joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,613
Demand slumps in Burundi, Rwanda for Kenya’s exports
Demand for Kenyan products has slumped in Rwanda and Burundi amid competition from China, India and Saudi Arabia, a study by Kenya Export Promotion and Branding Agency (Keproba) shows.
www.businessdailyafrica.com
Waswahili kusema "Siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza". Uchumi wa Kenya kwa sasa ni wazi kwamba umefikia pabaya saba, ukiachana na KQ na SGR kujiendesha kwa hasara, serikali kusimamisha ajira kwa miaka 3 mfululizo, kuondoka kwa Sport pesa na kusababisha kwa watu zaidi ya 400 kupoteza ajira, mauzo ya Kenya nchi za nje kushika sana na " imports for non capital goods" kuongezeka, Burundi na Rwanda wameacha kununua bidhaa toka Kenya kutokana na bidhaa za Kenya kuwa ghali sana ukilinganisha na bidhaa toka nchi zingine.