Uchumi wa kati tulifikaje? Bora kuwa na nidhamu ya uoga kuliko kutokuwa na nidhamu kabisa

Kikwete alichukua nchi kwa Mkapa ikiwa na GDP per Capital ya 500 USD, akaipandisha hadi 980 USD ndani ya miaka 10,
Kipindi Cha Magufuli miaka 5 ya Magufuli GDP per Capita ilipanda kwa 40 USD hadi 1020 USD ambayo ndio uchumi wa Kati

Kwa hiyo hii hili la uchumi wa Kati sio kitu kikubwa Sana kwani hata angeingia Rais mwingine angeipeleka tu, sababu ilikuwa imebaki tu kidogo

Ila wafuasi wa Magufuli kwa kuwa wengi shule hakuna, yanashangiliaaa bila hata kujua maana na historia yake
Unasema Rais mwingine yo yote angewezesha hilo. Iweje leo tunaambiwa hata hicho kidogo tulichofanikisha, tumeshindwa kukishikilia na badala yake tumeshuka daraja? Au ni kudharau tu kilichowezeshwa na Magufuli?
 
Historical Trend of Tanzania Shillings vs USD

1995 - 1 USD = 500 TZS
1996 - 1 USD = 580 TZS
1997 - 1 USD = 665 TZS
1998 - 1 USD = 720 TZS
1999 - 1 USD = 800 TZS
2000 - 1 USD = 820 TZS
2001 - 1 USD = 880 TZS
2002 - 1 USD = 900 TZS
2003 - 1 USD = 900 TZS
2004 - 1 USD = 910 TZS
2005 - 1 USD = 1050 TZS
2006 - 1 USD = 1100 TZS
2007 - 1 USD = 1150 TZS
2008 - 1 USD = 1200 TZS
2009 - 1 USD = 1250 TZS
2010 - 1 USD = 1260 TZS
2011 - 1 USD = 1300 TZS
2012 - 1 USD =1450 TZS
2013 - 1 USD =1620 TZS
2014 - 1USD = 1650 TZS
2015 - 1USD = 2210TZS
2016 - 1 USD = 2200TZS
2019 - 1 USD = 2300TZS
2020 - 1 USD = 2290 TZS
2021 - 1 USD = 2290 TZS

Utulivu wa Shillingi yetu ktk hio miaka mi5 ulitusaidia sana kufikia hio hatua.

2015 - 2021, Bei hazikuongezeka kiholela, inflation was under control.
 
Historical Trend of Tanzania Shillings vs USD

1995 - 1 USD = 500 TZS
1996 - 1 USD = 580 TZS
1997 - 1 USD = 665 TZS
1998 - 1 USD = 720 TZS
1999 - 1 USD = 800 TZS
2000 - 1 USD = 820 TZS
2001 - 1 USD = 880 TZS
2002 - 1 USD = 900 TZS
2003 - 1 USD = 900 TZS
2004 - 1 USD = 910 TZS
2005 - 1 USD = 1050 TZS
2006 - 1 USD = 1100 TZS
2007 - 1 USD = 1150 TZS
2008 - 1 USD = 1200 TZS
2009 - 1 USD = 1250 TZS
2010 - 1 USD = 1260 TZS
2011 - 1 USD = 1300 TZS
2012 - 1 USD =1450 TZS
2013 - 1 USD =1620 TZS
2014 - 1USD = 1650 TZS
2015 - 1USD = 2210TZS
2016 - 1 USD = 2200TZS
2019 - 1 USD = 2300TZS
2020 - 1 USD = 2290 TZS
2021 - 1 USD = 2290 TZS

Utulivu wa Shillingi yetu ktk hio miaka mi5 ulitusaidia sana kufikia hio hatua.
Nipo usingizini kabsaaaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom