Uchumi wa China ukweli ambao wengi hawaujui

Mchina hapa kabeti vyema aisee
Screenshot_20220512-231632.jpg
 
Mchina hapa kabeti vyema aiseeView attachment 2222200
Time ya china inakaribia japo anasogea taratibu ata USA haikuwa super power mara moja ilikaa kmya mpka anguko ya ujerumani, England na Russia kama watawala wa Dunia nae akapata nguvu ndio itakavyokuwa kwa china maana sasa hv anajua nchi maskn ashakamata soko now anapambana awashike na wakubwa
 
Watanzania wengi ambao ni wavivu wa kutafuta maarifa, huiongelea sana China kama nchi iliyofanikiwa sana kiuchumi, kwa wao kujifungia na kwa kutegemea ubunifu wao na mitaji yao. Wengine wanaenda mbali zaidi, na kushauri Tanzania ifuate mfano wa China.

Kwa wale wasiojua, wafahamu yafuatayo:

1) Mabadiliko makubwa ya uchumi wa China yalitokea miaka ya 1990 baada ya sera za uchumi wa kujifungia kushindwa kufanya kazi na kusababisha wachina zaidi ya 40% kuishi kwenye umaskini mkubwa. Miaka ya 1990, China ikaamua kuachana na uchumi wa kujifungia, na kuamua kuruhusu uwekezaji mkubwa wa mataifa ya nje, hasa toka Ulaya, America na mamlaka inayojitegemea ya ya Hong Kong.

2) Uwekezaji mkubwa wa mataifa ya nje, hasa toka Ulaya na America ulipandisha ukuaji wa uchumi wa China toka 2% mpaka 12%.

3) Kwa ujumla, mpaka sasa, China ndiyo inayovutia mitaji mikubwa ya uwekezaji, hasa toka Uaya na America, kuzidi nchi yoyote Duniani.

4) Makampuni mengi ya Ulaya na America yaliyopo China kwa sababu ya uwepo wa nguvu kazi rahisi na soko kubwa, ndiyo hayo yanayouza bidhaa zake huko Ulaya na America, huku makampuninya wachina 100% ambayo bidhaa zake huwa zinanubora hafifu, soko lake ni Afrika.

5) Katika makampuni 10 makubwa kabisa yaliyopo China, ni kampuni 1 tu ndiyo inayomilikiwa na Wachina.

6) Kwa mwaka 2020/2021, China iliendelea kuongoza katia kuvutia wawekezaji wa nje. Uwekezaji wa nje (FDI) kwa mwaka huo ulikuwa dollar billion 173.48.

China FDI inflows hit record high in 2021

January 14, 2022

BEIJING, Jan. 13 (Xinhua) -- In a year when the pandemic continued to wreak havoc on the world economy, global investors have cast more votes of confidence on investing in China as the foreign direct investment (FDI) into the country hit a record high.

The FDI into the Chinese mainland, in actual use, expanded 14.9 percent year on year to a record high of 1.15 trillion yuan in 2021, the Ministry of Commerce said Thursday.

In U.S. dollar terms, the inflow went up 20.2 percent year on year to 173.48 billion dollars.

7) Wakati waafrika wajinga, wanategemea kuwa Wachina ndio watakaofanya uwekezaji mkubwa kwenye mataifa, viongozi wa China kila leo wapo Ulaya kutafuta wawekezaji. Makampuni makubwa ya uvhimbaji madini ya America, Ulaya na Australia, ndiyo yaliyoifanya China kuwa mzalishaji mkubwa wa kwanza wa dhahabu Duniani. Lakini hawa walioshindwa kuchimbabmadinibnchini mwao, sisi waafrika tunaamini ndio watakaochimba madini yetu kwa ufanisi.

WITO
Kama uwekezaji wa Wachina wenyewe nchini mwao ulishindwa kuleta tija, kwa nini tunadhani uwekezaji wa Wachina nchin mwetu utaleta tija?

Kama Wachina waliopo China, wengi wenye uwezo wanaona bidhaa za makampuni ya Wachina wenzao hazina viwango vya ubora, na hivyo kupaparikia bidhaa za makampuni ya kigeni yaliyopo China, kwa nini sisi tunaona bidhaa hizo hizo zisizo na ubora, ndiyo zenye kutufaa?

Kama Wachina wanaona kuwa hao wazungu (mabeberu!!), ndio watu muhimu na wa kuaminika katika uwekezaji, kwa nini na sisi tusipiganie kuwapata hao hao kuja kuwekeza nchini mwetu, kuliko kumfikiria aliyeshindwa nchini mwake?

Leo hii unanunua spare part ya mchina kwa shilingi laki 2, inadumu mwezi mmoja (kama una bahati), wakati spare ya mzungu inauzwa shilingi laki 4 lakini inadumu miaka 10. Hivi katika hizi spare parts 2, ipi ni aghali zaidi?

Kama Taifa tunapoteza kiasi gani na kutiwa umaskini kwa kununua bidhaa hafifu toka China?

Kwa nini hao wawekezaji wa kutoka Ulaya na America, tusiwatengenezee mazingira mazuri ya kuja kuwekeza kwetu, wazalishie bidhaa kwetu (nguvu kazi rahisi ipo japo haina skills), tukanunua bidhaa zilizotengenezwa na makampuni ya nje lakini yaliyopo nchini mwetu?

Njia ya haraka ya kuyafikia maendeleo ni uwezo wetu wa kuvutia mitaji ya nje kuja nchini mwetu. Hapo tutapata ajira, tutapata bidhaa zenye ubora, tutaingiza pesa za mataifa mengine nchini mwetu na hivyo kuhuisha mzunguko wa fedha, kuongeza mapato ya Serikali na watu binafsi, lakini pia kuongeza skills za watu wetu.
Kweli kabisa, uchumi wa kijamaa ulifeli,na ndio sababu Tanzania tumelemaa mpaka sasa. We need to change.
 
Wachina wanawekeza mpaka marekani , nao pia ni wawekezaji wazuri tu. Halafu mbona Tanzania tumefungua mipaka ya uwekezaji toka awamu ya Mwinyi je tumewafikia maendeleo china Basi hata Singapore je tumewafikia maendeleo?🤔
 
Changamoto kubwa iliyopo nchi za Afrika ni suala la urasimu na kutokuwa na uhakika wa nishati hasa hapa Tanzania.
 
Kwa watu wasiotafakari mambo na ku-research wanayoambiwa hasa wabongo, utawapata sana. Wewe theory yako ni: ili nchi iendelee, asi inahitaji kuvutia wawekezaji kwa wingi! Naona hawa wapiga deal, yaani viongozi wa CCM (kama wewe siyo mmoja wapo) wakisoma hii thread watakupa ''like'' za kutosha kwa sababu haya maneno ni kama wimbo masikioni mwao. Ukweli ni kwamba China imejengwa na wachina wenyewe. Ndiyo, China kuna cheap labour na makampuni mengi yamejenga viwanda huko lakini hili katu sio sababu ya China kufika hapo. China imefanikiwa sana kwa kuwa na mikakati maalum na uongozi unajali nchi badala ya matumbo yao. China imeweza kuendelea kwa sababu haikurupuki, inafanya mambo kwa akili sana bila kelele. Silaha hizi zimewezesha wachina kujifunza na kuwa na technolojia za kutengeneza bidhaa zake. Kwa mfano mabasi ya abiria ya Yutong yameanza kuteka soko la dunia. Vitu kama simu, TV na vyombo vya electronic kwa ujumla wachina wameza kuwa na brand zake ambazo zinaanza kuteka soko duniani.
Suala la brands za mchina kuteka soko la dunia ni kutokana na low cost of production ikilinganishwa na nchi nyingine ukiacha india. Pia makampuni mengi yanaamua kuoutsource manufacturing kwenda Asia kutokana na theory ya Asia and Automation.
 
Mkuu Namba 5 umedanganya katika Makampuni 10 makubwa ya China yote yanamilikiwa na state au Wachina,hamna company hata 1 kati ya hayo 10 inayomilikiwa na mwekezajj kutoka Ulaya.
 
Kwa watu wasiotafakari mambo na ku-research wanayoambiwa hasa wabongo, utawapata sana. Wewe theory yako ni: ili nchi iendelee, asi inahitaji kuvutia wawekezaji kwa wingi! Naona hawa wapiga deal, yaani viongozi wa CCM (kama wewe siyo mmoja wapo) wakisoma hii thread watakupa ''like'' za kutosha kwa sababu haya maneno ni kama wimbo masikioni mwao. Ukweli ni kwamba China imejengwa na wachina wenyewe. Ndiyo, China kuna cheap labour na makampuni mengi yamejenga viwanda huko lakini hili katu sio sababu ya China kufika hapo. China imefanikiwa sana kwa kuwa na mikakati maalum na uongozi unajali nchi badala ya matumbo yao. China imeweza kuendelea kwa sababu haikurupuki, inafanya mambo kwa akili sana bila kelele. Silaha hizi zimewezesha wachina kujifunza na kuwa na technolojia za kutengeneza bidhaa zake. Kwa mfano mabasi ya abiria ya Yutong yameanza kuteka soko la dunia. Vitu kama simu, TV na vyombo vya electronic kwa ujumla wachina wameza kuwa na brand zake ambazo zinaanza kuteka soko duniani.
Mwenyewe namshangaa mtoa mada ili uchumi wako ukue vizuri kayika Nchi,Investment katika Nchi husika lazima zifanywe na wazawa na sio vinginevyo.
 
Binafsi hii ishu niliijua kitambo sana baada ya ku-exchange na American mmoja.

Kwamba, sera nzuri za China ziliwavutia wawekezaji kutoka Ulaya na Marekani kwenda kuwekeza China.

Hao wawekezaji kutoka USA na Ulaya wanaona ni bora kuwekeza China kwa sababu mbalimbali. Ukiachilia mbali sera za China, ila pia China kuna Cheap Labour + Raw Materials. Kwa mfano, ni gharama kubwa kumlipa mfanyakazi ndani ya USA, ukilinganisha na kumlipa Mchina anayefanya kazi ile ile ndani ya China.

Bongo tumeendekeza sana rushwa. Bila rushwa jambo lako halipitishwi na wenye mamlaka mfano kupewa tenda fulani.

Tanzania hakuna uzalendo.
 
Back
Top Bottom