eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 15,628
- 13,762
"Middle class" ndio wenye "Purchasing Power",Tanzania "middle class" ilikuwa inakuwa wakati wa utawala wa JK,Utawala huu kila kitu kimevurugika, "Middle class" imeanza kunyea (Shrink),.wenye maduka manafunga,wenye makampuni wanahamisha biashara zao nchi jirani..
Wakenya anajitambua sera yao ni "capitalism",juhudi zako ndio zitakazokutoa kimaisha,Tanzania wana sera za kila kitu kiwe kinamilikiwa na serikali,Wakenya wanazungumzia kuitawala anga,juzi tu wamerusha "satellite" angani,Tanzania bado wanaongelea hakuna madawati shuleni..,tukubali tu hawa watu wametupita..
Unaongelea Kenya ipi? Kama ni ile ambayo watu wake ZAIDI ya 4million wanataka kufa kwa njaa, basi tuliza upya mawazo YAKO.