Uchumi wa Kenya waendelea kusambaratika, Rwanda na Burundi waacha kununua bidhaa za Kenya.

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Messages
11,318
Points
2,000

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined Sep 4, 2017
11,318 2,000

Waswahili kusema "Siku ya kifo cha nyani, miti yote huteleza". Uchumi wa Kenya kwa sasa ni wazi kwamba umefikia pabaya saba, ukiachana na KQ na SGR kujiendesha kwa hasara, serikali kusimamisha ajira kwa miaka 3 mfululizo, kuondoka kwa Sport pesa na kusababisha kwa watu zaidi ya 400 kupoteza ajira, mauzo ya Kenya nchi za nje kushika sana na " imports for non capital goods" kuongezeka, Burundi na Rwanda wameacha kununua bidhaa toka Kenya kutokana na bidhaa za Kenya kuwa ghali sana ukilinganisha na bidhaa toka nchi zingine.
 

babayao255

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2019
Messages
2,685
Points
2,000

babayao255

JF-Expert Member
Joined Apr 4, 2019
2,685 2,000
Alafu mkumbafu mmoja anafungua uzi anasema eti bidhaa za Tanzania ni ghali huku akiweka screenshot za comment uchwara 😂😂😂
Burundi na Rwanda wameacha kununua bidhaa toka Kenya kutokana na bidhaa za Kenya kuwa ghali sana ukilinganisha na bidhaa toka nchi zingine.
 

mwaswast

JF-Expert Member
Joined
May 12, 2014
Messages
10,612
Points
2,000

mwaswast

JF-Expert Member
Joined May 12, 2014
10,612 2,000
Aaaww! Huu Ni uzi wa kujipatia matumaini Ni kuchapa chini ule wa Lamu Port 😂😂😂😂 tunawajua sana. Burundi Ni jirani wenu mumekuwa wapi miaka Hii yote Kenya ikifanya biashara naye? Sisi tunakwenda to bigger markets Ethiopia and South Sudan
 

Forum statistics

Threads 1,344,038
Members 515,307
Posts 32,805,628
Top