Uchumi mbovu, hali za maisha mbaya; Huku Magufuli anapendwa hakuna mfano

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
1,298
Jaman Hebu njooni tujadili kidogo, simmemsikia bwana mkubwa akisema mwenyewe kwenye ule mkutano wa chama? Alisema tumewaburuza.

Sasa Hebu tupeane elimu Jamani, kila kona unayopita watu wanalalama, uchumi mbaya, nimefanya kazi lakini sipati hela huyu jamaa hafai hata kuwa balozi wa kuku... Jamani kama Hivyo ndivyo mbona anawaburuza?

Kuna Nini nyuma ya pazia? Je Ni kweli wananchi wanamkubali au kuna namna?

Na kama kuna namna na si mapenzi ya wananchi Nini kifanyike ili Haki ipatikane?
 
Tangu Nimezaliwa Leo Ni Miaka 57 Iliyopita Sijawahi Kuona Unafuu Wowote Wa Maisha Kwa Watanzania Miaka Yote Kilio Ni Kimoja Maji Shule Hospitali Miundombinu Sikuona Hata Kiongozi Aliyeweza Kuyatekeleza Haya Kwa 100% Wote Wanafanya Yao Wanaondoka Shida Za Watanzania Zinabaki Kuwa Zile Zile Tu Hata Kikwete Anasifiwa Sijui Aliacha Uchumi Mzuri Eti Magufuli Anaharibu Nauliza Ni Uchumi Gani Huo? Ili Hali Wananchi Na Yeye Kawaachia Majanga Tu Ya Miaka Tu Uchumi Ni Wa Wachache Tena Walioko Juu Kama Taifa Bado Sana
 
Anapendwa kwa lipi? Kwa kuwa dhalimu, muongo, mwizi na fisadi?

Ni MAZWAZWA na wasiojitambua tu ndiyo wanampenda huyu wengine wengi wameshamstukia kwamba ni janga kubwa sana la Taifa.

Jaman Hebu njooni tujadili kidogo.....simmemsikia bwana mkubwa akisema mwenyewe kwenye ule mkutano wa chama????alisema tumewaburuza...

Sasa Hebu tupeane elimu Jamani,,,,kila kona unayopita watu wanalalama..ooo uchumi mbaya...ooo nimefanya kazi lakini sipati hela.....oooo huyu jamaa hafai hata kuwa balozi wa kuku... Jamani kama Hivyo ndivyo mbona anawaburuza?????

Kuna Nini nyuma ya pazia??? Je Ni kweli wananchi wanamkubali au kuna namna???

Na kama kuna namna na si mapenzi ya wananchi Nini kifanyike ili Haki ipatikane?????
 
Hili swali waulize wanorth korea, waulize warwanda, Nenda zimbabwe waulize mbona walikuwa kimya tu kama ng'ombe wanaopelekwa machinjioni lakini leo wana furaha ya ajabu, Watakupa majibu mazuri. Lakini moja ya jibu watakalokupa ni kwamba Jeshi la Nchi fulani ndio linalogawa upendo. Likiamua kuwapenda Watawala Wananchi, Mtakufa, mtalia,na Mtanyanyasika ipasavyo Lakini Siku Jeshi Likiwapenda Wananchi Watawala nao hawana Namna Wataomba Poh. So That It.
 
Tangu Nimezaliwa Leo Ni Miaka 57 Iliyopita Sijawahi Kuona Unafuu Wowote Wa Maisha Kwa Watanzania Miaka Yote Kilio Ni Kimoja Maji Shule Hospitali Miundombinu Sikuona Hata Kiongozi Aliyeweza Kuyatekeleza Haya Kwa 100% Wote Wanafanya Yao Wanaondoka Shida Za Watanzania Zinabaki Kuwa Zile Zile Tu Hata Kikwete Anasifiwa Sijui Aliacha Uchumi Mzuri Eti Magufuli Anaharibu Nauliza Ni Uchumi Gani Huo? Ili Hali Wananchi Na Yeye Kawaachia Majanga Tu Ya Miaka Tu Uchumi Ni Wa Wachache Tena Walioko Juu Kama Taifa Bado Sana

NI KWELI KABISA UCHUMI NA MAISHA MAZURI KWA WALE WALIOKUWA MEZA KUU JANA NA BAADHI WALIOKUWA KWENYE LILE JENGO NA FAMILIA ZAO, KIFUPI WAO NDIO SLAVE MASTERS..
 
TANZANIA NDIO NCHI PEKEE YENYE VIONGOZI NA WATU WENYE AKILI KULIKO TAIFA LOLOTE DUNIANI...
TANZANIA NI NCHI PEKEE YENYE DEMOKRASIA AFRICA NA DUNIANI TOKA IMEPATATA UHURU..
TANZANIA, NCHI AMBAYO KILA SIKU UCHUMI WAKE UNAKUA KWA KASI TOKA 1961 BADO UNAKUA TU.

MAAJABU SASA, TANZANIA NI MOJA YA NCHI MASIKINI SANA DUNIANI..

CCM ACHENI MANENO WATU WANATAKA MAENDELEO YANAYOONEKANA NA SIO MNAYOYAONA NYIE..
MAENDELEO HUWEZI KUYAFICHA, YAKIJA TU WATU WATAYAONA KAMA PEMBE LA NG'OMBE VILE.
ZAMA ZIMEBADIRIKA, WATU WANATEMBEA, WATU WANAJIONGEZA, TEKNOLOJIA IMEKUA, DUNIA IMEKUWA KIJIJI LAKINI SI KWA MSAADA WA CCM, CCM BADILIKENI BWANA MAENDELEO YANAHITAJIKA..
 
Mimi sijawahi kumuona MTU anaempenda huyo jamaa. Ila nilichoobserve kila ninaemuuliza hivi huyu jamaa ulimpa kura yako anasema hapana. Sasa sijajua alishindaje ule uchaguzi.
Ila binadamu wanaweza bhana!!
 
Tangu Nimezaliwa Leo Ni Miaka 57 Iliyopita Sijawahi Kuona Unafuu Wowote Wa Maisha Kwa Watanzania Miaka Yote Kilio Ni Kimoja Maji Shule Hospitali Miundombinu Sikuona Hata Kiongozi Aliyeweza Kuyatekeleza Haya Kwa 100% Wote Wanafanya Yao Wanaondoka Shida Za Watanzania Zinabaki Kuwa Zile Zile Tu Hata Kikwete Anasifiwa Sijui Aliacha Uchumi Mzuri Eti Magufuli Anaharibu Nauliza Ni Uchumi Gani Huo? Ili Hali Wananchi Na Yeye Kawaachia Majanga Tu Ya Miaka Tu Uchumi Ni Wa Wachache Tena Walioko Juu Kama Taifa Bado Sana
Una miaka 57 na huoni maendeleo?? Nafikiri kichwani hamna kitu au wewe ni kipofu!!
 
Back
Top Bottom