Uchumba wangu umevunjwa

Maisha ya mahusiano ya siku hizi
1. Jipende , jithamini , jali afya kula vizuri , pendeza.
2. Piga kazi ,, tafuta pesa ,, weka malengo .
3. Katika yote hayo mtangulize Mungu ,,,usisahau sala kila uingiapo na kutoka .

Nawe utakuwa mwenye furaha mengine ni ziada.

PENDA KUJIBEBA HAKUNA WAKUKULETEA FURAHA ...

Mke mwema atakuja tu kwa wakati wake ukifika ,,, usiseme nachelewa au mbona wenzangu tayri wameolewa au wameshaoa.

To be single , doesn't mean that , you are not good enough to fit with some one .. In fact you are great that , you cant just give your dignity and love to anyone around the streets.

Calm down ,,, remember even Abraham was blessed at his very old age.
Live peacefully and do good deeds.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau. Heshima kwenu.
Asanteni kwa kuchangia uzi wangu na kunishauri.
Naomba kutoa mrejesho.
Ukweli ni kwamba huyo niliyekuwa namchukulia kama mchumba wangu kipindi tunaanza mahusiano aliniambia yeye ni single, tena single wa muda mrefu. Kumbe alikuwa na mtu wake ambae wapo nae kwa muda wa kama miaka miwili na walishafanya mengi ya pamoja. Shida ni kwamba walikuwa na migogoro ya hapa na pale na huyo mtu wake....kibaya zaidi huyo jamaa yake alikuwa ni mtu wa kusafiri anaweza asiwe karibu na mwanamke wake huyo karibu hata kwa miezi mitatu. Kipindi anaanza na mimi hakuwa karibu na huyo mtu wake. Kiukweli tulipoingia kwenye mahusiano alinionesha mapenzi ya hali ya juu zilikuwa hazipiti dakika tano bila kunambia nakupenda tukiwa wote....na nikijibu nampenda pia, anasema ndo unioe jamani....tulikuwa tunakuwa nae karibu mara nyingi ananipikia na kufurahi.....sikuwahi kuhisi kama kuna tatizo mpaka ilipotokea issue ya ile conversation....... Ilipotokea ile issue tulielewana na tukaendelea. Kumbe jamaa yake alirudi na hivyo akawa anatafuta mbinu ya kuniacha. Hata hivyo alishindwa namna ya kuniacha mpaka pale jamaa yake alipogundua. Ndo akamua kukata mahusiano na mimi akabaki na huyo jamaaa.

Asanteni kwa maoni yenu,maana yali-base kwenye ukweli.
#longLiveJamiiforums

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante kwa kuchangia. Inawezekana, lakini huyo mwanamke ananipenda sana...na ananihitaji sana katika maisha yake,ila kibinadamu ameshindwa kuhimili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijiaminishe hvo mkuu kwa mwanamke.
Mwanamke akiamua kukugeuka ni sekunde tu unabaki unalia. Kikubwa we fanya uchunguzi kwa kina huo n mchezo tu umesukwa ili akuache vizuri.
Kama anakupenda tatzo dogo tu hilo why alikukimbia na kukuacha pekeako, why msingeshilikiana kumtafta huyo alietuma sms?
Mfano, ungeziweka hzo no kwenye simu ya mpenzi wako ili akampigia yeye huenda angepokea no ngeni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wadau. Heshima kwenu.
Asanteni kwa kuchangia uzi wangu na kunishauri.
Naomba kutoa mrejesho.
Ukweli ni kwamba huyo niliyekuwa namchukulia kama mchumba wangu kipindi tunaanza mahusiano aliniambia yeye ni single, tena single wa muda mrefu. Kumbe alikuwa na mtu wake ambae wapo nae kwa muda wa kama miaka miwili na walishafanya mengi ya pamoja. Shida ni kwamba walikuwa na migogoro ya hapa na pale na huyo mtu wake....kibaya zaidi huyo jamaa yake alikuwa ni mtu wa kusafiri anaweza asiwe karibu na mwanamke wake huyo karibu hata kwa miezi mitatu. Kipindi anaanza na mimi hakuwa karibu na huyo mtu wake. Kiukweli tulipoingia kwenye mahusiano alinionesha mapenzi ya hali ya juu zilikuwa hazipiti dakika tano bila kunambia nakupenda tukiwa wote....na nikijibu nampenda pia, anasema ndo unioe jamani....tulikuwa tunakuwa nae karibu mara nyingi ananipikia na kufurahi.....sikuwahi kuhisi kama kuna tatizo mpaka ilipotokea issue ya ile conversation....... Ilipotokea ile issue tulielewana na tukaendelea. Kumbe jamaa yake alirudi na hivyo akawa anatafuta mbinu ya kuniacha. Hata hivyo alishindwa namna ya kuniacha mpaka pale jamaa yake alipogundua. Ndo akamua kukata mahusiano na mimi akabaki na huyo jamaaa.

Asanteni kwa maoni yenu,maana yali-base kwenye ukweli.
#longLiveJamiiforums

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo ndo mwanamke so ogopa kuanzia leo kiumbe anaeitwa mwanamke.
Usimwamini 100% mwanamke na ukiwa nae gegeda kabisa as if kesho hutamwona tena! Yan piga, komoa akiondoka hata usiwe na habari nae. Hapo hata akizingua huwezi kuumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom