Uchumi wa Kenya waendelea kusambaratika, Rwanda na Burundi waacha kununua bidhaa za Kenya.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Sep 4, 2017
26,117
46,613

Waswahili kusema "Siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza". Uchumi wa Kenya kwa sasa ni wazi kwamba umefikia pabaya saba, ukiachana na KQ na SGR kujiendesha kwa hasara, serikali kusimamisha ajira kwa miaka 3 mfululizo, kuondoka kwa Sport pesa na kusababisha kwa watu zaidi ya 400 kupoteza ajira, mauzo ya Kenya nchi za nje kushika sana na " imports for non capital goods" kuongezeka, Burundi na Rwanda wameacha kununua bidhaa toka Kenya kutokana na bidhaa za Kenya kuwa ghali sana ukilinganisha na bidhaa toka nchi zingine.
 
Aaaww! Huu Ni uzi wa kujipatia matumaini Ni kuchapa chini ule wa Lamu Port 😂😂😂😂 tunawajua sana. Burundi Ni jirani wenu mumekuwa wapi miaka Hii yote Kenya ikifanya biashara naye? Sisi tunakwenda to bigger markets Ethiopia and South Sudan
 
Burundi na Rwanda ni nchi kweli ama minor provinces with economy kama ya central province
 
Tangu lini Ruanda na Burundi ikawa major trade partners with Kenya??

Kwakweli,povu inakumaliza ndugu!
 
Shida ya Kenya kila kitu kina 10%, na matokeo yake mlaji wa mwisho analipa gharama kubwa kupata huduma/bidhaa.
 
Back
Top Bottom