njaa'' acha unafiki kwa post zako chonganishi. Tatizo unakula kote kote. Acha hii mambo kijana. Just ushauriWanabodi,
Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cibin crew 10!.
Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufuka kwa ATCL na ushindani toka Fast Jet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL, Fast Jet, na ATCL, zote hazijai, hivyo purchasing power ya Watanzania kusafiri kwa ndege, imepungua, soon mtashuhudia mashirika mengine yakipunguza frequency na mtashuhudia mabenki yakifungasha na kuondoka.
This is not good at all.
Paskali
Nyapala hawezi kuwa mkuu wa gereza hata siku moja.Mkuu nimecheka sana hio aya ya mwisho, hivi hajui impact ya wafanyabiashara kuondoka.
Madeni ya ndani Lazima yalipwe mfano una uwezo wa kuuza crate za bia 20 kila siku lakini unaamua kununua crate 5 hapo unamkomoa nani hela unziangalia tu................Nini tufanye kuokoa anguko la Uchumi.
Mkuu Paskali,Wanabodi,
Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cibin crew 10!.
Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufuka kwa ATCL na ushindani toka Fast Jet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL, Fast Jet, na ATCL, zote hazijai, hivyo purchasing power ya Watanzania kusafiri kwa ndege, imepungua, soon mtashuhudia mashirika mengine yakipunguza frequency na mtashuhudia mabenki yakifungasha na kuondoka.
This is not good at all.
Paskali
Jambo lipi sasa! JF kweli imevamiwa na vilaza, mtu anatoa taarifa ya jambo wewe unamjibu ujinga unazani watu wote ni misukule ya wanasiasa kama wewe.Fungua kesi mahakamani kuhusu hili jambo
Nchi bila ya vichocheo vya UCHUMI ni sawa na Serikali kuendeshwa bila ya wasomi ...
Yaani nikama Muhimbili yoote wakabidhiwe waganga wa kienyeji na mizizi yao pamoja na tunguli zao ...
Hili tayari mkuu!Mkuu Paskali,
Wengi hawawezi kulielewa hili mpaka liwafike,mfano mdogo tu kwenye kinywaji cha BIA,
1. Kutokana na kupungua kipato kwa mtanzania,uzalishaji umepunguzwa inakopelekea wafanyakazi wapunguzwe!!!
2. Kupunguzwa huko serikali imekosa mapato yatokanayo na PAYE na kodi ya mapato ya viwanda,
3. Baa zimekosa wanywaji kunakopelekea wafanyakazi wa Mabaa na mahoteli kukosa kazi (Umaskini tayari)
4. Wauzaji wa shayiri na ngano soko limekosekana kutokana na kinywaji kukosa wanywaji(Umasikini tayari)
5. Magari yamekosa kazi ya kusafirisha vinywaji na yamepaki(Umasikini tayari)
6. Biashara ya chupa za vinywaji mfano toka Kioo ltd imepungua inabidi Kioo wapunguze wafanyakazi(Umasikini tayari)
7. LIST ni ndefu sana muda si mrefu hata mashule ya private yatafungwa maaana uwezo wa kusomesha watoto utakuwa haupo tutarudi Saint.Kayumba,
Hivi hii nchi haina wachumi wakaingilia kati hii kitu????????? au wachumi wote ndo dizaini za jamaa yetu wa pale Buguruni
Wanabodi,
Makali ya Uchumi wa Magufuli, yanazidi kukaza, leo shirika la ndege la Precision Air, limepunguza wafanyakazi 136 wakiwemo cibin crew 10!.
Najua wengi humu mtasema hali hii imechangiwa na kufuka kwa ATCL na ushindani toka Fast Jet, lakini this is not the case, nimepanda zote, ATCL, Fast Jet, na ATCL, zote hazijai, hivyo purchasing power ya Watanzania kusafiri kwa ndege, imepungua, soon mtashuhudia mashirika mengine yakipunguza frequency na mtashuhudia mabenki yakifungasha na kuondoka.
This is not good at all.
Paskali
Kwani wao kutokwenda nje mpaka sasa nini kimefanyika?Pascal walikuwa wanategemea semina na mikutano kaka, Wameenda sana nje lakini hawajaleta impact kwa taifa, Wanatujazia makaratasi tu kwenye library zetu utekelezaji hakuna, Sasa walipanda Papai wanavuna Michongoma, Kikubwa hizi ndege abiria wake wengi walikuwa watu wa Semina na warsha