Uchumi unapaa kuliko nchi zote Afrika, Safaricom ya Kenya wana faida ya Tril 1.2; TZ jumlisha mabenki na simu hatufikii

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Dar es Salaam. Kenya’s giant telco Safaricom announced a net profit of Ksh55.3 billion (Sh1.2 trillion) on Wednesday for the year ended March, 2018, with analysts saying the money is a wakeup call to Tanzania’s companies.

The money--fueled by mobile money (M-Pesa) and data revenues--represents a 14 per cent growth from the Ksh48.4 (Sh1.065 trillion) that was registered during the preceding year.

Analysis by The Citizen shows that the Sh1.2 trillion is twice as much as what 14 of Tanzania’s top notch companies registered in net profits last year.

Some of the largest and most profitable companies in Tanzania--whose profits can be traced--include TBL Group, TCC, Vodacom, Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC) and Swissport Tanzania.

The list also includes banks such as NMB Bank, CRDB Bank, Citibank Tanzania, Barclays Bank Tanzania, Stanbic Bank Tanzania, Standard Chartered Bank Tanzania, NBC Bank, TPB Bank and Bank M among others.

The 14 companies registered a total of Sh592.893 billion in net profits last year, signaling that their combined profits reached about just half of that of Safaricom alone.

TBL, which is arguably the most profitable company in Tanzania, registered a net profit of Sh161.44 billion during the year ending March 31, 2017.

TCC, which, like TBL Group is also one of the most profitable firms in the country, registered a net profit of Sh45.4 billion during the year ending December 31, 2017. As for Vodacom Tanzania, its net profit was Sh47.55 billion in the year ending March 31, 2017.

Tanzania Portland Cement Company Limited (TPCC), which also trades as Twiga Cement, recorded a net profit of Sh35.5 billion during the 2017 calendar year while Swissport Tanzania’s net profit was quoted at Sh11.93 billion in 2017.

As for the banking sector, NMB’s profit after tax for 2017 was Sh95 billion while CRDB Bank Group’s profit dropped to Sh69.13 billion during the year ending December 31, 2017 from Sh74 billion in 2016.

Citibank’s annual profit fell to Sh14.3 billion last year from Sh20 billion in 2016 whereas Barclays Bank Tanzania, Stanbic Bank Tanzania, Standard Chartered Bank Tanzania, NBC Bank, TPB Bank and Bank M registered Sh10.9 billion, Sh25 billion, Sh39 billion, Sh15.4 billion, Sh12.8 billion and Sh12.143 billion in net profits last year respectively.

Analysts are of the view that the massive gap would explain the difference in size and thus profitability levels of Tanzania’s companies compared to peers within the region.

“Although I have not done my own analysis of the figures, such a difference would theoretically be explained by the fact that the companies we deem to be large locally may not be that huge within the region or internationally,” said Prof Honest Ngowi of Mzumbe University.

He noted, however, that several marketing and operational aspects would have to be considered to come up with concrete responses on reasons behind the huge difference in profitability.

☝☝☝☝ Hii ni Aibu
 
Hauna akili kama wenzako, cha ajabu ni kipi hapo? Kenya ina uchumi mkubwa kuliko TZ yetu na Dunia yote inalijua hilo, ina maana wana purchasing power kubwa kuliko TZ yetu au watu wenye uwezo wa kutumia fedha Kenya kununua bidhaa ni wengi zaidi ya TZ sasa hiyo aibu inatokea wapi?
 
Wewe ndio zwazwa kabisa ni uchumi upi unakuwa kwa kasi duniani kati ya kenya na tanzania
 
Issue ni kuwa mnajifunza nini? Why hamna purchasing power kubwa kama yao?
 
Uchumi wa Kenya kweli ni mkubwa kuliko wa kwetu ......... lakini siyo kwa kiasi hicho. Uchumi wa Kenya wala siyo mara mbili ya uchumi wetu. Sasa kama kweli kampuni moja tu linavuta faida mara mbili ya makampuni yetu makubwa 14 combined, hapa kuna kitu inabidi tujiulize ...... Something, somewhere is not right!!
 
Yaani hawatoi majibu kwann tunajisifu uchumi unakuwa na hali iko ivyo
 
Uchumi wa Kenya kweli ni mkubwa kuliko wa kwetu ......... lakini siyo kwa kiasi hicho. Uchumi wa Kenya wala siyo mara mbili ya uchumi wetu. Sasa kama kweli kampuni moja tu linavuta faida mara mbili ya makampuni yetu makubwa 14 combined, hapa kuna kitu inabidi tujiulize ...... Something, somewhere is not right!!

Kenya siyo tu ina Uchumi mkubwa klk TZ yetu bali pia ina purchasing power kuliko TZ tena pengo la purschasing power ni kubwa zaidi na hii ni kwa sababu ya UN.
Nairobi ni Makao makuu ya UN Afrika, UN ina ofisi nne tu Kuu Duniani, Geneva, Nairobi, New York na Vienna, sasa waajiriwa wa UN wanachangia kwa kiasi kikubwa sana purschasing ya Kenya, na imekuwa hivyo tangia miaka ya 60' huko, hivyo hakuna cha ajabu hapo!
 
Issue ni kuwa mnajifunza nini? Why hamna purchasing power kubwa kama yao?

Angesema hivyo lkn siyo kusema ni aibu, aibu ya nini? Kenya ina purchasing power klk TZ yetu kwa sababu ya UN, uwepo wa Ofisi za UN ambapo Waaajiriwa wake wanalipwa USD na wanalipwa hela ndefu inachangia sana kupandisha purchasing power, hivyo watu wanaoweza kumudu kununua kwa mfano tu gari mpya kabisa ni wengi zaidi Kenya (Nairobi) hasa waajirwa wa UN!
 
Wewe ndio zwazwa kabisa ni uchumi upi unakuwa kwa kasi duniani kati ya kenya na tanzania

Bado unaonyesha kutokulewa kwako, Uchumi wa nchi x kukuwa kwa kasi kuliko Uchumi wa nchi y hakumaanishi kwamba nchi x ni tajiri kuliko nchi y ingekuwa hivyo basi TZ yetu ingekuwa tajiri klk EU, Japani au USA kwani wote ukuwaji wao wa Uchumi hauvuki 2% wakati sisi tuko kwenye 7% huko.

Hivyo usichanganye mambo, ni kweli Uchumi wa TZ unakuwa kwa kasi kuliko Kenya lkn bado Uchumi wetu haujaweza kuufikia uchumi wa Kenya, hivyo kama tukiendelea kukuwa kwa kasi kuliko Kenya kwa maiaka kadhaa na kuwafikia na kuwapita hapo ndipo hoja yako inawezka kuja, lkn kwa sasa uchumi wa Kenya bado ni mkubwa kutuzidi!
 
Angesema hivyo lkn siyo kusema ni aibu, aibu ya nini? Kenya ina purchasing power klk TZ yetu kwa sababu ya UN, uwepo wa Ofisi za UN ambapo Waaajiriwa wake wanalipwa USD na wanalipwa hela ndefu inachangia sana kupandisha purchasing power, hivyo watu wanaoweza kumudu kununua kwa mfano tu gari mpya kabisa ni wengi zaidi Kenya (Nairobi) hasa waajirwa wa UN!
No wonder ulisema Air force one ndo ndege kubwa kuliko zote duniani!! Una usaha kichwani nyauba weh! Hapa bongo tuna ofisi ngapi za kibalozi? Yaani wafanyakazi wa UN ndo purchasing power ya Kenya? Mna laana si bure!!
 
Hauelewei unachokiongelea, Ofisi za Kibalozi tu zilizoko Nairobi ni mara 2 ya zilie zilizo TZ, na hapo nimeongelea UN tu achilia mbali NGO's nyingine ambazo zimeweka makao makuu Nairobi na kuhudumia nchi jirani, hao weote wanachangia sana purchasing power ya Nairobi kwani wanalipwa USD karibia sawa na labda mwajiriwa wa UN aliyeko Geneva, hivyo uwezo wao kununua vitu ni mkubwa zaidi!
 
Vipi kuhusu raia wa Kenya?
 
Back
Top Bottom