Uchumi wa Kati: Wanafunzi wafanyia mitihani chini ya miti

Uchumi wa kati soko la mpunga wenu wa Talatala hakuna ! hivi wazee wetu wanapataje hela huko ? umpunga gufwile , imikoko gyope gifwile , Fidahusein na Mo bhabhopile , Kyecu jope jifwile !
Ni Kyadema jhope jifwile.
Kali tubhopele kughu bhamyitu!
 
Ndiyo maana huwa nashangaa mnaomshangilia Nyerere eti alileta uhuru. We were a protectorate, not a colony! Tulikuwa tunallewa tukue, tuwe na akili tujiendeshee mambo yetu wenyewe/tujitawale. Mkaharakisha sasa mmeshindwa kuwahudumia watu wenu. Mnauana... rubish all the way!
Mwl anachostahili toka kwa Watanzania ni lawama tuu kwa kutuletea hizi adha na karaha.
 
Yaani pamoja na rasilimali zote alizobalikiwa mtanzania lakini wanafaidika CCM na MABEBERU wananchi wanyonge wanapata shida kama hiyo....
 
CCM ni Janga na hatari kwa ustawi wa nchi yetu.
Magufuli nae anapita mlemle tu. Ufisadi, Wizi, Ubaguzi na Upendeleo.
Tumekwama kama Taifa.
Mzalendo wa kweli na mwenye uchungu na nchi ni LISSU tu.
#LISSURAIS2020
 
Back
Top Bottom